kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Phiri Mosses Lazima Aumizwe vibaya kabla hatua ya makundi iwapo Simba itakalia kimya mipango ya wapinzani dhidi ya Nyota wao

    Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira. Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko. Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa kabla hujaondoka ulituachia laana au uliwaachia neema?

    Kuna watu wananeemeka na kuwa matajiri zaidi baada ya kuondoka kwako na wale masikini wanakuwa masikini zaidi, je umetuachia laana au umewaachia neema, miaka yako michache sikuwahi pata shida ya maji na umeme hata kama vilikuepo sikatai lakini watendaji wanatumia siasa kwenye suala la maisha ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wanahitaji vyeti vya kuthibitisha ubikira wao kabla ya ndoa

    Ubikira kabla ya ndoa ni muhimu kwa wasichana wengi na familia zao, wakati mwingine wanaume uomba wathibitishe ubikira wao jambo ambalo Shirika la Afya Ulimwenguni linachukulia kama ukiukwaji wa haki za binadamu. Nchini Irani katika mwaka uliopita idadi Wairani wanaotoa wito wa kukomeshwa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania inakuwaje taarifa za kisababishi cha ajali zinatolewa kabla ya kupata black box

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema mpaka sasa idadi ya waliofariki katika ajali ya Ndege ya Precision Air wamefikia 19 huku akisisitiza kuwa kwa namna ndege hiyo ilivyotumbukia katika ziwa Victoria kwa kutangulizi kichwa hakuna matumaini ya rubani wa ndege hiyo kuwa hai. Waziri mkuu amesema...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kikao cha kishirikina tunakaa leo jumapili, kupinga maji yasivuke mjini kabla ya wanakigamboni kusambaziwa

    Kigamboni hakuna maji ya bomba tangu Uhuru, neema ya kisima iliyopatikana inapelekwa mjini kabla ya wanakigamboni kupatiwa maji hayo kwanza! Malalamiko yamepelekwa kwa wahusika kwamba maji yasambazwe kigamboni kwanza kabla ya kupelekwa mjini, hawajatusikiliza! Tumeamua kufikisha ujumbe wetu...
  6. JamiiForums Tanzania Mliopata ajira kupitia PSRS, status za application zenu zilikuwaje kabla ya kupata kazi na sasa hivi zikoje?

    Ndugu zetu ambao mmeshaanza kulamba asali, ebu mtujuze je status zenu za application katika account ya PSRS zilikuwaje na sasahivi zikoje? Najua huwenda kila mtu aliandikiwa tofauti, basi usisite kutuambie ulichoandikiwa. NB: Kama bado hujaanza kulamba asali, usiwe na haraka kukoment, subiri...
  7. JamiiForums Tanzania Ni wajibu wa msanii kuwasilisha wimbo wake Basata kabla hajautoa au sheria inasemaje?

    Hili limekuwa linanitatiza sana je utaratibu unasemaje Kuhusu hili? Je msanii anaweza kutunga tu wimbo wake na akaurusha tu bila kuruhusiwa na mamlaka hii? (BASATA) na endapo msanii atafanya hivyo kiholela ni adhabu gani anaweza kukumbana nazo.
  8. JamiiForums Tanzania Bumbuli kabla hujawafagilia makolo umepitia takwimu hizi za Yanga ya manji?

    Februari mwaka 2016 Yanga ya Manji iliingia kampeni ya kuiwakilisha Tanzania na kuanzia kwenye klabu bingwa wanaanzia hatua ya awali wakipangwa na Cercle de Joachim ya Mauritius Yanga inashinda ugenini 1-0 na nyumbani 2-0 wanavuka na kuingia hatua ya pili Hapa wanakutana na APR ya Rwanda Yanga...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Raisi tunaomba Mradi mmoja wa ziada wa Gas Kinyerezi kabla ya 2025 hata wa MW 500

    Kiuhalisia Bila Raisi Kikwete kuleta Mradi wa Kinyrrezi 1,2 na 3 na extension one, tungekimbia nchi Kwa mgao mkali wa umeme, matumizi yameongezeka zaidi ya asilimia 50, hivyo Mzee kikwete alitusaidia sana, na Sasa tuna umeme wa gas ambao ndo huu tunagawana hawana. Ombi langu Kwa Raisi Samia, ni...
  10. JamiiForums Tanzania Namshauri Serikali iagize mchele nje mapema kabla mambo hayajaharibika

    Hali ya chakula ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje, chakula kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, Jakaya aliagiza mchele China na Japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! Bashe yuko...
  11. JamiiForums Tanzania Nasisitiza; Binti usizae kabla hajakuoa(Epuka kuwa single Mother)

    NASISITIZA; BINTI USIZAE KABLA HAJAKUOA "EPUKA KUWA SINGLE MOTHER" Na, Robert Heriel Elewa kuwa jukumu la kubeba mimba Kwa mwanamke ambaye hajaolewa ni lake mwenyewe sio la mwanaume. Sisi wanaume hatuna muda wa kuwaza mambo ya mimba ambayo hayatuhusu Kwa watu ambao hatujawaoa. Ndio maana hata...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kigamboni haina maji inakuwaje yaliyopatikana yapelekwe mjini kabla ya wanakigamboni kupewa maji?

