Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).
https://www.youtube.com/watch?v=vjOkard2ik0
Mwanasiasa mkongwe Zitto Z. Kabwe ameanza mchakato wa kampeni za kuwania Ubunge, leo Jumamosi tarehe 6 mwezi wa 9, 2025 anazindua kampeni Mkoani Kigoma.
https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Makambako Mkoani Njombe leo tarehe 06 Septemba, 2025.
Wananchi waliojitokeza...
Hajaonekana. Mzee wa kulamba asali. Nadhani itakuwa yupo reserve anasubiria kufanya Kampeni mkoani mwake Tanga.
Huyu Mzee wa Pwani ana maneno sana nadhani atatumika kwa wakati wake kumnadi mgombea Urais wa CCM.
Huyu ni MwanaCCM kindaki ndaki, kada mzoefu ambaye tunamwitaji aongezee nguvu...
Nimeangalia kampeni za CCM kipande kidogo leo. Wakati watu wanaruka ruka na kuimba kabla ya Kabudi kuongea mara paap kuna mtu akapita na ndoo yake ya miwa pale mbele basi mimi moja kwa moja nikamkumbuka yule Muuza Madafu wa Ikulu
Ikiwa ni takribani siku nane tangu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ifungue rasmi dirisha la kampeni za Udiwani, Ubunge na Urais, Chama cha ADA TADEA mkoani Ruvuma bado hakijaanza rasmi kampeni zake kutokana na hali ngumu ya ukata wa fedha.
Akizungumza na TVE Habari, Katibu wa ADA TADEA...
Katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Jimbo la Buchosa, mgombea Eric Shigongo, Septemba 3, 2025 ameeleza namna ambavyo serikali imefanikisha maboresho ya miundombinu mbalimbali na kutatua changamoto zilizokuwa zikiwakabili wananchi.
Miongoni mwa mafanikio yaliyotajwa ni pamoja na ujenzi na...
Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza – shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kata… lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa tusubiri. Mpaka lini?
Ni muda sasa tuanzishe sheria mpya – sheria ya kuwalazimisha wagombea kutekeleza...
Tarehe 29.08.2025, Ukurasa rasmi wa Ikulu Mawasiliano ulichapicha taarifa zenye kichwa kisemacho "Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Ngerengere kwa ajili ya kuzungumza na wananchi...
Yawezekana ACT WAZALENDO wakaanza kampeni Bila mgombea wa jamuhuri?
Lakini niliona hta Mwinyi alichukua peke yake baada ya Samia kuchukua
Je yupi ni WA muhimu
Kati ya mgombea wa jamuhuri na mgombea wa Zanzibar?
Kama nchi ni Moja kwa Nini vyama wagombea wasichukue siku moja na wazindue...
TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA NLD
KUHUSU KUSITISHWA KWA SHAMRASHAMRA ZA KUMPONGEZA MGOMBEA URAIS MHE. DOYO HASSAN DOYO NA MGOMBEA MWENZA BI. CHAUSIKU KHATIBU, NA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA
Chama cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kutoa taarifa rasmi kwa waandishi...
Ndugu zangu CCM kipindi hiki cha kampeni ili tuwezi kushinda kwa kishindo basi tuombe tuwe tunawekewe hotuba za Magufuli ikiwezekana kwenye redio zote za Tanzania hizi hotuba ziendane kama tunavyomsifia Mama ili tuwapiga wapinzani kweli kweli
Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.
Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.
Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi...
Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema.
Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
Bei/Price TSH 15.5M
Call +255 747 999 927
TOYOTA SURF
Year: 1996
Engine: 2.7L
Mileage: 100K
Transmission: AUTO
Sunroof
Sport Rims
Android Radio
Clean Interior
In Good Condition
Exchange Possible
Nimeangalia kwa makini kampeni za CCM ,naona kinachoendelea ni matamasha tu !
Kama vile fiesta au festival ya wasafi . Unafanyaje kampeni bila kuwa na mshindani ? CCM wanawinda mnyama
Ambae tayari wameshamuua, ccm Wana roho mbaya haijapata kutokea ,mara zote nawaambia kupitia sanduku la...
Mfano CCM na ahadi zetu Za siku zote zomerudiwa tena wakati zile za nyuma bado!
Mgombea si halali. Kila wakipita pita ntakuwa nafungua macho watanzania !!
Kesho kama kawaida
Mchengerwa aliingiaje kwenye dili la ndege na Magufuli akafichwa
Nani Hasa analipa kikosi cha kuteka watu...
Ingekuwa wanaweza kusomba viewers kwa mabasi huko kwenye social networks hakika wangefanya ivo kama wanavyofanya huko mitaani.
Hali ni tete, ukiunganisha viewers wa media zooote kwenye social media zoooote huenda wasifike hata 500 tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.