Unapata wapi ujasiri wa kufanya mapenzi juu ya kaburi?

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,447
99,040
Aisee, Dunia ina mambo.

Wiki iliyopita Jumamosi mtaani kwetu mida ya saa 7 usiku, gari ya polisi ilisimama wakaweka roadblock kuwakamata wazururaji. Ukikamatwa unakaguliwa, unajieleza kama maelezo hayatoshelezi unapigwa pingu ukaeleze zaidi kituoni

Na mgambo wakawa wanazagaa sehem tofaut tofaut. Wengine kwa mguu wengine na pikipiki, wanaokamatwa wanaletwa lilipo gari na kurushwa kichura chura na kujieleza.

Mi mwenyewe nilikua mmoja wao, nilidakwa natoka stendi kumpokea mgeni wangu. Cha kushangaza, waliletwa watu wanne, wanaume wawili na wanawake wawili wamekamatwa wanafanya mapenzi maeneo ya kuzika wafu (makaburini).

Nao wakawa wanarushwa kichura chura, uku wakifokewa na askali kwanini wafanyie mapenz makaburini. Aisee ilinishangaza sana. Sema kwa jinsi walivokua wanatia huruma, hawana hata cha kujieleza.

Sisi wengine tulijikuta kwenye wimbi la kicheko, japokua na sisi wenyewe tulikua kwenye majanga.

Kwa minong'ono iliyokua inaendelea pale, ilionyesha

-pea ya kwanza, mwanaume ni mme wa mtu mwingine na mwanamke ni mke wa mtu mwingine.

- pea ya pili, mwanaume ni bodaboda singo na binti ni mwanafunzi wa chuo.

Kulipokucha hapa kijiweni kwetu kazini ikawa ndio stori, cha kushangaza baadhi ya vijana na watu wazima wakasema "hiyo ni ajali kazini" Nikauliza kwanini, Baadhi ya vijana wakasema ilo mbona ni kawaida kabisa na wala halihusiani na imani za kishirikina na wengi wamefanya hivyo na wala hamna baya lolote limewapata.

Wengine wakatia na utani kabisa kuwa huwa wakienda kuzika na wakaona kaburi linawekwa marumaru (tiles), basi mioyo ya usuuzika sana. Wanasema ujenzi wa siku hizi wa kuwekea kaburi marumaru (tiles) maana kile kiubaridi cha tiles kinasisimua sana.

Wengine wakasema, Hata wakikatiza makaburini wakaona kaburi lenye tiles na msalamba mkubwa wa zege basi miili yao husisimka sana.

Wengine wakasema, Wanawake wenyewe saa nyingine ndio wanapendekeza maeneo ayo kwa kusema huko ndio sehem salama zaidi kuliko majumbani kwao au lodge au gesti house.

Wana JamiiForums, hii imekaaje wakuu
 
Hii haishangazi sana kama Gesi yetu kupewa majirani bureeee, benzi ya zawadi kwa mstaafu, na mstaafu mwingine kasri, halafu hapohapo Bi Mkubwa anaahirisha mechi baada ya raia kunyang'anywa hela zao. Hii ni zaidi ya majanga kumi makubwa ya kitaifa.

We need change of the so-called leadership.
 
Wengine wanasema kwenda makaburini sio kwamba hawana pesa, ila TU Ni fantasy yao.

Tena wanapenda sana
Yale makaburi yenye uzio na yanayolindwa na mlinzi

Anamuachia mlinzi elfu 5 au 10, anaingia na mtu wake kwenda kula burudani juu ya kaburi bila hofu ya kukamatwa na yeyote.

Msimu wa mvua,
wanaenda na HEMA kabisa na mwanamke anakuja na kitenge kizito wanalala juu ya kaburi kabisa bila wasiwasi mpk kunakucha

DUNIA INA MAMBO AISEE
 
Back
Top Bottom