kamati

Kamati is a village in Bamyan Province in central Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Tupe ushuhuda kuhusu hii kamati ya nidhamu

    Tupe ushuhuda kuusu hii kamati ya nidhamu
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwenye Kila chama cha siasa ccm Wana watu wao na Kila kamati kuu ya chama chochote cha siasa ccm Wana watu wao hao mashahidi wa Siri ni makada wenu !

    Ccm ni kama yule malaika mkuu aitwae Lucifer Ambae alilewa sifa akatamani kuwa mungu !! Akatupwa na Sasa tunae mpaka ndani ya nyumba takatifu za ibada !! Ccm ni wakongwe wa hizi mambo ndani ya vyama vya upinzani vyote wanapeleka watu wao na wengine ni usalama wa taifa wanakuja kama raia...
  3. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Kimeumana CCM wangua vilio wakimtaka kembaki polisi watia timu katibu CCM afunguka ( Constructive Manslaughter)

    Ukiwasikiliza hawa wananchi wa Tarime, wana hasira sana, wasije tu wakampelekea mapanga Ester Matiko aliyeteuliwa na CCM... Wasikilizeni wananchi, wana jambo lao hapa : https://youtu.be/SpHCTAw5xJw?si=U1wDtgJVAng4qDJR
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri vikao vya kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa.

    Kwa unyenyekevu mkubwa niko tayari kuupokea kwa mikono miwili uamuzi wenu thabiti kwa ustawi na maslahi mapana ya chama cha mapinduzi. Hakuna cha kupoteza. Asante sana wa jumbe wa mikutano mikuu ya CCM katika kata zote zaidi ya 17 katika Jimbo langu, kwa imani na mapenzi yenu makubwa mno kwangu...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shilole atoswa UWT Tabora, aiangukia Kamati Kuu

    Mfanyabiashara Maarufu Duniani na Mwenye connection zake nchi nzima. Ametoswa na Wajumbe kwa sasa anategemea huruma ya Kamati Kuu. Ikiwa watakumbuka mazuri aliyowatendea siku zilizopita.
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Kamati Kuu inazidi Mahakama ya Rufaa

    Pamoja na Kura za Mchongo za Wajumbe. Kamati Kuu ndio mwamuzi wa Mwisho. Na hakuna kitu mtafanya.
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waliotimkia CCM kutoka CHADEMA 'kundi la wabunge 19' wametoboa mchujo wa kamati kuu CCM

    Wabunge wa Viti Maalum 13 kutoka 'Kundi la Wabunge 19' waliofukuzwa CHADEMA mwaka 2020 ambao walitangaza kujitosa CCM na kuomba nafasi za kuteuliwa ubunge na ubunge wa viti maalum katika uchaguzi mkuu 2025 wamepitishwa kwenye mchujo uliofanywa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa...
  8. and 998 others

    JamiiForums Tanzania PM kwani sio Mjumbe wa Kamati Kuu?

    Mwamba unamuona Serbia mara Abu Dhabi. Huku Dodoma wakichinja syndicate yake bila huruma. Siasa zetu ni shidaa
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Oliver Semuguruka 'Twiga' akatwa Kamati Kuu

    Twiga katenguliwa miguu na Kamati Kuu. Chezea Siasa za bongo
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

    Wakuu, Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo. Ngoja tuone kitachojiri ========= Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa...
  11. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM wapitisheni Wabunge wanaomaliza muda wao ili kuendeleza 4R

    Wabunge wanaomaliza muda wao. Walipambania Chama Enzi za DP World. Tuwarudishe Bungeni kuendeleza 4R OktobaTUNATIKI Mshana Jr Lucas Mwashambwa Mpwayungu Village
  12. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Kama watia Nia UDIWANI na UBUNGE wanajadiliwa na KAMATI KUU TAIFA, Je watia Nia URAISI watajadiliwa na kamati gani?

    Nini kazi ya kamati za SIASA mkoa na wilaya kazi zao zitakuwa ni kufanya Nini? Diwani kamati ya wilaya ndio inamfamu vizuri kuliko taifa kulingana na mazingira ambapo anatokea. Mbunge kamati ya mkoa ndio inamjua vizuri ikisaidia na wilaya Rais huyu anatambulika na wajumbe wa mkutano mkuu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Makala: Kamati kuu ya CCM na Halmashauri kuu Zitakaa tarehe 26/07/2025

    Kamati kuu ya CCM itakaa 26/7/2025 na Uteuzi wa wagombea utafanyika28/7/2025 Source Channel ten
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkutano Mkuu, Halmashauri Kuu na Kamati Kuu za chama ndizo zilizofanya maamuzi Samia kuwa Mgombea Urais

    Vyombo vya juu kabisa vya kichama ndivyo vilivyofanya maamuzi sahihi,ndani ya mikutano yake,na kura zikapigwa kizuri zaidi kura zote kwa asilimia 99.8 zikaafiki,na kumsimika,ya kwamba hawa ndiyo wagombea wetu, #Kushindana na uamuzi wa vyombo vyote hivyo vya kichama vilivyofanya maamuzi ndani ya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu Anaswa Miguu na kukatwa Jina na Kamati ya siasa ya Mkoa. Asubiria Maamuzi ya Kamati kuu.

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Ummy Mwalimu Waziri Mstaafu katika wizara mbalimbali ikiwepo wizara ya afya amejikuta katika wakati mgumu ,wakati wa mawazo ,wakati wa sintofahamu ,wakati wa mateso Ya moyo kibinadamu baada ya Jina lake kukwaa Kisiki na kukatwa katika vikao vya mchujo kamati...
  16. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya

    1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini 2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini 3. January Makamba jimbo la Bumbuli 4. Jerry Muro Jimbo la Hai 5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini 6. Luhanga Mpina kule Kisesa 7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini 8. Mwijaku Jimbo la Mvomero 9. Furaha Dominic kule Kawe...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Waliopenya kamati za CCM wilaya na walioliwa vichwa

    Hawa wamepenya kamati za wilaya 1. Nape Nnauye jimbo la Mtama 2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini 3. Baba Levo kule Kigoma Mjini 4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini 5. Paul Makonda Arusha Mjini 6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi 7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki 8. Aggrey...
  18. Now and then

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi ambavyo Nape na Byabato walivyo kidhalilisha Chama cha Mapinduzi Ccm kuwa wanashinda kwa kuiba kura , nitashangaa kama watarudi Bungeni!.

    Kamati kuu ya Ccm wakati wa kuchuja Majina tafuteni watu sahihi na wenye nidhamu . Mnakumbuka Mh Nape pamoja na Mh Byabato walivyojinasibu kuwa wao hata wakishindwa watangangazwa wameshinda. Kauli hii sio tu inaonesha wazi kuwa Tanzania ni nchi ambayo haina demokrasia . Na kuonesha kuwa...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM wa Jimbo lililoko shule hii ,ninaomba Kamati Kuu ya CCM Taifa isimpitishe kugombea ubunge 2025-2030

    Angalieni hii video! Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho. CC: Prof Adolf Mkenda
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shija Richard, mtia nia Urais TFF kumpeleka Rais wa TFF kamati ya maadili

    Shija Richard ambae ni mtia nia ya Kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka nchini TFF, amesema amerudisha fomu yake ya Urais wa TFF bila ya kupata Endorsement hata moja. Richard Shija ambae aliwahi kuja mjumbe wa kamati ya Utendaji Yanga SC amesema wakati anapambana kupata Endorsement...
Back
Top Bottom