kali

  1. Naombeni muongozo wa kwenda kushtaki jirani ambaye anachanganya madawa yenye sumu Kali ya kuua wadudu shambani

    Husika na kichwa Cha Habari Wadau naombeni muongozo hapa, je hii kitu ni sawa? Kwenye makazi ya watu mtu nyumbani kwake anachanganya sumu Kali zenye harufu Kali za kuua wadudu mashambani na kwenye mazao , hivyo harufu inasambaa kwa majirani na watoto are present Hivi hizi sumu si ndio...
  2. SUV kali za kichina hizi hapa

    Hii hapa orodha ya SUV 3 za kifahari kutoka China,nmechagua chache zilizonivutia zaidi mchina anakuja vizuri sana kwenye tech gari zipo kisasa sn aisee pia zinavutia sana ndani na zinafeatures nyingi, kuna Aito M9, Li Auto L9, na Denza N9 zikiwa na bei kwa TZS. 🚙 1. Aito M9 🇨🇳 Brand: AITO...
  3. NYUMBA KALI SANA INAUZWA,IPO BAHARI BEACH MTAA WA KISHUA SANA,BEI NI MILLION 450M,MAONGEZI YAPO

    HOUSE FOR SALE: LOCATION: BAHARI BEACH SQM: 1,200 Nyumba Ina vyumba vinne PRICE: 450 Million negotiable. Hati ipo. Hii unfinished house ina Sitting room: 1 Modern windows, ✅ Kitchen, ✅️ Dining room, ✅️ Parking,✅️ Garden, ✅️ Good neighbourhoods, ✅️ 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717...
  4. Albums na EPs kali za kibongo

    Niaje wakuu??? Isivyo bahati mimi naenjoy zaidi mziki kwa mafungu kwaio Albums na EPs ndio mambo yangu, kibongo bongo ii ndio listi yangu ya Albums na EPs ninazopenda kuskiliza; 1. MBUZI - Young Lunya 2. MONEY MONDAYS - V-Money 3. BOYFRIENDS LIFE - Bruce Africa 4. The Kid you know - Marioo...
  5. Jinsi ya Kuandika Copy Kali Inayouza (Hata Kama Huna Degree ya Masoko)

    Watu hawasomi copy zako kwa sababu ni nzuri — wanasoma kwa sababu wanajihisi kama wewe unajua tatizo lao. Copy nzuri haizungumzii bidhaa. Inaingia kichwani kwa mteja, inamgusa rohoni, kisha inamsukuma kuchukua hatua kama mtu aliyelogwa. 🧩 Subtopic 1: Fahamu Unamwandikia Nani Maswali ya...
  6. M

    Soko la nguzo nane shinya lina tiririsha maji machafu yenye haru kali

    Kama nilivosema hapo juu, hapa shinyanga kuna soko maarufu sana linaiywa nguzo nane. Kero yangu ni kwamba, hili soko linatiririsha maji machafu yenye harufu kali sana kwenye mfereji wa barabara naomba wahusika wachukue hatu kwani ni kero kubwa lakin pia ni hatari kwa afya ya watumiaji wa soko hili
  7. Hawa watoto ni hatari sana, wana Hisia kali zaidi ya watu wazima

    Sijui kama wanaigiza au wako Real lakini inagusa sana unaposikiliza ndani yako unaiona nia njema ya hawa watoto. Watoto hawa si tu waimbaji, bali ni vyombo vya Mungu vinavyoleta uzima kwa sauti zao. Walipoimba, kila neno lilijaa upendo, kila sauti iligusa moyo. Waliimba kama malaika...
  8. Wanawake wangekuwa na uwezo wa kuumba wanaume wao wangewaumba. Ulimwengu wa sasa kuna vita kali sana kati pesa na mwanamke

    Wasaalam wanajukwaa nina imani mna afya njema. Kadri miaka inavyoenda, karne, kizazi kubadilika ndivyo binadamu hubadilika. Nirudi kwenye mada..... Wanaume wanazidi kupungua sana duniani kutokana na sababu mbalimbali kv; magonjwa, kazi ngumu, mawazo, vita ajali, migogoro, malezi n.k. nimeandika...
  9. K

    Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    1. St Judy schools 2. vision fund 3. Halmashauri za wilaya 4. Akiba commercial bank 5. Tanzania commercial bank 6. Dcb bank 7. Dtb bank 8. IPP media 9. Toyota Tanzania 10 . Car & General Trading Ltd 11. Rotana Hotel 12.J eshi la Magereza 13 . Jeshi la zimamoto 14. Kampuni za ulinzi 15. Mahakama...
  10. Nyumba ya Kisasa ya Contemporary: Mvuto wa Decor bora, tatizo ni Gharama!

