kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Nanauka: Serikali kuanzisha kampuni laki moja na ajira Milioni moja

    Serikali imetangaza mpango wa kuanzisha Youth Special Economic Zones (YSEZ) utakaotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa lengo la kuwawezesha vijana kuingia kwenye uchumi wa uzalishaji na utengenezaji badala ya uchumi wa usambazaji na uuzaji pekee. Akizungumza kuhusu mpango huo...
  2. JamiiForums Tanzania Ili jengo kampuni nyingi za mawasiliano ziliomba kuweka vifaa vyao cha kushangaza waligomewa.

    Pale mawasiliano tower sio wageni ila hii sehemu ndio unaambiwa kama vitafungwa vifaa vya mawasiliano juu kama huduma za internet za majumbani au vifaa vyengine. Hapa mpaka aliye morogoro,kibaha,znz na bagamoyo anaweza kupata signal safi. ila kwa nini wamekataa kampuni nyingi
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya Ujenzi iliyopo Madale Midizini ina changamoto ya kutotoa mikataba kwa baadhi ya wafanyakazi wake

    Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa miundombinu yenye makazi yake Madale Midizin Jijini Dar es Salaam. Changamoto ni kwamba mpaka sasa nina Mwaka wa nne kazini ila sijawahi pewa mkataba, nakosa haki zangu muhimu, bado najulikana ni kibarua tu wa hii kampuni. Tabia hiyo imekuwa ikitokea...
  4. JamiiForums Tanzania Kampuni za sigara. Msikubali kuchafuliwa

    Kwanza binaadamu kaanza tabia kuvuta tumbaku kabla ya yesu kuja,Tanzania watu wameanza kuvuta tumbaku zaidi ya miaka 200 iliyopita. Tumbaku inapendwa na kuna watu tunaifurahia. Inakuaje nyie TCC mnakubali sigara zipande bei kiholela mtaani wakati nyie mna hela zetu nyingi na nguzo ya uchumi...
  5. JamiiForums Tanzania Kampuni ya ndege Tanzania ATCL imeongeza ofa ya Krisimasi

    Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inayofuraha kuwaongezea wateja wake ofa nyingine, maalum kwa abiria wa ndani msimu huu wa sikukuu.
  6. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa tetesi ya upatikanaji wa huduma ya Internet inayosambazwa na kampuni ya Starlink kupitia Roaming

    Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo Mtandao wa kampuni yake haupatikani au Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi) "Unapotumia nyumba ya jirani kwa...
  7. JamiiForums Tanzania KERO Msaada wa NIDA Verification kugoma kwenye kusajili Kampuni au Shirika, licha ya Taarifa kuwa sahihi

    Hello Wakuu. Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii. Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again" Nimeenda office ya NIDA wilayani nimehakiki kila taarifa na kuangalia status za NIDA inaonesha haina shida wala kukosewa...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ya India imezilazimisha kampuni za simu kuinstall Sanchar Saathi app kwa ajili ya kutrack wananchi, inatufaa pia hii bongo

    Katika harakati za kuimarisha ulinzi wa nchi serikali ya india imezilazimisha kampuni za simu kuinstall app hio kwajili ya kufuatilia maongezi ya wananchi pamoja na wqnachoandika, hii inaifaa sana tanzania haswa kwa iki kipindi watu wanapanga maadamano na itakua effective sana --- "This is...
  9. JamiiForums Tanzania Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus maarufu sana zilizokuwa zikijulikana kama Meridian, vipi kampuni ipo bado?

    Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus za Meridiani, vipi kampuni bado ipo? Hawa jamaa Meridian walikuwa maarufu sana wakishindana na Dar Express, safari zao zilikuwa Dar es Salaam to Kilimanjaro & Arusha Zamani bila kupanda bus hizo ulikuwa hujioni matawi ya juu Dar Express nawaona...
  10. JamiiForums Tanzania Kuelekea D9 kampuni za mabasi haziuzi tiketi za tarehe 09/12

    Tanzania ya Sasa hivi ni ya moto sana, zamani yalipoitishwa maandamano watu walichukulia poa tu, Kwa kujua hakuna atakayetoka. Kilichotokea MO29, kimetoa blueprint ya maandamano nchini. Sasa Toka maandamano ya D9 yatangazwe, serikali imenywea kabsa inaogopa kutoa vitisho,na kufanya mazoezi ya...
  11. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wadachi wamewarudishia Wachina kampuni ya Nexperia

    Serikali ya Uholanzi imesitisha uamuzi wake wa kuingilia kampuni ya kutengeneza chipu, Nexperia, inayomilikiwa na China, baada ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili. Mnamo Septemba, serikali ya Uholanzi ilisitisha kampuni hiyo kutokana na wasiwasi kuhusu usalama wa upatikanaji wa chipu barani...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Samia ni kama Mhasibu aliyekula hela za kampuni lakini hajui risiti anaipata wapi

    Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost. Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Samia ni kama Mhasibu aliyekula hela za kampuni lakini hajui risiti anaipata wapi

    Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost. Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zasitisha safari kupisha kimoja kati ya uchaguzi au maandamano. Matajiri hawataki kuweka Mali Hatarini

  15. JamiiForums Tanzania Je, Kampuni ya "ITEL EAST AFRICA LTD" inayodaiwa kumilikiwa na kiongozi mkubwa na mwanae INATUBANANGA?

    Ukipitia ukurasa wa Instagram wa mwanamama bi Mange Kimambi utaona kuna taarifa kuhusu kampuni ya ITEL EAST AFRICA LTD. Japokuwa kampuni hii imesajiliwa kama kampuni ya kufanya mambo ya biashara za simu lakini inaonekana ndio mwagizaji wa sukari nchini. Sasa kulingana na database ya global...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtoa signatory wa benki ambaye si mmiliki wa kampuni

    Habari wanasheria na wanajukwaa kwa ujumla. Naomba kuelekezwa utaratibu wa kumtoa SIGNATORY wa nyaraka za benki ambaye si mmiliki wa kampuni. Amepata dharura ya kuumwa,na yuko nje ya nchi kwa matibabu.Ni utaratibu gani ili atolewe kama signatory? Natanguliza shukran
  17. JamiiForums Tanzania Nataka kununua godoro kampuni hii, ushauri

    Nataka kununua godoro la spring kampuni hii, ushauri kwa waliowahi kutumia
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kuanzisha biashara na kampuni ya Pombe Kali

    Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilitoa uzi wa kuzungumzia hii biashala ya pombe kali lakini changamoto ilikuwa capital. Nikaomba kama kuna MTU anaweza tukaungana tukatengeneza kitu kikubwa lakini bado hakutokea. Leo nimewaletea sample kuwaonesha hatua niliyofikia hivyo tayari nina jina, lable...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Ukitaka Kusajili Kampuni ya Ujenzi (Construction)

    Kusajili Kampuni ya Construction Kuna procedures zake ambazo hazijaachana sana na Kampuni ya kawaida, ila hapa nitakuandikia in details procedures hizo; 1/5 Company Registration Hapa utafuata taratibu zote za brela kama kuandaa documents, kufanya application na kulipia fee, baada ya usajili wa...
  20. JamiiForums Tanzania Niamini Mimi, adui wa mwanamke ni mwanamke, huyu Mama mwakilishi wa Mudi ndo aliyeitafuta hiyo kampuni iliyomzalilisha mwenzake, na inasemekana yey al

    Niamini Mimi adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, Huyo mwanamke mwakilishi wa muhamedi TAPTA LA madawa ya kulevya, lilirowai dakwa na Mzee Magu, yeye ndo alikuwa akipambana na mwanamke mwenzake mwanzo mwisho, Hata wale mabaunsa yeye ndo aliyewatafta, na aliwanunulia na Bangi, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…