Waziri wa Afya wa Tanzania, Jenista Mhagama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mawaziri wa Afya na Masuala ya Afya ya Jamii Kanda ya Mashariki Afrika (The Regional Streering Committee- ResCo).
Mawaziri wa Afya wa kutoka nchi 14 wanachama wa Kanda ya Mashariki mwa Afrika...
Huku Serikali ikiwa inaendelea na juhudi za kuhakikisha huduma za kijamii zinawafikia wananchi haswa maeneo ya vijijini, kamati mbali mbali ambazo zimeundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo, hususani kwenye nyanja za Elimu na Afya, zimetakiwa kuhakikisha zinafuatilia hatua kwa hatua...
TLS ni chama cha wanasheria ambacho kazi yake kubwa ni kusimamia maadili ya wanasheria.
Kwa sababu hiyo ndani yake kumeundwa kamati ya maadiliya mawskili ili ukiwa na lalamiko lolote dhidi ya mawakili wao watasikiliza na kutoa maamuzi.
Kuna shauri la kimaadili nililipeleka Toka mwaka Jana...
Naomba kuuliza, mbona wakaguzi wa miradi ni wengi sana na bado miradi mingi ufanisi wake ni wa hovyo.
Hizo pesa zinazotumika kwa ajili ya ziara za kukagua miradi si bora zikafanya kazi nyingine tu na miradi ikawa inakaguliwa na taasisi moja maalumu baada ya hapo inapeleka ripoti kwa wengine.
Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama.
Kwa mujibu wa taarifa ya CHADENA, baada ya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu viongozi wake, wanachama, na umma kwa ujumla kuwa tarehe 3 Juni 2025, Chama kitafanya kikao cha dharura cha Kamati Kuu.
Pia, Soma: CHADEMA kuijadili barua ya Msajili Juni 3.2025
Kikao hicho kitaanza saa 3:00 asubuhi na...
Licha ya kuwa TFF, Bodi ya ligi na taasisi zote za TFF zipo mfukoni mwa Simba ila Kwa hili oneni basi aibu
Mpanzu amemchezea rafu mbaya mchezaji wa Singida Black Stars ambayo ingehatarisha kipaji chake kabisa, adhabu hiyo ilistahili kadi nyekundu lakini mwamuzi hakuliona tukio hilo ndo ikawa...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameipongeza Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waamuzi wa Mpira wa Miguu Tanzania (FRAT) inayoongozwa na Emmanuel Chaula, iliyochaguliwa leo Mei 30,2025 katika ukumbi wa Maktaba jijini Tanga.
Mimi nawahakikishia Hajatokea MTU yoyote Tanzania awe Rais au Nani, HAJATOKEA ,HAYUPO NA HAKUNA AMBAYE ATAFUTA CHAMA CHA CHADEMA, HAYUPOOOO !!.
Hata awe ni Chawa wa namna gan, hata awe na Ulinzi wa aina gan, hata MCHINA AWE KAAHIDI KITU GAN , HAYUPO na hakuna yoyote mwenye ubavu hata Uthubutu...
Wadau hamjamboni nyote? Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati husika , going against taratibu husika ni dharau kubwa, he disregard party tradition, needs to be fixed Angewasikisha hoja zake mamlaka husika. Has enough experience with party tradition hence should not have gone Public. A...
Vyombo vya habari vya Nje ya nchi na Kimataifa vyote vinazungumza jambo moja kubwa. Jambo hilo ni ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu unaofanywa na Serikali ya Rais Samia.
Vyombo hivi vya Kimataifa vimeripoti matukio makubwa kabisa ambayo yanaunda Makosa dhidi ya Binadamu na Ubinadamu. Makosa...
Chadema wameitisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama hicho. Moja ya malalamiko ya G55 ilikuwa kwamba viongozi wanafanya ziara za kukusanya posho na hawaitishi kikao cha kamati kuu kujadili kesi ya Lissu.
Naona baada ya Chama Kikuu cha upinzani-Chaumma kupata kwa umaarufu, kikao...
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:
1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana...
Uhuni wa TFF utapingwa Kwa njia zozote Sasa hao TFF kama wana uweZo waisushe Yanga daraja
Karia afurahie awe na amani akiisusha Yanga daraja
TFF ina upande kwenye hii kesi yaani ni sawa kupeleka kesi Kwa hakimu amfunge mwanae wa pekee
Bodi ya ligi na TFF walisema sababu za kuhairisha mechi ni...
Rais wa TFF, Wallace Karia ni mwanachama wa Simba
Amekuwa dictator hapo TFF anatumika na timu ya Simba kuhujumu Yanga
Kwa maksudi kabisa akishirikiana na 5imba kukimbia mechi kwakuwa 5imba alikuwa na wachezaji wengi majeruhi
Yani Kwa uhuni huu Wallace Karia akahairisha mechi na kuitafutia...
Badala ya kuzungumzia changamoto za Wafanyakazi zilizojaa lukuki....once in a year wanakuja na Hotuba ya kusifia majukumu ya serikali. Hii nchi imekuwaje?
Toka hii kamati imeanzishwa imekua kama ya kulisafisha bunge na upande wa Serikali tu. Wameshawai kupelekwa wengi mpaka Pasco, Luhaga na wengineo chungu mzima lkn wote imeonekana Wana makosa hata katika kesi ambazo ni wazi kabisa bunge limekosea. Hivyo basi sijashangaa kuona mbunge Mrisho Gambo...
Kamata Tundu Lissu, kamata John Heche, halafu kikao Cha Kamati Kuu kiitishwe, maazimio yawe No Reforms No Election ifutwe.
Makamo Zanzibar anakaimu uenyekiti halafu Tume inasemwa ilikosea kusema Kusaini Kuna mwisho. CHADEMA wanasaini.
John Mrema aliposema siku si nyingi watia nia wasikate...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, na Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (Mb), Spika wa Bunge la Tanzania, pia Rais...
balozi
ccm
chama
chama cha mapinduzi
dkt. emmanuel john nchimbi
emmanuel john
emmanuel john nchimbi
john
kamati
katibu
katibu mkuu
katibu mkuu wa chama
mapinduzi
mkuu
mwenyekiti
mwenyekiti wa kamati
nchimbi
wabunge
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo ameunda kamati malumu kwa ajili ya kufanya uchunguzi na kubaini sababu zinazosabaisha msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ambao umekuwa ukilalamikiwa mara kwa mara na madereva hali ambayo imekuwa kero kwa watumiaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.