kali

  1. Umewahi ona Mansion kali ya chini? Check this 6 Bedrooms Call us +255624004650

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTIONNSERVICES CALL/WHATSAP +255624004650
  2. Raha ya kuzaa na pisi kali, uhusiano unakuwa unadumu kutokana na mtoto

    Wakuu habari, Katika ujana wangu niliweza kuzaa na pisi kali watatu, na mwingine wa nne ni wakawaida. Kutokana na kuzaa nao watoto wazuri, mawasiliano yamekuwa ni ya mara kwa mara, hasa kwenye kujuliana hali pamoja na kuchangia maendeleo ya huo uzao wetu; ingawa wao hawafahamiani. Kwa sasa...
  3. M

    Hakimu atoa onyo kali kwa Lissu na wenzake kutodharau Mahakama pale inapokuwa imeketi

    Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama. Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election" Hakimu ameeleza kuwa Mahakama inakuwa kamili pale...
  4. W

    IT mpo? AI inachukua kazi zenu kimyakimya, Mjipange !! Karinga kunitengenezea website ndogo kwa elf 10 nimemaliza kila kitu kwenye ChatGPT bure.

    Leo nilikuwa napitia uzi flani humu ndani wa kero ya kutambua mitandao kwa namba za simu. Nikaona nifanye kiproject simple cha kutatua tatizo hili, nikaandika orodha ya namba pamoja na mitandao yake. Nikaenda kwa IT flani yupo tu kitaa atengeneze website ndogo ya kurahisisha kwa dau la elfu 5...
  5. Kila nikitaka kujiandikisha daftari la wapiga kura, sauti ya 'ILI IWEJE' inanijia masikioni, nami najeuka speed kali kuendelea na mambo yangu binafsi

    Kuna kila dalili kwamba sitahuisha kichinjio changu kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Nimejaribu mara mbili kuhuisha ila imeshindikana kabisa kufanya hivo, mara zote nikikaribia eneo la tukio, huwa inanijia ile sauti ya 'ili iweje', basi na mimi najeuka kwa kasi, nyuzi za pembe 180, naamua kuelekea...
  6. M

    Pisi Kali kwa hapa Moshi - Maeneo ya KCMC zinapatikana wapi??

    Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
  7. Wanangu! Usioe PISI KALI – Utakufa Maskini na Moyo Kufeli!

    Oya wanangu, sikilizeni hii gospel straight kutoka street za roho zilizochoka. Bro, usioe pisi kali bana! Yaani narudia loud and clear – DON’T WIFE A BADDIE! Hao ni wa ku-pass around tu kama blunt ya ghetto, si wa kuweka ndani kama wife material. Hii ni warning ya mtaa – pisi kali ni zile demu...
  8. Pisi Kali kwa hapa kishiri-mwanza zinapatikana wapi??

    Habari ya muda huu wakuu, nimefika mwanza kutoka dsm jiji limepoa sana, nipo kishiri nazunguka zunguka kucheck pisi za kisukuma lkn sijabahatika kbs , kwa anaejua maeneo mazuri kwa hapa kishiri atwambie. Aisee vumbi sana kama kigoma🤣🤣🤣🤣
  9. R

    Hard disk ya laptop naitumia kwenye TV shida inapata joto kali, natatua vipi hili tatizo ?

    Hard disk ni ya laptop nimeiweka kwenye kasha limeandika Usb 3.0 ila waya wake ulikuwa mfupi, nikaunganisha huo waya na waya mwengine mrefu wa kuchomekea flash na external, waya nao umeandikwa usb 3.0. Shida inakuja hard disk inapata joto kali sana
  10. Baada ya kifungo Cha miaka mingi hatimaye Sigara Kali nimerudi hewani

    Nilipigwa BAN kimya kimya kwa miaka kadhaa kosa silijui Ila imerudi tena Sigara Kali. Asanteni moderators wote wa JF
  11. 6bedrooms design kali call us for design and construction services 0624004650

  12. Wachina wamegundua pikipiki inayotumia pombe kali badala ya mafuta

    Tukisema afrika bado tunaitaji No reform No election mnaleta matamasha ya raisi.Haya waziri wajafo,mchengerwa na mwiguru uchumi mtauweza. https://www.youtube.com/shorts/zorydKgciQY?app=desktop
  13. Stress kali special thread

    Wasalaam wana jamvi. Nimeona nianzishe uzi huu kwa ajili ya wote tunaopitia STRESS KALI aidha kwenye mahusiano, familia, biashara, afya, na kadhalika Watu wengi wakiwa na stress huenda bar na kutafuta barmaid wanaanza kulewa na zikipanda wanaanza kuropoka stress zao ambazo pengine ilibidi ziwe...
  14. Naombeni ushauri movie gani kali niangalie

    Movie yoyote ambayo itanifundisha au itabadirisha mindset yangu hasa katika kupambana na umaskini. Asante Jina tu la movie linatosha
  15. This ain’t your regular maths – hii ni f*cking gangsta mathematics: formula mpya kali za kichawi hazijawahi kutokea Tz

    Yo, watanzania wenzangu, especially walimu wa hesabu... Let’s be real, you’ve been feeding kids the same old sht for decades. Pythagoras this, Quadratic that, kama vile hiyo crap ndio mwisho wa dunia. But guess what? Hii ni Mathematics from the fcking streets, straight outta mental ghetto...
  16. Jana Mbunge wa Kenya kauliwa na huku kwetu kiongozi wa kidini kavamiwa. It makes you wonder kwamba je wewe mpambanaji wa kawaida what worst can happen

    Aisee, Amani na Utulivu ndio tumaini la mwisho katika ubinadamu ila kwa bahati mbaya kwa baadhi ya watu sio kitu cha thamani kwao. Nawatakia Amani ndugu zangu.
  17. Movie kali sana unatengeneza roboti kumbe

    Unatengeneza Roboti kwa ajili ya kusaidia kwenye kulinda nchi na ulimwengu, kisha anakusaliti na kutaka kuitawala Dunia je atafanikiwa movie yenye ukatili kinoma 🔥🔥🔥 https://youtu.be/DgxBGtYo1mI
  18. Je unahitaji logo kali kwa biashara yako

    Karibu getx graphics tz kwa huduma za graphics kama poster, logo n.k Contact 0627109582 Kuona kazi zetu tembelea instagram @getx_graphic tz
  19. Jua kali tamthilia wamezingua sana

    Habari za Jumatatu Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba nimekuwa nafuatilia tamthilia hii bila kufuata mtiririko. Ila siku za karibuni nimeifuatilia bila kupenda kwa kuwa nilikuwa nabembelezwa nitoe remote na kubadili chaneli. Hivyo wakati nasubiria tamthilia iishe, ilibidi kutazama ndipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…