kaka

Ricardo Izecson dos Santos Leite (Brazilian Portuguese: [hiˈkaɾdu iˈzɛksõ duˈsɐ̃tus ˈlejt͡ʃi]; born 22 April 1982), commonly known as Kaká (Portuguese: [kaˈka] (listen)) or Ricardo Kaká, is a Brazilian retired professional footballer who played as an attacking midfielder. Owing to his performances as a playmaker in his prime at A.C. Milan, a period marked by his creative passing, goal scoring and dribbles from midfield, Kaká is widely considered one of the best players of his generation. With success at club and international level, he is one of eight players to have won the FIFA World Cup, the UEFA Champions League and the Ballon d'Or.Kaká made his professional club debut at age 18 at São Paulo in Brazil in 2001, and his performances with the club led him to joining Serie A club AC Milan in 2003. In Italy, Kaká helped Milan finish runners up in the 2004-05 UEFA Champions League with him being the top assist provider of the tournament, and named the UEFA Club Midfielder of the Year. He led Milan to win the 2006-07 UEFA Champions League and was the tournament's top goal scorer. His performances saw him win the FIFA World Player of the Year, the 2007 Ballon d'Or, the UEFA Club Footballer of the Year and the IFFHS World's Best Playmaker awards. After six years with Milan, Kaká joined Real Madrid in 2009 for a transfer fee of €67 million, which was the second highest transfer fee at the time. However, after four injury troubled seasons in Spain, which saw his physical mobility rapidly decline, he returned to AC Milan for a single season in 2013, prior to joining MLS expansion club Orlando City. He initially returned to his former club São Paulo on loan, before relocating to the United States in 2015 and retiring in 2017.
Kaká made his debut for the Brazil national team in 2002, and was selected for their victorious FIFA World Cup squad that year, as well as the 2006 and 2010 tournaments. He was also a member of Brazil's 2005 and 2009 FIFA Confederations Cup-winning squads, winning the Golden Ball Award in 2009 as the tournament's best player.
In addition to his individual awards, between 2006 and 2009 he was named in both the FIFA World XI and the UEFA Team of the Year three times. In 2010, he was named in the A.C. Milan Hall of Fame. One of the world's most famous athletes during his playing career, Kaká was the first sportsperson to amass 10 million followers on Twitter. Off the field, Kaká is known for his humanitarian work, where he became the youngest ambassador of the UN World Food Programme in 2004. For his contributions on and off the pitch, Kaká was listed by Time as one of the world's 100 most influential people in 2008 and 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. Aliyekuwa mlinzi wa hayati Magufuli yupo Chato kwenye kumbukizi

    Miongoni mwa waliohudhuria Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, John Pombe Magufuli, ni Wilfred Mwango, aliyewahi kuwa mlinzi wake binafsi. KUMBUKIZI | Magufuli: Siku moja mtanikumbuka, na mimi najua mtanikumbuka kwa MAZURI si kwa MABAYA Picha hii...
  2. M

    Dada, Kaka siyo kila kitu cha kwenye familia yako ni cha kumueleza mwenza

    Ni kweli ni mpenzi wako, lakini siyo kila kitu cha kwenye familia yako au ukoo wako anapaswa kujua vingine vibaki siri ya ukoo wako ili kuilinda heshima yako kwa huyo mwenza wako. Punguza kusema kila kitu kuhusu Wazazi, ndugu zako kwa huyo mwenza wako maana kama hana hekima kuna siku atavitumia...
  3. Stori ya El Chapo imenikumbusha kaka yangu alivyopoteza kila kitu kutokana na mwanamke

    Hii inshu ya El Chapo imenikumbusha kaka yangu. Mwaka fulani maeneo fulani Kanda ya Ziwa, katika mkoa mpya fulani, kipindi hicho palikuwa bado bush sana. Kaka yangu alikuwa akijihusisha na utafsiri wa movie za kihindi, kizungu na kichina katika ukumbi mkubwa sana kwa kipindi hicho. Kutokana na...
  4. Yuko wapi Augustino, kaka yake Humphrey Polepole?

    Mara ya mwisho alitoa masaa 24 na tishio kali sana kwa samia na genge lake. Kwa alivokuwa anazungumza inaonekana lilikuwa ni jambo lilio ndani ya uwezo wake kuwadhuru magaidi hawa. Kinachonishangaza ni ukimya wake tangu siku hio, hata attempt yoyote haijaonekana hata kwa hawa askari wadogo...
  5. Naombeni ushauri kaka zangu sihitaji matusi

    Wakuu samahani Mimi mdogo wenu naitaji ushauri wa haraka ,Kuna demu alinisumbua kama mwezi hivi alikula vyangu jana akasema anakuja magetoni nikaona nimkomoe nikaenda kununua mkongo ili nimkomoe hii ni mara yangu ya kwanza kutumia mkongo, nilitaka nimkomoe nikaupaka kwenye uume wote maelekezo...
  6. Kaka wa Polepole sio mwanajeshi wa nchi hii ila hiyo nchi ikitaka kuwachukua siku moja ni mifano tosha kwenye mapinduzi

