kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Prof Tibaijuka alia ujenzi kiholela umegharimu maisha ya watu kariakoo

    https://youtu.be/gm6k0gc9PW4?si=StdiqWV7Dj1gTll5 =================== Naomba uongozi wa Jamiiforums Active mmfanyie mahojiano ya kina Prof Tibaijuka Pia mngemfanyia Mahojioano Mhandisi mzoefu wa Ujenzi wa Maghorofa marefu. Pia mngemfanyia Mahojioano Mtaalam wa Mipango miji...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dr Nchimbi apongeza Kasi ya Uokoaji Kariakoo na kusema iongezwe zaidi, asema CCM iko tayari kutoa Msaada wowote utakaohitajika!

    Salaam za Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi: 1. Shukrani Kwa Wananchi kwani Wao ndio walikuwa wa kwanza kufika na kuanza Uokoaji 2. Shukrani Kwa Vyombo vyote vya uokozi vinavyoendelea na kazi ya uokozi 3. Shukrani Kwa Waziri Lukuvi Kwa kusimamia zoezi muda wote Bila kuchoka 4. Shukrani Kwa RC...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari tumeachana na Msiba wa Kariakoo tunaposti habari za Mkuu wa Mkoa; utu umezimwa na pesa

    Leo vyombo vyote vya habari vipo busy kupost clip za RC Arusha akieleza miezi sita ya uongozi wake. Vyombo vyote vimeachana na vifo na majanga ya ndugu zetu huko Kariakoo......kwamba kuanguka kwa ghorofa siyo habari bali miezi sita ya kisiasa ni habari. Tunaweza tusione tatizo kama Taifa ila...
  4. Nandagala One

    JamiiForums Tanzania Kujali Majanga ya ajali kama Kariakoo Rais Samia ajifunze toka Rwanda kwa Kagame 9/Mei/2011

    Wananajamii forum,heshima kwenu. Ajali ya Jengo Kariakoo kuanguka,kwa maoni yangu kulikuwa kuchelewa kufanya juhudi kwa haraka Serikali hasa JWTZ wakati wa majanga. Vifaa sahihi, watu sahihi kwa majanga walichelewa kuja, na kuanza kazi yao. Ambassador choir of Christ wa wa Rwanda walipata...
  5. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Mwenye jengo akamatwe, eneo liuzwe, mali zake zifilisiwe, halafu hela zote wapewe majeruhi na waliofiwa

    Niaje waungwana Kwa kile kilichotokea jana hapo K'koo, mimi nashauri kwanza mwenye ghorofa lililoanguka akamatwe, mali zake zifilisiwe, na kiwanja kilichokuwa na jengo kiuzwe ili hela zitakazopatikana zitumike kuwasaidia wale wote waliojeruhiwa na waliofiwa na baba zao, wame zao, wake zao...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Makonda (Bashite )anatumika kuhamisha mjadala wa gorofa kuporomoka Kariakoo

    Watanzania, msikubali kufanywa wajinga kwa mtu mmoja kuhamisha mjadala unaohusu maisha ya watu na kuwaletea vihoja vyake ili mvijadili na muache hoja za msingi zinazohusu maisha ya watu na utayari wa serikali kwenye matukio kam,a haya. Waandishi wa habari na nyie kazi kwenu ipi iwe ni habari...
  7. The bump

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kitu kwa tukio hili na mengine yote yajayo

    1. Heshimu na Mthamini kila Mtu Bila Upendeleo Tunaona namna gani Tukio la kariakoo lilipotokea waliosaidia wenzao ni wale watu wa kawaida kabisa wa maisha ya kawaida na wala si matajiri au watu wenye uwezo,hii inatoa picha kwamba kwenye maisha Tujifunze kuthaminiana na kuheshimiana. 2.Uwe na...
  8. Veritas Minor

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea Kariakoo: Ushauri

    Pole kwa waathirika. Moja kwa moja kwenye hoja. Mwaka 1986 pale Urusi kulitokea janga kubwa la kinu cha nyuklia cha Chernobyl kulipuka. Kutokana na uhaba wa wataaalamu na nguvu kazi wachimbaji wa makaa ya mawe waliitwa kusaidia kuokoa na kuepusha janga la mazingira lililokua tishio. Hapa...
  9. Mayala B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachungaji watumishi wa MUNGU wametengwa suala la uokozi kariakoo

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Serikali ikiwa inasaini miakataba yake hasa hasa ya kifasidi ambayo wananchi hawajalizika nayo huwa wana watumia sana wachungaji Lakini leo kwenye hili suala la maafa kariako naona serikali imewatenga wachungaji watumishi wa MUNGU Watumishi wa MUNGU...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Compare and contrast, lazima majengo ya kariakoo yaanguke yote maana yamejengwa hivyo yote

