Makabila haya, yanaweza kuwa na makando kando mengine lakini suala la uchawi ni nadra kwao

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138
MUHIMU: Hakuna kabila lisilo na Tambiko, HAKUNA !! matambiko mpaka leo hii hufanywa na kila kabila na sanasana ni zile koo za kichifu lakini bado ni tofauti kabisa na uchawi huu tunaozungumzia hapa wa kurogana, kutupiana majini, malimbwata, kuwanga usiku, n.k.

Uchawi umekuwa ukisumbua jamii nyingi sana watu hulalamika kulogana ama kutupiana majini pale mtu anapopiga hatua, malimbwata ya mapenzi, kutupiana mabusha, kufunga vizazi, wanga wanaokaba usiku, kupigwa chale, n.k.

Pamoja na haya, kuna haya makabila machache nimeona mambo ya uchawi ni adimu ama yapo kwa kiwango kidogo sana, ni ngumu kukuta uchawi wa asili katika makabila haya, Mtu wa huku akitaka uchawi itambidi asasafiri kwenda makabila mengine.

1. Wamasai - Huko kwao ni ngumu kukuta uchawi wa asili yao, sehemu ya karibu kuupata uchawi ni kusafiri uende kuununua kwa waganga warangi ama wambulu (wairaqw)

2. Wachaga - Huko kwao ni ngumu kukuta uchawi wa asili yao, sehemu ya karibu kuupata uchawi ni kusafiri uende kuununua kwa waganga wapare

2. Wakurya - Huko kwao ni ngumu kukuta uchawi wa asili yao, sehemu ya karibu kuupata uchawi ni kusafiri uende kuununua kwa waganga wajaluo ama wajita.
 
Uchawi umekuwa ukisumbua jamii nyingi sana watu hulalamika kulogana ama kutupia mtu jini pale anapopiga hatua, malimbwata ya mapenzi, kutupiana mabusha, kufunga vizazi, wanga wa usiku, n.k.

Pamoja na haya, kuna haya makabila machache nimeona mambo ya uchawi ni adimu sana

1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wamasai
2 na 3 Sawa. Hao ukireta ujinga mnamarizama raive bira chenga
 
Uchawi umekuwa ukisumbua jamii nyingi sana watu hulalamika kulogana ama kutupia mtu jini pale anapopiga hatua, malimbwata ya mapenzi, kutupiana mabusha, kufunga vizazi, wanga wa usiku, n.k.

Pamoja na haya, kuna haya makabila machache nimeona mambo ya uchawi ni adimu sana, kama mtu anafanya uchawi ni ule wa kusafiri kwenda kuununua kwengine.

1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wamasai
Wakurya? Seriously...
 
Back
Top Bottom