    Huyu kaka yake Polepole sio mwanajeshi wa nchi hii ndio maana serikali ya CCM mafwere iwezi kuzungumza chochote wala kujibu. Wakijibu ni kama wanamgusa mwewe na malikia marehemu. kwa sasa wabaki wakishindana na sisi wananchi kututeka na kufanya vyovyote,ila mpo mbioni kutekwa na nyie na kufutika.
  7. Akimbia nchi nzuri ya Kiislamu kwenda ishi nchi ya Kibeberu na kuamua kuolewa na kaka yake

    Hii huwa inanichanganya. Huyu dada ameondoka nchi yao nzuri ya kiislamu yenye kufuata miiko ya dini na taratibu na kwenda kuishi nchi ya kikafir. Alichofanya ndo kimeshangaza zaidi. Huko ambako hawajifuniki nywele na hawavai nguo za stara ameenda akaoana na kaka yake. Imagine kaolewa na kaka...
  8. Namuulizia kaka yake Polepole, anaendeleaje huko?

    Anaendeleaje na report zake za visasi? isije ikawa yeye ndie kafanywa jambo maana yuko kimya na ni muda sasa;
  9. PostGE2025 Kaka yake Polepole: Tukitoka tunaanzia Masaki kumalizia Mikocheni." Jicho la kijasusi kupitia kauli hiyo

    Je, nini hatima ya kauli iyo kijasusi, kasema yupo Tanzania na watanzania wasiogope wapinge tena kwa vitendo" kamalizia kwa kusema wanaanzia sehemu fulani kumaliza sehemu fulani Uchambuzi wa kiintelijensia nikaja na nadharia zifuatazo. 1- Watanzania wasiogope ANa watia moyo watanzania na pia...
  10. Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

    Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana...
  11. K

    Huyu kaka ameanza kuniboa nifanyeje

    Tukiwa tunajiandaa na maandamano siku ya kesho nimeona niyatoe ya moyoni maana sina pa kuyatolea Nimekuwa na mahusiano ni kijana mmoja wa kawaida tu hawa wadada tunawaita sura personal maana nyie ma handsome boy siwataki mmenipiga sana matukio Sasa kilichonileta hapa sio huyo kijana bali ni...
  12. Mama na Kaka walichangamka sana Wiki iliyopita, mbona Wiki hii wamepoa na Kaka alionyesha Ugangwe na Ungangari dhidi ya Mdogo Mtu Mpotezwa?

    Nauliza tu kwa nia njema na wala tusinuniane tafadhali. Nilidhani Kaka Mtu kwa lile Biti lake la Wiki iliyopita basi angeendelea nalo kwani tulimsifia kuwa alikuwa ni Mbabe hata kuliko Mdogo wake tuliyemdhania kuwa alikuwa Mbabe kabla ya Wababe zaidi yake kumalizana nae.
  13. Polisi: Tunamtafuta Augustino Polepole kutoa ushahidi juu ya shutuma za kutekwa Humphrey Polepole

    Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo. Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi...
  14. Kaka na Dada zangu acheni uchawi, hakuna mahala utawafikisha

    UCHAWI UPO; Asili yake ni kukufumbaza ili uone kama unakufanikisha ila kaisili unakula Aura, Nafsi na kizazi chako. Asili ya uchawi ni maangamizi, utakupa vipesa vya kwenye bishara yako lakini utalipa kwa damu yako au wanaonganika na wewe. Asili ya uchawi ni uharibifu utakuponesha ugonjwa...
  15. J

    GE2025 Kwa namna Kibaigwa ilivyofurika mkutano wa kampeni, tumtarajie kaka kuitisha press saa tatu usiku

    Shalom Sikutegemea kuona umati kama ule ukijitokeza kumpokea mgombea wa CCM kwa kiasi kile. Watanzania tuwaeleweje? Kwamba Polepole hamumsikii?... Hamumuelewi au!! Kujazana vile kwenye mikutano ya CCM mnatupa ujumbe gani Watanzania wenzenu tusio na upande? Naogopa
  16. M

    Umri unavyoenda marafiki hupungua sana, Wanaobaki ni ndugu na familia, ushuhuda ni wajomba zangu waliokuwa hawapatani ila ukubwani wamekuwa karibu

    Miaka ya utotoni na ujanani imejaa options kibao za marafiki lakini ukubwani marafiki wanazidi kupungua au kupotea kabisa. option ambayo huwa inabaki kwa wengi ni ndugu na familia zao. wajomba zangu walikuwa na kabeef flani ka muda mrefu sana tangu wakiwa wadogo hadi ujanani lakini ukubwani...
  17. Shukran zangu za dhati kwenda kwa kaka mkuu min-me

    Naam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi. Hii inanipa motisha na hamasa ya kuendelea kujituma zaidi ili nifike malengo niliokusudia katika kupaza sauti za watoto wa mtaani...
  18. Barza ya Takaungu ya Harith Al Amin Mazrui Kaka Yake Prof. Ali Mazrui

    https://youtu.be/dI8KfdvnwTw?si=CF9ZsjsrXKXtcB2i
  19. Huyu kaka namjua ila sijui anafaidika na nini kuvaa mavazi ya kike na kwenda mahakamani

    Inatia ukakasi MTU kuvaa mavazi ya kike
  20. Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

    Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni. Shikamooni. Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…