kahama

Kahama is a town in north-western Tanzania. The town serves as the headquarters of Kahama Urban District.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara inayounganisha Busoka na Masaki Wilayani Kahama hali yake ni mbaya

    Hii ni Barabara ipo Kahama na inaunganisha vijiji vya Busoka na Masaki hali yake ni mbaya, Barabara imekatika na maji mengi yanapita katikati, jambo linalofanya iwe vigumu au isiwezekane kabisa kwa magari na vyombo vingine vya usafiri kupita. Tunaomba viongozi ("Waheshimiwa") na wazee wa Kahama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Kahama Manispaa kuna maendeleo kuzidi Shinyanga manispaa?

    Kahama ni mji ambao ni kawaida kukuta mtu anapush gari ya milioni 500, Lakini je, Kahama manispaa imeipiku shinyanga manispaa?
  3. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kahama bwana

    Mademu wa kahama weng wao njaa nyingi,'weng wametoka pande mbali mbali ili wasake maisha hapa..Na Mala nyingi wanawke waliopo..kahama ni Malay wasitaafu. Dem...kauza mbususu mikoa ya Mwanza ,Dodoma ,Daresalama,Geita,Pwani ,Ameitembeza mbususu mpaka mbeya...huyo anachapa Raba tunduma...
  4. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Kahama Jeans; Karibu ujipatie Jeans aina zote Bei kitonga sana

    Coat jeans_Tsh 15,000/ Boyfriend jeans Tsh_ 15,000/ flare jeans_ Tsh 15,000/ Mom jeans _Tsh 15,000/ jeans normal _Tsh 10,000/ tops_ Tsh 5000/ 📍Napatikana Kahama mjini ➡️delivery bure ndani ya kahama ➡️mikoa jirani na kahama delivery ukipokea mzigo ndio unalipa ➡️ nicheki Pm au Whatsapp...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Sina Abc za za Kahama nipeni fursa huko

    Habari wakuu kama kichwa kinavyosema hapo juu Sina abc za Mji wa Kahama naskia kipo vizuri sijawahi kufika nataka niuze simu hii nije, vipi kuhusu chumba kupanga na baadhi ya yenye shughuri za kiutafutaji, Pia mwenyeji wa mkoa wa kahama unaweza ukaninifadhili nikae Kwako cha muhimu uaminifuntu...
  6. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Serikali iuangalie mji wa Kahama kwa jicho la tatu

    Picha zote nilizotumia kwenye uzi huu ni za Kahama Mimi sio mkazi wa Kahama ila huu mji unahitaji attention Kahama ni mji unaokua kwa kasi na mzunguko wa hela upo vizuri kwa level za Kitanzania Population inakua kwa kasi na sababu kuu ni shughuli za uchimbaji madini Lakini hivi karibuni...
  7. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Nipeni kazi yoyote nipo kahama 0715670870

    Nipeni kazi yoyote ya kufanya nipo kahama, Manzese 0715670870 Nitakufa na njaa.
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wananchi ndio nguvu yenu ya kuwapa mapato ila mnachokifanya mnajinufaisha wenyewe Wilaya ya Kahama

    Leo nipo mkoa wa shinganya wilaya ya kahama kikazi. Hongereni kwa kupewa manispaa sasa. Il nilichogundua kahama ina mchanganyiko wa watu wengi sana na wanachi wamejenga yani majengo unayokutana nayo ukiambiwa hapa ni kahama kwenye picha utabisha. wilaya ya kahama imetanuka sana kwa kahama...
  9. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Ati ‘Mji kasoro bahari’ watia aibu hehee! Mji gani washindwa mpaka na Mafinga, Kahama

    Nye Nye Nye. Mekutana na kina Mogela hapa Mazimbu Mayii. Wafurahisha Nye. Maneno mengi pyuu ushubwada hamna lolote. Wajiita mji kasolo bahari wakati washamba watupu. Wanaume kama mabinti hehehe. MO29 mayii iliwaumbua pabaya mayo. Mo town yakushindwa na Mafinga Nye. Kule igumelo kahama...
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Maandamano: Kahama hapakaliki muda huu

