kanisa katoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Megalodon

    Kanisa Katoliki ndio Nguzo ya Kiimani Tanzania

    Nimekuwa siku zote nikisema SOMENI ndugu zangu. Mtu mwenye elimu kamwe hawezi kuendeshwa na failure. Kanisa katoliki ndio baba wa imani na ni merits kwa nchi ya TZ . Tujivunie…. Dini zote ni janja janja but Catholic Church means a lot to our country Kanisa katoliki linasimamia haki bila...
  2. Tlaatlaah

    Ni wazi kuna baadhi ya Mapadre na Maaskofu wa Kanisa Katoliki wamefurahia sana kifo cha Kadinali Polycarp Pengo

    Na kwa unafiki wa kiwango cha juu sana, kila wakijaribu kuonyesha wana majonzi na huzuni kufuatia kifo cha Kadinali Polycarp Pengo, facial expressions zao zinakataa kushow up, lakini pia body language zinagoma kabisa kudhihirisha masikitiko yao. Kwa hakika wamefurahi sana na huenda wakawa na...
  3. M

    Inafedhehesha, kanisa Katoliki na sadaka zote hizo kuomba msaada Serikalini kumsafirisha marehemu Pengo!

    Yaani sadaka zote hizo na waumini mamilioni alafu wanaomba msaada kwa serikali ya CCM? Hii ni fedheha kubwa sana.
  4. Mkalukungone Mwamba

    Pope Leo XIV Kutembelea Afrika, Ikiashiria Umuhimu wa Bara Hilo kwa Kanisa Katoliki

    Vatican ilitangaza Jumatano kuwa Papa Leo wa Kumi na Nne atafanya ziara ya siku 10 barani Afrika mwezi Aprili, akitembelea nchi za Algeria, Angola, Cameroon na Equatorial Guinea, chini ya mwaka mmoja tangu achaguliwe kuwa papa. Ziara hiyo ya mapema inaonekana kuashiria umuhimu wa Afrika, bara...
  5. R

    Kanisa Katoliki mnakwenda wapi? Mmesahau kipigo cha Padre Kitima

    Mnashirikiana nao vipi katika mazishi haya ya Kardinali Pengo? Sisemi mjenge uadui na serikali, hapana. Ila msiwahusishe, waje kama waombolezaji wengine na wapewe kiti cha mbele , lakini si wabeba msiba. Msiwasafishe kwa ya 29/10. Kesho hamtawakemea wakitenda maovu
  6. Tlaatlaah

    Lucy Michael na wenzake wafanikiwa kudhibiti mipango ya Fr. Kitima na Askofu Ruwa’ichi kuingiza siasa za CHADEMA ndani ya kanisa Katoliki

    Katibu mkuu wa TEC, Fr. Dr. Charles Hugo Kitima, BSc, MSc, PhD na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam Jude Thadeus Ruwa'ichi OFMCap wameufyata mkia baada ya walei wa Kanisa hilo wakiongozwa na Lucy Michael na Katekista Joseph Ludovic, waliojitokeza wazi wazi kukosoa na kupinga...
  7. H

    Kutengeneza vioja kwa lengo la kulichafua Kanisa Katoliki kunadhihirisha uwezo mdogo wa akili wa wapanga huo uovu

    Wadhulumu haki na wauaji wanaumia sana na kufadhaika wakisikia yeyote ama akiongelea au kulaani udhulumati na ushetani wao walioufanya ile Oktoba 29. Kila anayechukizwa na dhuluma zao, huwa ni adui yao mkubwa. Na hasa kama wanaamini kuwa huyo anayechukizwa na uovu wao ana influence. Na kwenye...
  8. Lord Denning

    Hii Obsession yake kwa Kanisa Katoliki sio ya kawaida. Mwambieni tu hata afanyaje, wana ushahidi wa kutukuka juu yake lazima utamzamisha vilivyo ICC

    Ndani ya Tanzania anahangaika kuwatuma kina Habib Mchange, uvccm, Bakwata na wapumbavu TISS waandae maigizo dhidi ya Kanisa Katoliki kwa ajili ya kuwachafua. Anadhalilisha mapadre, Maaskofu na masista. Alafu nje anawatuma Mawaziri wake kwenda kupiga picha na Baba Mtakatifu ili kuirubuni dunia...
  9. M

    Siri ya mafanikio ya wakatoliki hawajioni bora, hawaoni makanisa mengine kama watu wa nje, hawaingilii maisha ya ndoa, wamewekeza kwenye elimu, n.k.

    Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu simama watu wote kanisani wakuone umejiunga. Hawajioni bora kuzidi wengine, makanisa mengine...
  10. U

    Wasabato je mnakubali vipi Biblia iliyoidhinish na Papa e Damasus I askofu Mkuu wa Kanisa katoliki la Rumi 382?

    Naomba Moderator iache uzi huu uwe huru tafadhali. Je kuikubali na kuitumia Biblia hiyo siyo kukubali alama ya Mnyama kwa mujibu wa kitabu cha Ufunuo wa Yohana? Karibuni tujifunze
  11. The Palm Beach

    Anthony Nzuki: Kanisa Katoliki si "Populism institution". Maandamano si njia mojawapo ya kushughulikia matatizo ya viongozi wa Kanisa Katoliki!