    Serikli ifanye tathimini ya majengo yote kariakoo, yooooooooooooooooooooooooooote! short of that makubwa yanakuja kwenye s clled gorofa za kariakoo. angalia na linganisha floor hizo mbili https://x.com/i/status/1857878582976229744
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwachekee wafanyabiashara wa Kariakoo wanaovunja sheria kwa tamaa zao

    Kila kitu kwa sasa kipo uchi baada ya jengo kuanguka. Huu uhuni wa wafanyabiashara wengi wa Kkoo unastahili kudhibitiwa kisheria bila kuwaonea huruma. Hizi underground floors zimeibuka sana miaka ya karibuni kumbe ni uhuni wa watu wenye tamaa wasioridhika na vipato yao. Ninatia wito kwa...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Picha: Pongeze zenu Mawaziri mmefika Kariakoo kufanya kazi. Hongereni sana

    Mawaziri wakiwa eneo la tukio kuendelea kuokoa wahanga
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea Kariakoo ni ukumbusho kuwa Amani hulevya Ujinga

    Mimi ni mshabiki namba moja wa Israel, ila nimeguswa na tukio la kuanguka kwa Jengo Kariakoo, Jitihada tuliyoweka katika uokozi ni aibu kwetu hasa sisi Watanzania tunaomini sio Nyani. Gaza kwao kuanguka kwa majengo ni kila siku tena kwa mabomu na sio uzembe, lakini Watu wake na mifumo yao ya...
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waokozi kariakoo!

    Kutokana na kuwa jengo kwa ujumla lipo katika hali ya hatari sana, hasa kutokana na uwezekano wa kuweza kuporomoka na kuleta maafa, Nawashauri waje nje kwenye mlango mkuu wa jengo, wachimbe Tundu la mraba kushuka chini, katika urefu wa mita 6-7, halafu waanze kwenda mbele usawa wa lango kuu...
  15. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Naambiwa mwenye jengo lililoporomoka Kariakoo ni Kigogo, Je nani na kwanini mpaka sasa hajatajwa?

    Huyu mmiliki wa hilo jengo lililoporomoka hapo kariakoo ni nani mpaka anafichwa hivyo? Naambiwa na mtu mzito (kigogo) Tamaa yake ya kutaka kuongeza eneo chini ya ghorofa imekula maisha ya watu? Ni wakati muafaka sasa wa kumjua
  16. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea kariakoo jana msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu! Viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maslahi tu

    Kiukweli kilichotekea jana kariakoo msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu nahisi au ndiyo ukweli viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maisha yao na si Ku dedicated maisha yao kwa walipa kodi just kwa miaka 63 bado nchi kama nchi tunasua sua kwenye uokozi? Wale ni walipa kodi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Janga la Kariakoo limeendelea kuthibitisha udhaifu wa serikali kwenye majanga ya ghafla

    Kwanza, Usimamizi wa ujenzi kariakoo ni mbovu, wakinga, wachaga, waha, wapemba wanajenga hovyo majengo marefu tena mengine bila hata uzio bado ni hatari. Uokoaji kwenye majanga kama hayo kwa nchi yetu ni mbovu tukianza na meli ziwa Victoria, tukaja ajali ya treni, kivuko kule nansio, ndege...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Muhanga aliyezushiwa kufa kwenye kifusi Ghorofa la Kariakoo ameeleza hali ilivyokuwa

    Muhanga wa tukio la ajali ya kuporomoka kwa Jengo Kariakoo 'Hassana Jeans' amezungumza siku ya leo baada ya kuokolewa. Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi viongozi wakuu wa dini kwenye tukio lakuanguka kwa jengo la Kariakoo? Unaridhika na response yao?

    Majanga ni yetu sote na wanaopatwa na majanga siyo watu wa dini flani au kabila flani. Ni kariba zote z viumbe hai. Natamani kuwakumbusha viongozi wa dini kwamba disaster management and control ni kazi yao ya msingi kabisa. Wanapobaini uwepo wa mifumo inayochagiza majanga wanapaswa kupiga...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shuhuda aliyeshiriki kuokoa watu Kariakoo asema "Kule chini hali ni mbaya, nimeshuhudia Watu wamefukiwa na vifusi"

    Nassor Athuman akizungumza kile alichokishuhudia baada ya kutoka eneo ambalo jengo limeanguka Kariakoo, Dar es Salaam. Nassor amesema ameshuhudia watu 10 hadi 15 akiwa chini bila ya kuweza kuwasaidia kutokana na hali jinsi ilivyokuwa. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila anasema...
Back
Top Bottom