    Yote haya uliyataka ya Nini samia. Kulikua na best way ya kuyamaliza haya yote
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Gari yawaka moto Masumbwe Kahama ikiwa na Mchele

    Gar yawaka Moto Masumbwe Kahama ikiwa na Mchele Hapa Mlalahoi anarudisha mpira kwa kipa. Ng'ombe wa masikini hazai
  12. S

    JamiiForums Tanzania Askari wapya 178 wahitimu mafunzo ya jeshi la akiba akiwemo DAS wa Kahama

    Wakuu Nimeona taarifa katibu tawala mmoja amehitimu mafunzo ya ugambo (Jeshi la akiba) hii ina maana gani? === Askari Wapya 178 wa Jeshi la akiba wilayani ya Kahama mkoani Shinyanga wamehitimu mafunzo ya Jeshi la akiba akiwemo Katibu tawala wa wilaya ya Kahama Glory Absalum,ambayo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania RC Mboni Mhita: Shinyanga na Kahama zimekusanya TZS 540bn kutoka kwenye madini

    TUWE WA KWELI, HIVI NI NANI ANGEWEZA HAYA? Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia kuanzia Machi 2021 hadi Aprili 2025, Mikoa ya Shinyanga na Kahama ambayo ni Mikoa ya kimadini imeweza kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 540.17. Kwa mwaka wa fedha 2024/2025 hadi kufikia Aprili 2025...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenge wa uhuru kutembelea miradi yenye thamani ya zaidi bilioni 6.4 manispaa ya Kahama 2025

    Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, inatarajiwa kuupokea Mwenge wa Uhuru kimkoa Agosti 3, 2025 ukitokea mkoani Tabora, na kuanza kukimbizwa siku hiyo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama. Mwenge wa Uhuru 2025 utapokelewa katika viwanja vya kituo cha mabasi Kagongwa ukitokea...
  15. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais TLS ampigia chapuo Nkuba Ubunge Kahama Mjini

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amewaomaba wananchi wa Kahama Mjini kumchagua Sweetbert Nkuba aliyewania kugombea ubunge endapo atapitishwa na chama chake cha CCM. Wakili Mwabukusi ameandika katika ukurasa wake wa Facebook baada ya Nkuba kumtembelea ofisini...
  16. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Yanayosimuliwa Kahama ndivyo yalivyo au wanaupaisha tu huo mji wa Wasukuma!

    Mijadala ya sifa na mapambio imeku mingi sana huku mitandaoni kuhusu Kahama, je yanayo ongelewa Yanauhalisia kweli?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaoifahamu kahama hasahasa migodini muongozo unahitajika

    Niko njiani kuanza safari kuelekea Kahama baada ya kukosa muelekeo na mtaji nilionao ni nauli tu.
  18. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kahama :Vijana wanne wasiojulikana majina yao wala makazi wameuwawa kwa kupigwa na kisha kuchomwa moto

    Vijana wanne wasiojulikana majina yao wala makazi wameuwawa kwa kupigwa na kisha kuchomwa moto na watu wenye hasira kali katika Mtaa na Kata ya Mhongolo Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya uhalifu na kupora watu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, SACP...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baraza la Wazazi CCM, Kahama: Midoli inadhalilisha Wanawake, inachochea mmonyoko wa maadili katika Jamii

    Baraza la Wazazi la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga limeishauri Serikali kutoa mwongozo wa namna bora ya matangazo ya biashara za nguo za ndani za wanawake kwa kutumia midoli ambayo imetajwa kuchochea mmonyoko wa maadili katika Jamii. Ushauri huo umetolewa na Baadhi...
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Nimeenda mitaa kadhaa hapa kahama ukifika kijiweni wee sema tu CCM HAINA USHAWISHI TENA Kisha Endelea kunywa kahawa Yako.

    Ni dhahiri kabisa ccm watu hawapendi hata kidogo kabisa wiki iliyopita nilikuwa geita basi nilikuwa nikifika kijiweni natupia tu Ccm Haina mashiko/ushawishi kabisa Kwa Sasa halafu natulia kuskilizia....mada ilikuwa inadakwa juujuu na inakuwa ya moto kweli.... Japo kwenye kundi la mamba kenge...
Back
Top Bottom