kali

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kunahitajika Adhabu kali; hali ni tete Tanzania

    Sina haja ya kubwabwaja sana, matendo na vitendo vinavyotendwa katika hujma mbalimbali humu Tanzania ni vya kusikitisha na kuhuzunisha sana. Mauaji ya ovyo ovyo, watu kukatwa mapanga mchana kweupe usiku ndio usiseme, na yote hayo hufanywa na watu wa rika mbali mbali na wakati mwengine au...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hatua kali za udhibiti wa maambukizi bado ni njia bora zaidi ya kukabiliana na COVID-19 nchini China

    Hivi karibuni, mlipuko wa wimbi jipya la COVID-19 katika miji kadhaa nchini China ikiwemo Shanghai na Beijing umefuatiliwa na vyombo vya habari na jamii ya kimataifa. Watu wengi wanashangaa kwamba, wakati kirusi kipya cha Omicron, ambacho kinaambukiza kwa kasi zaidi na bila ya sumu kali...
  3. JamiiForums Tanzania INAUZWA Salon kali ya kiume inauzwa- Mbeya mjini (Igawilo)

    Salon kali ya kiume inauzwa kwa bei ambayo ni sawa na bure. Salon ipo Mbeya mjini (Igawilo soko kuu) barabarani kabisa. Salon inakila kitu ndani kama vile FLAT TV MPYA, HAIR CUT MACHINE, SALON CHAIRS, SALON WAITERS SOFA, HEATER, SUBWOOFER nk. BEI NI SHILLING MILLION 1 NA LAKI 2 ( KODI YA...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka Jeans Kali niende Kariakoo au Maduka ya Sinza?

    Wakuu. Nataka jeans kali kama 5 hivi. Budget ya 20,000 mwisho. Najiuliza, niende Kariakoo au nikaoambane maduka ya Vunjabei na Boss Kalewa?
  5. JamiiForums Tanzania Vigezo vya majiji makubwa Kwa mwanamke kuitwa Pisi Kali, vyawekwa wazi Rasmi!

    Wakuu Kwema! Wanaume karibu wote Duniani hupenda wanawake wazuri, na hapa nazungumzia wazuri kikamilifu. Sio wakubahatisha! Taikon nikaona nifanye uchunguzi ni kitu gani kinafanya mwanamke aitwe Pisi Kali, mtoto JoJo mzuri Kama Malaika. Vifuatavyo ni vigezo vya wanawake kuitwa Pisi Kali katika...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna pisi-kali na vipisi-vikali

    Wasalaam wana JF Katika pita pita zangu huko kwenye mabaraza ya watu waovu ninaleta ushuhuda kwenu kwamba kuna PISI KALI na vipisi vikali. Kuna wale wadada ambao wamekamilika kila idara yaani kabla ya muovu shetani kuja, wao ndiyo waliokua mpango wa Mungu, yaani muonekano alioukusudia Mungu...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua kali sana kwa Maafisa Utumishi wa namna hii

    Kumekuwa na mvutano wa hali ya juu sn kati ya vyama viwili vya kutetea walimu yaan cwt na chakuhawata juu ya nan mwenye haki ya kumtetea mwalimu huku CWT kikijinasibu kuwa na haki na hata inapoonekana chakuhawata wameingia kwenye makato bas cwt ipo tayar kutumia hela kuhonga maafisa utumishi ili...
  8. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

    Wakuu, Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania? UPDATE: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja...
  9. JamiiForums Tanzania Tariq Kipemba amewakosea nini wanadamu mpaka wameamua kumpa adhabu kali namna hii?

