UHURUWANGU
Member
- Mar 11, 2025
- 54
- 85
🗣️ NO REFORM, NO ELECTION! 🚨
Hatutaingia kwenye uchaguzi wa 2025 bila mabadiliko ya msingi katika Katiba na mfumo wa uchaguzi! Watanzania wanastahili Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili kuhakikisha haki na usawa kwa vyama vyote.
🔥 Hakuna Mabadiliko? Hakuna Uchaguzi! 🔥
Tuwaunge mkono CHADEMA katika kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION na tuwahimize Watanzania wote kusimama imara kudai haki yetu ya msingi ya UHURU kumpigia kura Kiongozi tunayemtaka sisi!
#NoReformNoElection ✊🏾 #KatibaMpyaSasa 📢 #TumeHuru 🗳️