Mgombea Ubunge Kibaha Bw. Kweka aliwapotezea wananchi akaendelea kutenda yake. Leo kwenye kampeni mzee huyu anapumulia mashine, wananchi wamemchoka na wajumbe pia walimkataa washukuriwe kina mama waliombeba.
CCM msaidieni huyu mtu kuwaomba wananchi msamaha na aache kiburi na majivuno, alitumwa...