kaburi

Kaburi is a Papuan language of the Bird's Head Peninsula of West Papua.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TANZIA SSGT Reginald Ruta wa JWTZ amejiua kwenye Kaburi la marehemu Mkewe

    Kwa ambaye anamfahamu SSGT Ruta alikuwa Msata amejiua kwenye kaburi la mke wake ambaye alifariki siku ya Jumamosi huko Kilakala kaacha ujumbe kuwa alikuwa anampenda mke wake. ======== Dar es Salaam. Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Reginald Ruta amekutwa amekufa huku mwili wake...
  2. JamiiForums Tanzania Chifu Usoro ajichimbia kaburi na kusherehekea mazishi yake kabla ya kifo chake

    Katika kile wengi wanaweza kuelezea kama jambo lisilokuwa la kawaida, mwanamume Mnigeria Clement Usoro, ameipa maisha na kifo taswira mpya baada ya kujijengea kaburi na hata kusherehekea hafla hiyo kabla ya kuondoka kwake. Mzee huyo mwenye umri wa miaka 73, katika mahojiano na BBC Pidgin...
  3. JamiiForums Tanzania Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

    Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli? Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia. Wahusika mjitathmini.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais azuru Kaburi la Magufuli akiwa njiani kuelekea Kibondo

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametembeleaa kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Magufuli. Dkt Mpango alizuru kaburi hilo akiwa njiani kuelekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ili kufunga kampeni za Uchaguzi za CCM jimboni Muhambwe...
  5. JamiiForums Tanzania Unapata wapi ujasiri wa kufanya mapenzi juu ya kaburi?

    Aisee, Dunia ina mambo. Wiki iliyopita Jumamosi mtaani kwetu mida ya saa 7 usiku, gari ya polisi ilisimama wakaweka roadblock kuwakamata wazururaji. Ukikamatwa unakaguliwa, unajieleza kama maelezo hayatoshelezi unapigwa pingu ukaeleze zaidi kituoni Na mgambo wakawa wanazagaa sehem tofaut...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna 'Wanasiasa' Waandamizi wengine hawakuhudhuria Msiba Chato na leo ndiyo wameenda 'Kuhani' na 'Kuzuru' Kaburi?

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo amefika nyumbani kwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli wilayani Chato mkoani Geita kuangalia kaburi lake na kumjulia hali Mama yake Mzazi Suzana Magufuli. Waziri Mkuu Majaliwa amefika nyumbani kwa Hayati Dkt. Magufuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…