kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Je Wewe ni CEO Mwenye Kampuni Ambayo bado Haijaanza Kazi Tangu Isajiliwe? Yakupasa Kufahamu Hili…

    Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama; (a). Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi? (b). Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anaejua kesho yake na hakuna anaependa mateso lakini hadi sasa itoshe kushukuru sijawai kufanya kazi kampuni ya wahindi, waarabu au wachina

    Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana. Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao unabaki shangaa
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tumelipia viwanja Vikonje 'BM' – Dodoma, kampuni iliyotuuzia imeingia mitini, tunaomba msaada Serikalini hatusaidiwi

    Kero yangu ni kuna kampuni inauza viwanja inaitwa Landmatrix Ltd walikuja ofisini kwetu na kutueleza kuwa wanauza viwanja vilivyopimwa maeneo mbalimbali mnamo mwaka 2024 kwa wakati huo walikuwa na mradi eneo la Vikonje 'BM', Dodoma. Malipo yalikuwa ni kwa awamu ndani ya miezi 24 na makubaliano...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Sababu Wamiliki Wa Kampuni Hujikuta na Madeni ya Kodi

    Umeshawahi kujiuliza kwanini asilimia kubwa ya watu waliosajili Kampuni Hujikuta na madeni makubwa ya malimbikizo ya Kodi? Kwa takwimu zilizotolewa 51.58 ya wamiliki wote wa Kampuni Wana madeni makubwa yanayotokana na malimbikizo ya Kodi. Na hii inasababishwa na mambo mawili; 1. Kutoku file...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nitaendendealea kutoa mfulizo wa Changamoto za kampuni ya BRAC kwa vijana Waajiriwa wa hiyo kampuni

    Mteja akishindwa kulipa rejesho lako unaandikishwa barua ya maelezo pia watu wako wa karibu yaani wazamini waliokuzamini wakati wa kuajiriwa wanapigiwa simu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kutoa mikopo ya BRAC

    Kampuni ya kutoa mikopo ya BRAC kwa wajasilimali wadogo hapa Tz Hii kampuni imekuwa ikitanabsisha kutoa ajira kwa vijana wetu wa kitanzania amabo kazi zao ni kusaidia kupata wateja wa kuwapa mikopo na mikopo hiyo Ina ya aina mbili 1.Mikopo ya vikundi 2. Mikopo binafsi Changamoto wanayopitia...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Je, Kampuni au Taasisi Yako Inahitaji Mfumo Maalum?

    Peculiar Enterprises Ltd. ni kampuni ya teknolojia inayobuni na kutengeneza mifumo ya kidijitali kwa makampuni, mashirika, taasisi na biashara zenye mahitaji ya kitaasisi. Mbali na kuendesha mfumo unaosimamia zaidi ya biashara 20,000 Africa unaojulikana kama SmartBusiness, pia tunatengeneza...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jinsi kampuni ya mikopo inavyotunyanyasa wafanyakazi wake

    Naandika waraka huu kwa masikitiko makubwa nikiwakilisha sauti za vijana wengi ambao wanapitia mateso na unyanyasaji ndani ya kampuni ya utoaji mikopo iitwayo Orbit Microfinance Services inayofanya shughuli zake Zanzibar. Kampuni hii imekuwa ikiendesha utaratibu wa kuajiri vijana unaoambatana...
  9. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kiwi Shoe Polish Mjitafakari

    Tuko mwaka 2026 jamani, lakini Kiwi shoe polish bado manatuuzia makopo yanayofunguliwa kama vile ni mtihani wa mwisho! 😂 Simu zimekuwa smart, magari yanajiendesha yenyewe, AI inafanya vitu vya ajabu… lakini huo mkebe wenu kufungua ni kama unafanya mtihani wa practical Kwanini Kiwi msijaribu...
  10. JamiiForums Tanzania Leo nimewakumbuka Dionis na Jamal Malinzi. Na kampuni yao ya Cargo Star

    Magufuli kweli ni nyoko. Aliwaondoa kabisa kwenye ramani hawa jamaa. Jamaal na Dioniz Malinzi ambao ndio walikuwa wamiliki wa kampuni ya clearing and forward iitwayo Cargo star. Walitamba enzi hizo kabla ya Rais Magufuli kufuta na kufungia kampuni nyingi za clearing & forward. Tangu wakati...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ewe mmiliki wa kampuni, unafahamu ya kuwa leo 30 Juni 2026 ni siku ya mwisho kuwasilisha hesabu za kampuni yako Kwenda TRA?