    Nimeiona hii habari kupitia Millard ayo nikaona ni vyema niilete humu jamvini huenda akapata chochote. Kijana Tariq Kipemba amemwagiwa kitu kinachohisika kuwa ni tindikali huko mkoani Kilimanjaro wakati akiwa katika matembezi ya kawaida. Tukio hili limempa majeraha makali mwilini mwake na...
  10. JamiiForums Tanzania Filamu kali za mwaka 2022

    Hizi ni moja ya filamu zilizobamba mwaka huu 1. Silverton siege 2022 filamu imechezwa south africa moja wapigania uhuru wanaiteka bank kubwa ndani ya hiyo kuna mtoto wa kigogo mkubwa na ni supervisor wa hiyo wanaiteka lakini hawaibi fedha shida yao kubwa ni nelson mandela aachiwe movie...
  11. JamiiForums Tanzania Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

    Hali ya Maisha inazidi kuwa ngumu. Why jamani, why? Kila siku watu wakiamka afadhali na jana. Serikali yetu kwa sasa haijielewi kabisa. Haieleweki kuna watu wanampotosha Rais. Kuna watu wanamshauri vibaya makusudi. Wanamshauri vibaya nchi ionekane imemshinda. Maisha haya hatukutegemea. Kila...
  12. JamiiForums Tanzania Baa zenye pisi kali kula bata weekend

    Wakuuuu poleni na majukum, Kiukweli huwa nikija dar mapumziko ya kikaz hupenda kujirusha viwanja mbali mbali . Lakini samaki samaki masaki wazeee weekend kuna ps kali zinakula bata tupeane machimbo mengine kesho ntakuwa dar wakuu.
  13. JamiiForums Tanzania Plate number za Kenya zinafanya gari kali zionekane mbaya

    Gari kali lakini plate number mbaya...Wakenya hebu badilikeni bhana. Plate number kama zimechorwa na mkaa!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Kigeni wa Kubakia Simba SC kwa Jicho langu Kali la Kiufundi baada ya Kufurumushwa rasmi na Orlando Pirates FC jana ni hawa tu....

    1. Joash Onyango 2. Henock Inonga 3. Clatous Chama 4. Pape Ousmane Sakho 5. Bernard Morrison 6. Peter Banda Ambao sijawataja hapa waachwe upesi sana Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ukimalizika tafadhali kwani hawana Jipya, hawa Msaada kwa Timu na Wameshachoka. Sina desturi ya Kukosea Kiuchambuzi.
  15. JamiiForums Tanzania Mbinu ya Russia kuivamia Ukraine ilikuwa kali sema ya kizamani

    Urusi kiukweli wameonesha umahiri wa kutumia mbinu za enzi ya kina hitla na dola la kirumi katika uvamimizi.Kabla sijaelezea mbinu hizo naomba ufahamu kuwa Urusi haikua na malengo ya kuivamia Ukraine yote,bali ililenga maeneo ya eastern part yaliyopakana na mipaka yake ,lengo ikiwa ni...
  16. JamiiForums Tanzania Nani pisi kali kati ya Uwoya na Aggy baby?

  17. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari watumia pombe kali!

    Mwaka jana, wakati kama huu (siku kuu mfululizo), nilimpoteza rafiki yangu kipenzi. Alipenda sana pombe kali, bia alikuwa hataki. Kula chakula alikuwa mvivu. Sasa alianza na pombe Kali, Alhamisi jioni, (hapo ni mpaka masaa marefu), Ijumaa, Jumamosi, Jumapili, Jumatatu! Sasa Jumanne tumefika...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

    Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania. Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Faini, Polisi au adhabu kali barabarani hazipunguzi ajali

    Kuna hali ngumu ya maisha itokanayo na mfumuko mkubwa wa bei ambao serikali imechagua kujiweka pembeni kiaina: Kama vile haitoshi kuna usumbufu mkubwa barabarani. Zinatakiwa pesa, mengine kama kawaida yetu ni usumbufu tu. Bahati mbaya ni kuwa ajali zinazotokea wala hazisababishwi na...
  20. JamiiForums Tanzania Je, bado GPA kali ina msaada?

    Kwa kuangalia sasa hakuna ajira labda kijana asome Sana GPA ije imbebe wakati ushindani Ni mkubwa wakati wa ajira. Matokeo yake wenye GPA kubwa wakirudi mtaan hana focus tena na wenye GpA 2.0-3.2 ndio wenye makampuni. Je, bado Kuna haja ya kusoma kea ajili ya GPA Kali 4.5 - 5.0. Nawasilisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…