    Ifike sehemu viongozi muwe na aibu jamani na wakazi wa kigamboni hata kama niwapole! 1. Wananchi wa kigamboni wanaishi kama digidigi kwenye pantoni na hakuna kiongozi hata mmoja anaeguswa na hilo 2. Mabanda ya abiria kwenye pantoni hayana viti lakini hakuna anaejigusa Si Temesa, Si LATRA, Si...
  13. JamiiForums Tanzania Kitakachokufanya uone mambo ni rahisi ni "Imani" wakati "Akili" itakufanya uone mambo ni magumu

    Kwema Wakuu! Leo sina mengi ya kuandika, Watoto wanaimani kuliko watu wazima. Sio ajabu wakaona mambo ni rahisi. Imani ndio kitu pekee kitakachokufanya uone maisha ni Rahisi. Ukiona unayaona maisha ni magumu basi elewa tayari ushaanza kukomaa kiakili. Hiyo ni ishara Namba moja ya mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa UK adumisha tamaduni kabla ya kuingia ofisini

    Katika kudumisha tamaduni na asili yake, bila kujali umaarufu wa jina la taifa analoongoza au umaarufu wake mwenyewe binafsi, Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Rishi Sunak alifanya tukio hili la kitamaduni kabla ya kuingia katika ofisi yake mpya. The new UK PM performing his spiritual/traditional...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo ya kichawi niliyoyaona kwenye Derby ya Kariakoo jana kabla ya mchezo

    Natamani siku hizi timu mbili ziache kurogana kipigwe kavu kavu tuone kiuhalisia ni nani bora zaidi uwanjani na siyo haya mazingaumbwe wanayotufanyia. Haya ni baadhi ya mambo nikiyoyaona jana uwanjani; ~ Yanga SC ndiyo walikuwa wa kwanza kuingia uwanjani majira ya saa 3:05, baada tu ya kuingia...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna ya kutatua changamoto ya kidini kabla ya ndoa

    Wakuu nina mchumba wa kiislamu ambae tumeshibana sana na nataka nimuoe lakini imetokea changamoto kwa baba yake anataka nibadili dini na amekomaa kweli kweli. Baba yake ni mtu wa dini na ni kiongozi kwenye BAKWATA. Binti hana maamuzi sana kwenye swala hilo anamsikiliza mshua wake. Binti...
  17. JamiiForums Tanzania Kwetu mimi pekee sijaelimika ila useremala unanibeba, kaka na mdogo wangu walioelimika wanasota, nashauri VETA kabla ya chuo

    Sisemi kwamba watu wasisome, La Haha! bali wawe na "back up a.k.a Plan B, Sio vibaya mtu mwenye degree awe na ujuzi wa kushona, ujenzi, useremala, upishi, n.k. huu ujuzi una uhakika zaidi wa kumlisha kuzidi nafasi za kazi ambazo wachache huajiriwa, anapomaliza chuo awe na uhakika wa kuanza...
  18. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuja watu weupe waafrika tuliamini uwepo wa Mungu ila hatukuamini uwepo wa shetani

    Jana nilibahatika kufanya maongezi na mzee moja wa zamani sana age inakimbilia kama miaka 90 now. nilimuuliza maswali mengi sana yanayohusu imani ila tukaenda mpaka miaka ya nyuma kidogo kutokana na maelezo yake niligundua aya. kuwa waafrika kabla ya kuja waarabu, wareno , waingereza...
  19. JamiiForums Tanzania Bukayo Saka na Gabriel Martinelli watabeba tuzo ya Ballon D'or kabla ya Kylian Mbappe na Erling Haaland

    Kiwango cha soka kinachooneshwa na vijana hawa wawili, Saka na Martinelli kinavutia na kudhihirisha kwamba wako makini na kazi yao. Kwa miaka mitatu iliyopita tumeona vijana hawa wakipikwa na kuwa mawinga hatari sana katika Klabu ya Arsenal. Kiwango chao cha kujituma na nidhamu kinaonesha hatma...
  20. JamiiForums Tanzania Mo Dewji ataje waliomteka na makubaliano waliyofikia kabla hawajamuachia

    Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA. Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…