    PROJECT COMPLETED KAMA UNAHITAJI KUJENGEWA/DESIGN CALL US +255624004640
  11. M

    Ugonjwa wa ndigana kali (east coast fever) kwa ng'ombe

    --- 📌 Elimu kwa Wafugaji – Ugonjwa wa Ndigana Kali (East Coast Fever – ECF) kwa Ng’ombe --- 🔬 ECF ni nini? Ni ugonjwa hatari unaowashambulia ng’ombe, husababishwa na kimelea aitwaye Theileria parva, anayeenezwa na kupe aina ya Brown Ear Tick (Rhipicephalus appendiculatus). --- 🚨 Dalili za...
  12. Baada ya tishio ya jihadi ya itikadi ya msimamo mkali, tishio lingine ni kutoka mataifa ya magharibi, wanaitwa LIBERALS.

    Hawa ndio wanao-force watoto wenu wasome vitabu vyenye details za kishoga shoga mashuleni. Hawa ndio wanaoforce uwezekano wa kumbadili mtoto wako jinsia ukihisi tu ana elements za jinsia ambayo sio alionayo. Hawa ndio wanao -force mwanamke afanye abortion kwa namna na wakati wowote aupendao...
  13. Ramani kali ya vyumba vitatu

    Ramani ya vyumba vitatu Sebule jiko dining store Choo Kwa maelezo zaidi +255678418272 WhatsApp
  14. Iran aliapa kuwa mfalme wa jihad duniani, sultan wa msimamo wa itikadi kali na mshindi wa chuki dhidi ya mamlaka za kikristu, kihundu na kiyahudi.

    Basi kwa namna hio aliandaa kimya kimya njia za kutetemesha mamlaka ambazo hakuzipenda. Alifadhili machafuko kwa namna ambayo hakuonekana alihusika na walileta maafa makubwa. Kila mkono wa ugaidi duniani haswa wa kutoka mashariki ya kati unashikwa na Irani kwa asilimia zaidi ya 65% Mamlaka ya...
  15. Acha nitulie sasa nimalizie series yangu kali sana

  16. SAA KALI ZA KIUME

    🕰️ TANGAZO MAALUM! 🔥 Saa Kali za Kiume Zimewasili! ⌚ Unatafuta saa ya kiume inayovutia, ya kisasa na yenye mvuto wa kipekee? Usitafute tena! 🌟 Saa za Ubora wa Hali ya Juu 💼 Inafaa kwa ofisini, matembezi au zawadi ya kipekee 💰 Bei: TSh 50,000 tu! 📍 Tunapatikana Dar es Salaam 🚚 Tunafanya...
  17. Baadhi ya moive kali 2025

    Wapenzi wa moive mpaka sasa hizi kwangu ni moive kali na za 🔥 2025 kufika sasa.Kama ilivyo mpira basi sisi wengine burudani yeku kubwa ni kuangalia moive
  18. P

    KERO Maji yanayotoka Tabora yana harufu kali sana za madawa. Wanazidisha sana madawa. (TUWASA) mtaleta madhara kwa watu

    Kuna baadhi ya maeneo mkoani tabora maji yanayotoka kwenye mfumo wa mabomba chini ya TUWASA yana harufu kali sana ya madawa. Hali hii ni tokea mwaka jana mwishoni hadi sasa. Harufu hiyo kero sana hasa pale unapoamua kuchemsha maji hayo ufanye yawe maji ya kunywa. Unakunywa maji yakiwa na harufu...
  19. Picha: Nyumba kali ya Mwl Mkuu Itilima; ''Mama hatumdai''

    Nyumba ya Mwalimu Mkuu, Shule ya Msingi Dasina, Kata ya Nkoma, Jimbo la Itilima Mkoa wa Simiyu. Hakika Mama Hatumdai ila yeye ndio anaeyetudai..
  20. Msaada kwa mwenye operation system ya kali linux au Linux ya kwenye PC

    Habarini wakuu Naomba msaada wenu, nahitaji kupata OS ya Kali Linux au toleo lingine la Linux kwa ajili ya PC yangu. Ningependa nijifunze zaidi kuhusu cybersecurity na command line tools, lakini sijui ni wapi salama pa kudownload na jinsi ya kuiweka. Kama kuna anayejua sehemu salama ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…