Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,055
- 5,815
Halo vip!
Moja kwa moja kwenye mada husika ni hivi nimesuka mkeka wangu.
Na Ila baada ya timu zote kutoa Na walikuwa wananiletea cash out nakaa.
Sasa wameamua kuchana mkeka wangu kwa makusudi.
Ni hivi Luna match mbili nimeweka 1.5 Na match yakwanza imeisha kwa 1-1 Na match ya pili imeisha 0-2.a
Wamechana mkeka kwa kuandika under1.5 wakativkwenye mkeka inaonyesha over 1.5,alafu zimenichania..wakati mkeka huu haujachanika mpaka sasa Na imebaki match ya Leo niliyoomba 2.5 Na niuwakika.
Haya magoli yamepatika mapema sana.