kanye west

  1. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kanye West Anataka Kubadilisha Jina Ili Aitwe YE

    Msanii na Rapper maarufu Kanye West ameiomba mahakama ya jijini Los Angeles huko California nchini Marekani kubadilisha jina lake kutoka Kanye West na badala yake awe anajulikana kwa jina la Ye peke yake. Kanye ambaye jina lake kamili ni Kanye Omari West, ametuma maombi hayo rasmi akitaja sababu...
  2. off-sir

    JamiiForums Tanzania Donda House, nyumba aliyoishi Kanye West akiwa mdogo

    Msanii Kanye West kupitia mtandao wake wa Instagram amepost picha ya nyumba yao ya zamani alikuwa akiishi pindi akiwa mdogo Na tukumbushane tu kuwa nyumba hii ndio ile ambayo aliinunua mwaka jana 24 April kwa Dollar za kimarekani ($225,000) kwa mujibu wa kanye west mwenyewe anasema nyumba hii...
  3. THE SHADOW ONE

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu yaliyojiri kwenye Album ya Kanye West "Donda"

    Ikiwa imepita miaka toka mkali wa mitindo na mtayarishaji wa muziki nguli wa mitindo ya kufoka foka Kanye West siku ya Alhamis aliweza kuachia EP yake inayoitwa "DONDA" ikiwa ni jina la Hayati marehemu mama yake na Kanye West. Mkali huyo mzaliwa wa Atlanta aliweza kuandaa sherehe ya...
  4. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Viatu vya Kanye West vyauzwa kwa $1.8m

    Viatu ambavyo mtindo wake ulibuniwa na kuvaliwa na mwanamuziki Kanye West vimeuzwa kwa $1.8m (£1.3m) katika mnada ikiwa ni bei ya juu zaidi kuwahi kununuliwa . Viatu hivyo aina ya Nike Air Yeezy 1vilivunja rekodi iliowekwa na viatu vya Nike Air Jordan 1s vilivyouzwa kwa $615,000 mwaka uliopita...
  5. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kim Kardashian aomba talaka kutoka kwa Kanye West baada ya miaka 6 na nusu ya ndoa

    Yuulee star maarufu wa huko USA ambae umaarufu wake umetokana na sababu nyingi zikiwemo zile neema kubwa kubwa ametia nia mbele ya korti za Taifa hilo nambari moko akidai talaka kwa rapa mashuhuri Kanye West. Duuuruu za unyetishajii huko America zinadai kuwa wawili hao waliooana kwa miaka 7...
  6. Numbisa

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

    Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian yapumulia mashine na kutaka kutalakiana. Kwa mujibu wa media za Marekani kwa muda Sasa ndoa yao Haina afya nzuri na ilidhoofu kwa kiasi kikubwa mwaka 2020 ambapo mastaa hao wamekuwa wakiishi Kila mtu kwake huku Kim akiwa na watoto Kwa mujibu wa taarifa Kim...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kanye West kakubali kushindwa Uchaguzi Mkuu Marekani

    Rapper aliyechanganyikiwa kakubali kushindwa kwenye uchaguzi Marekani ambapo alikuwa anashindana kuchaguliwa kuwa Rais kupitia chama chake cha "birthday party" . Jumla za kura alizopata 0.2% Kanye West ambaye ndio ilikuwa Mara yake ya kwanza katika maisha yake kupiga kura amemkubali matokeo...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kanye West aungana na Wanaijeria kupinga ukatili wa polisi

    KANYE WEST AUNGANA NA WANAIJERIA KUPINGA UKATILI WA POLISI Mwanamuziki yota wa muziki wa hiphop wa Marekani, Kanye West ameungana na Raia wa Nigeria wanaoandamana kupinga ukatili wa polisi nchini humo Kutokana na ghasia zinazoendelea nchini humo serikali ilivunja Kikosi chake maalum cha Polisi...
  9. Planett

    JamiiForums Tanzania Haya maneno ya Kanye West yamenikasirisha. Kwani anaichukuliaje RAV 4?

    Wakuu nilikua nasikiliza wimbo mmoja wa Jay-z aliowashirikisha Kanye West na Rihanna unaoitwa RUN THIS TOWN, katika huo wimbo kuna mstari unaosomeka: "What you think I rap for, to push a fucking Rav-4" Yaani wakati wengine tunatambiana sijui Rav-4 new model, mara old model mara sijui kili...
  10. Education Mentor

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Fahamu Ugonjwa wa Bipolar Disorder (Kanye West)

    Habari wasomaji wangu, wa makala za jifunze saikolojia. Basi leo nimeleta somo kuhusu ugonjwa wa saikolojia unaofahamika kama Bipolar Disorder. Pengine wengi wetu neno ili au msamiati huu ni mpya kabisa kuusikia au wengi waliousikia lakini hawakuweza ingia kujifunza kuelewa Bipolar ndio ukoje...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mtandao: Akaunti za Twitter za Bill Gates na Elon Musk zadukuliwa, mamilioni ya dola yaibiwa

    Ni ndani tu ya saa moja lililopita, wadukuzi wamefanikiwa kuingilia faragha za akaunti za Twitter za Bill gates na Elon Musk na kutuma ujumbe ukiwataka watu watume kiasi cha pesa kwa njia ya bitcoin kisha, Watatumiwa mara mbili ya hiko kiasi. Mashambulizi yamekuwa makubwa maana kila Twitter...
  12. babu M

    JamiiForums Tanzania Kanye West Teams with Gap, share up 33 percent

    Kanye West Teams with Gap Bold Partnership will Bring YEEZY Apparel to the People with New YEEZY Gap Line West and Gap Relationship Comes Full Circle as the Visionary Creative and Cultural Icon Returns to Disrupt Fashion Retail Kanye West, a multi-industry creative entrepreneur, is poised to...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kanye West atajwa kuwa Rapper wa pili kuwa bilionea baada ya Jay Z

    Kwa mujibu wa jarida la @forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020. Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye West amesema unatokana na biashara yake ya viatu Yeezy sneakers. Awali Kanye West aliwapa Forbes...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania P Diddy celebrates 50th birthday with mega-rich friends including Kim Kardashian, Kanye West, Jay-Z and Beyonce

    The star, whose real name is Sean Combs, was joined on Saturday night by some seriously rich pals worth a combined £2.2billion. Sean, himself worth £555m, hit the milestone on November 4 but threw a star-studded party on Saturday night with some of the biggest names in showbiz. Fellow...
  15. pinno

    JamiiForums Tanzania Kanye West's My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010) ndiyo album bora ya 'decade'

    Billboards Charts, wametoa list ya Album bora 100 za muongo wa 2010-2019. Na at the top ni Album ya Kanye Omary west My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010). Disclaimer: Binafsi mimi mwenyewe kama Pinno nilikuwa nimeshaipa hii Album hii tuzo, kimoyomoyo, kama tu ambavyo nimeshatoa tuzo hizo...
  16. ozalla

    JamiiForums Tanzania Kanye West stay off From Politics, Focus on creativity

    The father of three Kanye West has announced on Twitter on Tuesday, that he taking a step back from politics after been heavily criticized for supporting President Donald Trump. The announcement comes after the rapper debuted a line of apparel for the “Blexit” campaign that encouraged...
Back
Top Bottom