kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maji yaangalieni haya kabla ya kukimbilia mfumo wa kulipia bili ya maji kabla ya matumizi (prepaid bill system)

    Habari wanajamii!.. Naona mfumo huu wa kulipia huduma kabla ya matumizi umeanza kuwa mfumo pendwa licha ya kuwa mfumo unaomuumiza zaidi mtumiaji au mlaji hususani huduma inapokosa ubora. Ni kweli wananchi tunapaswa kulipia huduma tunazopatiwa na Serikali ili kusaidia suala zima la uendeshaji na...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulitarajia kabla hujaanza mahusiano?

    Wakati niko shule niliwaona watu (couples) wakiwa na furaha nyakati zote, kusaidiana nyakati zote. Nikajipa matumaini na kusema mapenzi matamu Nami nitainjoy soon. Mda ukafika kila niliyokuwa naye sikuwahi pata Yale niliotarajia nikiwa shule. Nilijua kwenye mapenzi kuna. •Utulivu •Furaha...
  3. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanapodai Tumehuru kabla ya Katiba mpya nia yao ni kumsaidia swahiba wao

  4. JamiiForums Tanzania Kabla ya tume huru ya Uchaguzi, Tanzania twende kujifunza Demokrasia Nchi ya Mauritius

    Salaam, Mauritius ndo nchi ya kidemokrasia na mfano wa kuigwa katika bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hadi kufikia 2020, demokrasia ya Mauritania ilipewa pointi 8.14, ikiorodheshwa kama nchi pekee barani Afrika yenye demokrasia kamili. Kulingana mchakato wa uchaguzi, kazi za...
  5. JamiiForums Tanzania Ngorongoro Hifadhi ipo tangia 1959 tu, kabla ya hapo nani aliitunza?

    Mzungu aligeuza Ngorongoro kuwa Hifadhi mwaka 1959 kabla ya hapo mbona Wamasai hawakuiharibu? Kama Wamasai ni waharibifu wa mazingira kwa nini Mzungu aliikuta ikiwa intact? Kwa wasiojua Mkoloni Mjerumani alikuwa anaitumia Ngorongoro kama sehemu ya kufugia Wanyama, na kulikuwa na mpango wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

    Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuoa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja. Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi. Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana...
  7. JamiiForums Tanzania Mnyika apewe semina kwanza kabla ya kukutana na Rais Samia

    Baada ya Lissu na Mbowe kutanguliza maombi yao binafsi kabla ya chama, nashauri hili lisitokee tena wakati John Mnyika atakapokutana na mama. Makosa yaliyofanywa na viongozi wakubwa wa chama kuomba pasipoti na ruzuku badala ya katiba yalionesha kupwaya sana kwa mwenyekiti na makamu wake, labda...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafuta mengi sana yagunduliwa Lamu

    Wajuba... mapipa bilioni 4.8 sio mchezo ======= Kenya is just weeks away from announcing the discovery of new oil resources in the Lamu basin, bigger than what was found a decade ago in Turkana, in what could be a turning point for the country’s dreams of reaping petrodollars. Italian oil...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yatuma maafisa wake Poland na Hungary kunusuru Watanzania waliokwama Ukraine

    Waziri Mulamula amesema Serikali imepeleka maofisa wake katika nchi za Hungury na Poland ili kuratibu safari za wanafunzi waliokwisha vuka mpaka kutokea Ukraine. Kadhalika kuna wanafunzi ambao wameamua kwenda kuishi kwa ndugu na jamaa zao huko Denmark, Slovakia na Sweden. Wanafunzi 11 wako...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kabla ya Samia kuingia madarakani mabenki yetu yaliishiwa pumzi

    "Ilikuwa haisemwi kwa sauti kubwa lakini ni ukweli usiofichika kwamba mabenki yetu mengi yalikuwa yameishiwa pumzi. Ulikuwa ukienda kwenye counter zao unahesabu wateja wawili watatu na wateja wengi walikuwa wanadefault," Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba. Ameyasema hayo leo...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Azam tv wanairudia mechi ya Azam vs Biashara United siku moja kabla ya mechi ya Simba vs Biashara United?

