Mbunge Ghati Chomete Aendelea Kushiriki Shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete ameendelea kushiriki katika shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, ambayo tarehe 14 Machi ilifanya ziara ya kikazi...
MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MARA MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI YA BUNGE TAFICO.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo iliyofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Florent Kyombo amesema kamati yake itashirikiana kwa karibu na Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI) katika usimamizi na uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari ili...
DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA AFCON 2027
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili ya kupitia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika maandalizi ya michuano hiyo mikubwa itakayofanyika...
Mtoto akinyea Mkono ni kosa kuukata ila kitendo Cha wale majaa kuchoma soko na Leo mmezindua jipya paspo kuwachukulia HATUA Haina maana mnajenga Bali mnabomoa jamaa wapo kwa Nini mmewaacha?
Mwenyekiti wa kamati ndogo ya ulinzi wa uhuru wa dini wa Bunge la Marekani, bwana Chris Smith, wakati akifungua kikao cha mwaka, ameeleza kuwa Tanzania imerudi nyuma kwenye ulinzi wa uhuru wa dini.
Ameeleza kuwa mapadre kadhaa wa Kanisa Katoliki, akiwemo katibu wa TEC Fr Kitima, ama walitekwa...
Wenyeviti wengi wa Kamati hizo walitakiwa kupigiwe kura kama ilivyo kawaida lakini kilichofanyika majina yalikuja from no where watu wakasomewa majina ya Wenyeviti, ikawa imeisha hiyo.
Wabunge walibaki na maswali yasiyo na majibu. Kisha huku nje ikaja kutangazwa kuwa wamepigiwa kura wameshinda...
Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
afrika
afrika mashariki
akutana
balozi
balozi mahmoud thabit kombo
bunge
jackson
kamati
mahmoud thabit kombo
mambo
mambo ya
mambo ya nje
marekani
mashariki
mazungumzo
mbunge
mjumbe
ndogo
nje
thabit kombo
ushirikiano
ushirikiano wa afrika mashariki
wawakilishi
waziri
waziri kombo
Tuliwaasa acheni proganda zenu za ovyo.
Mzungu hasa Marekani hawezi kuwa mnafiki hata siku 1, yaani huyu USA mwenye sauti kwenye taasisi zote za UN aje adanganye Kwa vikao vyenu vya uchochoroni
Yaani juzi tu mlikuwa marafiki hadi kualikana taasisi kubwa kama bunge, Leo hamtakiwi kwenda kwao...
Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki.
Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli.
Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
Rais Samia akizindua Tume Huru ya Uchunguzi ya Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi
https://www.youtube.com/live/pPI4FheVabM?si=j0ZyGRkWY0MtLpRm
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka akizungumza Ikulu Chamwino mkoani Dodoma wakati wa uzinduzi wa Tume Huru ya...
Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi?
Kwani ile ya kwanza nani aliiunda? Asiongeze watu, bali aivunje kabisa.
Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana.
Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani.
Kwenye...
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera .E. Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili (MTAKUWWA II), kilichofanyika tarehe 11 Novemba, 2025 Jijini Dodoma.
kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Wizara...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya kisiasa, ikiwemo vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya maeneo nchini.
Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche amebainisha hayo leo Jumanne...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameongoza kwa...
Watu na Washauri wa Samia nini msichoelewa na kuona
Jeshi limesema sasa kwa njia za Kiraia, haliko tayari kufanya kazi na Samia.
Msione Aibu, Rais hana nguvu bila kuungwa mkono na Jeshi, simple and clear.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema asilimia 80 ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA hawakukubaliana na msimamo wa 'No Reforms, No Election,' ndiyo maana wengi wamekihama chama hicho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.