    Hakikisha unawasilisha hesabu za kampuni yako kwenda TRA kabla ya 30 Juni 2026, tofauti na hapo kampuni yako itakuwa hatarini kulipa faini ya Tshs 300,000 kwa kila mwezi ambao hujawasilisha hesabu zako. Hii ni kwa mjibu wa kufungu 89 (1) ya Sheria ya usimamizi wa kodi (R.E 2023). Epuka kuingiza...
  12. JamiiForums Tanzania Napata mashaka na kampuni ya META na hii serikali yetu

    Hii kampuni hipo siku na kama siku mtakuja kusikia wamefikishwa mahakamani nchini mwao kuhusu wao na serikali ya CCM. Nacho furahi wenzetu hawa kurupuki wakija kukupeleka mahakamani A to Z wanazo.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania

    Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania Kampuni za Algeria zinazojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za viwandani na kilimo zinatafuta wabia wa kufanya nazo biashara ya mazao na uwekezaji katika sekta ya viwanda nchini Tanzania. Kampuni hizo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Serikali imesikiliza maoni ya wananchi inapoikubalia Kampuni ya MOFAT ombi LATRA kuziondoa Daladala Mbagala?

    Mwezi January mwaka huu 2026, kampuni ya mabasi ya mwendokasi MOFAT ilituma ombi kwa LATRA kwamba walikuwa wakipata hasara ruti ya Mbagala kutokana na uwepo wa bajaji, bodaboda na daladala. Sisi wa zamani tunakumbuka wakati wa zoezi la ubinafsishaji sekta ya benki, benki binafsi za nje walitaka...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chivayo aiweka Kenya mfukoni? Kampuni yake yapewa dili la Dola Bilioni 2.9 kuboresha Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA)

    Kama mnavyojua, linapokuja suala la miradi mikubwa ya miundombinu (mega projects) katika ukanda wetu wa Afrika Mashariki, mambo huwa hayaishi vituko. Baada ya kelele nyingi, migomo ya wafanyakazi, na kesi mahakamani zilizopelekea kufutwa kwa ule mkataba tata wa uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya matapeli wa mtandaoni na kampuni ya TTCL?

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilituhakikishia kuwa hatua mbalimbali zilizochukuliwa zimepunguza kwa kiasi kikubwa, au hata kutokomeza, utapeli wa mtandaoni. Hata hivyo, uzoefu wangu binafsi unaonyesha taswira tofauti. Katika kipindi cha miezi mitatu tu iliyopita, nimepokea jumbe nyingi...
  17. JamiiForums Tanzania Swala la umeme africa bado sana kama ili tena kampuni moja inataka umeme wa nchi nzima na bado inakudai.

    Kenya walishawai kupata dili la Microsoft wafungue data center ila kampuni ili hitaji gigawati 1 ya umeme.wakat Kenya kwa wakati huo ilikuwa na uwezo wa kuzalisha takribani MW 3,000–3,200 tu. Hapo ni kenya.
  18. A

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni CEO Mwenye Kampuni ambayo bado haijaanza kazi tangu isajiliwe? yakupasa kufahamu hili

    Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama; 1. Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi? 2. Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna siku mtasikia pesa imelipwa kampuni ya META ambayo inashutuma kubwa sehemu nyingi.

    Kwa kuwa mchakato bado ujamalizika na wengine wakisubiri juwa la jioni kuweka misamahaa yao kwenye vitabu. Kuna jambo mtakuja kubaki midomo wazi kuhusu META hii kampuni ya facebook na ubagazaji wa afrika kuficha maovu na nchi zinazo walipa mpaka urusi yupo,USA yupo,israel yupo,afrika ndio...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi sijui Hesabu au Mabeberu Wana Hela? Apple Pekee ina Thamani Sawa na Bajeti ya Tanzania ya Miaka 200?

    Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe! Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea. Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion. Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…