    Mpaka naogopa Mimi sasa, mechi ya Azam vs Biashara United ilichezwa wakati Simba Iko kwenye majukumu ya kimataifa. Kesho Simba inacheza na Biashara United. Leo Azam tv inafanya marudio ya mechi hiyo. Hii Ina maana gani? Ni ombi maalumu au ni utaratibu wa Azam tv?
  12. JamiiForums Tanzania Saa chache kabla mtu hajafa

    Kwa mujibu wa uislam mtu anapokaribia kufariki huonyeshwa matendo yote alofanya katika maisha yake. Kisha huonyeshwa mafikio yake eidha motoni au peponi. Sasa wanasayansi wa leo wame prove hilo Je,wajua kinachopita akilini mwako unapokaribia kufa?-Utafiti Saa 7 zilizopita CHANZO CHA PICHA...
  13. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Manungu ulivyo kabla ya Mtibwa Sugar Vs Yanga

    Picha inayoonyesha mazingira ya Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro ulivyo, uwanja huo utatumika kwa ajili ya mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, leo Jumatano Februari 23, 2022. Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utaanza saa 10:00 Jioni, wenyeji Mtibwa Sugar wakiwa nafasi ya 15 kwa pointi 12 ambayo...
  14. JamiiForums Tanzania Wachaga, huu utaratibu wa kujenga kaburi kabla ya kufa umeanza lini?

    Nimeshtushwa kidogo kutoka kwa huyu ndugu Kimaro. Mkoa wa Kilimanjaro, katika kijiji cha Mbosho, wilayani Machame, kutana na Patrick Kimaro, mwenye umri wa miaka 59, ambaye amejingea kaburi lake. Kimaro amesema ni sehemu tu ya kujiandaa na maisha ya baadae na kuongeza kusema amefanya hivyo...
  15. JamiiForums Tanzania UNFPA: Wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufika miaka 18

    Umoja wa Mataifa unaoshughulika na Idadi ya Watu ‘UNFPA’ umesema wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufikisha miaka 18 hali inayowaweka katika manyanyaso na hatari ya magonjwa Vifo vya uzazi vimetajwa kuwa vingi kwa wasichana wa umri kati ya miaka 15 hadi 19 kwa kuwa viungo vyao huwa...
  16. JamiiForums Tanzania Unatakiwa ujitambue kundi uliopo kabla ya kuanzisha biashara

    Wengi wanatamani kumiliki biashara kubwa kubwa, lakini mwisho wa siku wanakuwa ni watu wa kutamani tu, wakianzisha biashara kesho watafunga na wataamia nyingine na mwisho wa siku hakuna biashara tena. Ni vizuri kufahamu makundi haya, na pia kujitathmini:- Wafanyakazi Hawa ni waajiriwa na...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu asiambiwe R.I. P kabla hajafa au wakati anakaribia kufa ili yeye mwenyewe asikie?

    Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!! Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
  18. M

    JamiiForums Tanzania GSM kabla ya Kukurupuka Kwenu Kudhamini Ligi na Vilabu mlipata Twisheni kwa Sports Pesa kwanini wao waliweza na Simba SC hawakuwagomea?

    Na msisahau hata Boss wao Mkuu kwa upande wa Tanzania ni Mheshimiwa Mbunge wa Kinondoni na mwana Yanga SC lia lia Tarimba Abbas Tarimba lakini bado waliweza Kuzungumza na Simba SC na Wakafanikiwa. Nyie GSM kwa Ushamba wenu na Kukurupuka Kwenu Siku ambayo mliingia Mkataba wa Udhamini Mwenza...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Trafiki aliyekataza mabasi ya Dar kuingia Same kabla ya saa bado yupo ofisini? Kwanini kizuizi kiwe Same na sehemu nyingine?

    Kuna taarifa zinasambaa Kwenye mitandao ya kijamii Kwamba Trafic wa Wilayani Same wamekataza mabasi yanayotoka Dar kuwahi kufika Same kabla ya saa Saba. Matokeo yake mabasi yakikaribia same yanapaki barabarani yakisubiri ifike saa Saba yaingie mjini. Wakati huyu trafic anafanya haya naamini...
  20. JamiiForums Tanzania Kabla hujakaribisha wageni nyumbani tathmini faida na hasara

    Huko mitaa ya kati kuna mama wa watoto wawili amejiwa na binamu yake kutoka USA. Binamu amerudi na zawadi za girlfriend wake lakini alighairi kumpa baada ya kusikia habari na matukio ya girl huyo mjini hapa. Watoto wa huyu mama wakiume na wakike wote wanasoma India. Basi anko kutoka USA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…