Sina Abc za za Kahama nipeni fursa huko

Sina Abc za za Kahama nipeni fursa huko

Nzona

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
4,077
Reaction score
6,330
Habari wakuu kama kichwa kinavyosema hapo juu Sina abc za Mji wa Kahama naskia kipo vizuri sijawahi kufika nataka niuze simu hii nije, vipi kuhusu chumba kupanga na baadhi ya yenye shughuri za kiutafutaji,

Pia mwenyeji wa mkoa wa kahama unaweza ukaninifadhili nikae Kwako cha muhimu uaminifuntu nijitafute maana Sina ndugu Wala rafiki huko nakuja kwa machale . Shukurani
 
Habari wakuu kama kichwa kinavyosema hapo juu Sina abc za mkoa wa kahama naskia kipo vizuri sijawahi kufika nataka niuze simu hii nije, vipi kuhusu chumba kupanga na baadhi ya yenye shughuri za kiutafutaji,

Pia mwenyeji wa mkoa wa kahama unaweza ukaninifadhili nikae Kwako cha muhimu uaminifuntu nijitafute maana Sina ndugu Wala rafiki huko nakuja kwa machale . Shukurani
Kahama sio mkoa ni Moja ya wilaya ndani ya mkoa wa Shinyanga.

Smartphone unayo ila hutaki Kuitumia kupata maarifa,matokeo yake ni aibu kama hii
 
Kwanza kwa taarifa tu ni kuwa, hakuna mkoa Tanzania unaoitwa kahama! kahama ni manispaa iliyoko mkoa wa shinyanga kanda ya ziwa! fursa zipo nyingi ikiwa tu una mtaji, biashara kama spare za pikipiki,nk nk zinalipa sana.
 
Sawa karibu weka mambo sawa kwanza.Mkoa ni Shinyanga na Kahama ni manispaa ndani ya mkoa wa Shinyanga.

Vyumba vinapatikana kuanzia elfu 20 mpaka ukomo wako.Kazi nyepesi kupata ni kwenda sehemu zenye machimbo ya madini(nguvu yako ndio kula yako).

Au kama utakuwa na mtaji biashara zinazofanyika Kahama hazina tofauti sana na maeneo mengine.Jaribu kwanza kufanya katika eneo unalopatikana

Kila la kheri
 
Back
Top Bottom