    KANISA KATOLIKI SI POPULISM. Hata tukitoa nafasi ya kudhani kuwa WaandamaWAnaji walikuwa na nia njema, njia waliyotumia haiwezi kabisa kuzaa matokeo yoyote halali ndani ya mfumo wa Kanisa Katoliki. Iwapo lengo lilikuwa kumuondoa Father & Padre Charles Kitima katika wadhifa wake kama Katibu...
  12. F

    Kanisa Katoliki na Siasa

    Mwezi Novemba mwaka jana Mkutano Mkuu wa Maaskofu wa kikatoliki Marekani ulitoa tamko kulani sera za serikali ya Trump za kuwatimua na kuwapakazia wahamiaji waliokuwepo Marekani. Hii ilikuwa muendelezo wa hotuba ya Pope Leo XIV ya mwezi Januari mwaka jana kwa mabalozi waliokuwa wakiwakilisha...
  13. Titicomb

    CCM na wakata vichwa wanaotaka vita na kanisa Katoliki mmewasahau akina Komando Padre Dr. Henry Rimisho askari na majasusi wa kanisa?

    Kuna Padre Askari Komando, Architect, muhadhiri wa chuo kikuu alipata umaarufu sana kwenye vyombo vya habari miaka minne iliyopita. Anaitwa Dr. Henry Rimisho. Jamaa ukisikiliza wasifu wake wa elimu na mengineyo unaweza kuwaogopa sana kanisa Katoliki. Jamaa Askari wa jeshi na alikuwa vitani...
  14. DuaZaMama

    Aliyewashtaki viongozi wa kanisa katoliki (Lucy Antony) ashushiwa kipigo na watu wasiojulikana

    Lucy Antony Michael (35), Mkazi wa Yombo Dovya, Mtaa wa Makangarawe, Wilayani Temeke, Dar es Salaam amevamiwa na watu wasiojulikana akiwa anatoka nyumbani kwake, ambapo watu hao walimpiga na kumshambulia maeneo mbalimbali ya mwili wake Lucy ambaye ni miongoni mwa watu waliojitambulisha kuwa ni...
  15. Luca Paguro

    Nataka kuhamia Kanisa Katoliki

    Kwa sasa mimi ni muumini wa Kanisa la Anglican lakini hivi karibuni nimetokea kuvutiwa na Kanisa Katoliki, na nimeona ndio Kanisa linaloendana na misingi yangu. Nadhani sijachelewa maana bado ni kijana. I'm still in my 20s Kwa hiyo huu mwaka nitajitahidi nihamie Kanisa Katoliki. Jumapili hii...
  16. Analogia Malenga

    Ameandika William Shao: Kanisa Katoliki si populism

    Tangu jana hadi leo nimesoma humu hoja mbalimbali kuhusu wale "Wakatoliki" walioandamana kwenda Ubalozi wa Vatican. Nikajifunza, nikaacha niliyojifunza, halafu nikajifunza tena. Natangaza maslahi: Mimi si Mkatoliki, na sifikiri kama nitakuwa Mkatoliki baada ya leo. Nafanya tu analysis ya kawaida...
  17. H

    Mbinu Chafu za Udini Dhidi ya Kanisa Katoliki, Kunazidisha Umoja wa Wakristo

    Tuna utawala duni na wa ajabu nyakati hizi kuliko wakati wowote. Watawala wamenyimwa hekima, ufahamu na maono, kwani wanajitengenezea kaburi lao wenyewe. Wajinga wanaamini kuwa kulishambulia Kanisa Katoliki la Roma, kutalidhoofisha, bila ya kufahamu kuwa Wakristo wote ni Wakatoliki. Katoliki ni...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Kulishinda Kanisa Katoliki kwenye nchi Maskini ni ndoto za mchana

    Hamjambo wote! 1. Mimi ni Mtibeli. Dhehebu(shule) ya mafunzo ya dini ni Kanisa la wasabato. 2. Ukweli ni kuwa kwenye nchi Maskini hasa za Afrika huwezi ukaleta ugomvi wa nginjanginja na Kanisa Katoliki ukashinda. Hizo ni ndoto za Mchana kabisa. 3. Sijajua nini kinachoenddelea mpaka naona kuna...
  19. Wakusoma 12

    Serikali Zilizojaribu Ku-override Kanisa Katoliki… Zikaanguka Vibaya

    Wapo wanaodhani Kanisa ni jengo tu. Historia inasema vinginevyo. Kanisa Katoliki si chama cha siasa, lakini likiguswa vibaya, huamsha nguvu ya wananchi kuliko risasi. Hebu tuangalie mifano ni mingi ila kwa uchache. 1. Philippines – Ferdinand Marcos (1986) Marcos alikuwa na Jeshi pamoja na...
  20. DuaZaMama

    Wanaojiita 'Wakatoliki' wakiimba 'Mwamba Mwamba', huu ni wimbo wa Kanisa Katoliki?

    Naomba kuuliza wakuu na nipate majibu ya kistaarabu wimbo wa "Yesu ni Mwamba" unatumiwa na kanisa katoliki?.
Back
Top Bottom