kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Mambo 3 Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuajiri Dereva

    Hivi unajua kwa 90% madereva wamekua chanzo cha biashara ya usafirishaji kufa. Haya ndio mambo unayotakiwa kuzingatia wakati wa kuajiri dereva Uzoefu wa Dereva; Bila kujali watakua wakiendesha nn, ni muhimu kuangalia uzoefu wao. Ikiwa unatafuta mtu anaeweza kufanya kazi katika jiji la Dar es...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika: CHADEMA ndicho chama kinachozuia Upinzani kuingia Ikulu. Watanzania tujitathmini kabla ya 2025

    Habari JF, Kuna kitu hakiko sawa katika siasa za Tanzania. Kama ilivyo kwa viongozi na wanachama wakongwe wa vyama vya upinzani wengi wao walitoka CCM. Kwa kipindi hicho kuunda kwao vyama vya siasa ilikuwa ni kuhakikisha kuna mfumo wa vyama vingi na SIO KUCHUKUA NCHI, hivyo viongozi hao...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo unayotakiwa uyajue kwenye ndoa

    MAMBO UNAYOTAKIWA UYAJUE KWENYE NDOA. Anaandika, Robert Heriel i. Ndoa ni taasisi nyeti inayounda serikali ndogo iitwayo Familia. ii. Serikali(familia) lazima iwe na muundo wa utawala na mamlaka. Nature imempa Mwanaume nafasi ya kuwa Mtawala. Hivyo Baba ndiye Mtawala, Rais, alafu Mama ndiye...
  4. JamiiForums Tanzania Fahamu hili, kabla hujasaini mkataba wa ndoa na mwenzi wako

    Siku Ile unasaini Ile karatasi ya mkataba wa ndoa ni siku Muhimu Sana Wenda kuliko siku zote katika maisha yako yote. Siku hiyo unasaini mkataba wa Mafanikio yako katika awamu mpya ya maisha au mkataba wa kufeli kabisa katika maisha. Kabla ya kufikiri ni gauni gani utavaa, fikiri Huyu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mch. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameishinda vita hata kabla haijaanza. Muda utazungumza

    Mch. Eliona Kimaro ameonesha ukomavu wa kiroho na wa kiutumishi wa hali ya juu sana. Baada ya kupewa barua ya kutakiwa kuchukua likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba bila shaka maana alipanga kuendesha semina), inayomlazimu kusitisha semina aliyokuwa ameianza hapo kanisani kwake, na kutakiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nepal: Mmoja alikuwa Live Facebook kabla ndege haijaanguka

    Ndege ndogo ya abiria ilianguka kwenye bonde mkoani Pokhara, nchini Nepal, mapema jumapili. Ndege hii ilikuwa imebakiza sekunde 10 - 20 ili itue kwenye kiwanja kipya cha Pokhara kilichozinduliwa wiki 2 zilizopita. Mpaka hivi sasa watu 68 kati ya 72 waliokuwa kwenye ndege hiyo wamefariki dunia...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kabla ya CCM kuridhia uzinduzi wa uchawa Dar tuzifahamu sifa tano za chawa, tusimchafue Rais

    Sifa pekee aliyonayo chawa yenye nafuu NI uwezo wake wakijificha nakukaa kimya anapotekeleza mikakati yake ya KUJITAFTIA riziki au mkate WA siku. Sifa zilizobaki zote zimekaa vibaya kisiasa nakiutu , labda Kwa kifupi TUZIFAHAMU baadhi ya sifa za chawa; 1. Chawa siku zote NI mnyonyaji; uishi...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawana akili. Pima akili yake kabla hujadate/zaa naye

    Bwana mdogo analalamika kuwa mke wake ni mpumbavu sana. Wakipishana kidogo anaenda Mpost Instagram anaomba ushauri. Au anaanza kuandika status za ajabu ajabu... "Ama kweli nimeamini ndoa ndoano, mungu nisaidie mimi mja wako" "Hivi jamani hapa kweli nina mume?anarudi saa 4 usiku eti alikuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Shaka: Kabla ya Mapinduzi Matukufu lipo tabaka lililokandamiza, kubagua na kupuuza wengine huku likishindwa kujali "UTU" na kuwapuuza walio wengi

    Na Mwandishi wetu Z'bar Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinajivunia mabadiliko makubwa yaliyofikiwa Zanzibar katika kipindi cha miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ambayo yamewafanya wananchi kujiamini na kujiitegemea kimaendeleo alisema Shaka Hamdu Shaka, Mwenezi CCM Taifa Aliendelea kwa kusema...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia wizara ya mali asili wafikirie kutumia visiwa vya ziwa Victoria kwa uwekezaji wa hotel za kitalii kabla havijavamiwa na makazi holela

    Sijajua kama huwa Kuna vikao vya tathmini, lakini nadhani baadhi ya visiwa vingekuwa chini ya wizara ya mali asili moja kwa moja, na vikaangaliwa kwa fursa ya uwekezaji wa hoteli za kitalii. Hii itasaidia uchumi wa maeneo hayo ya Kanda ya ziwa. Pia, itasaidia utalii wa kutumia boti
  11. JamiiForums Tanzania Kabla ya kupandisha nauli ya Mwendokasi, DART zingatieni uchafu na huduma mbovu vituo vya Mwendokasi

    Mkiwa mbioni kupandisha nauli,uchafu umekithiri vituoni kwenu hapo ni Kimara na huduma imezorota madirishani kwa cashiers kila muda kujifanya hawana change #badilikeni
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume kabla ya kumhonga mdada pesa/kumhudumia, tujiulize hili swali moja tu

    Swali lenyewe ni hili, kama huyo mdada unae-date naye angekuepo kwenye nafasi ya kutoa msaada uliyo nayo wewe, huyo mdada angekupa huo msaada? Mfano umempa mwanamke unae-date naye smartphone ya laki 3, je yeye angekuwa na uwezo na pesa za kutosha, hlf ninyi ni wapenzi, huyo mdada angekununulia...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, ni wakati muhimu wa kukaa na wafanyabiashara wadogo kabla mambo hayajaharibika zaidi

    Sielewi ni suala la ukadiriaji wa kodi ndio unawafanya TRA wafunge kwa wingi maduka ya wafanya biashara nchini' sielewi labda TRA wana njama za kumkomoa na kumchonganisha mh Rais ili azidi kuchukiwa zaidi, si kwa kufunga biashara kwa kasi ya ajabu kama hiyo. Lakini, kwani uchumi kwenu ukoje...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi unavyoweza kuandaa fomu za Ukaguzi wa viwanja na ukaguzi wa nyumba kabla hujanunua

    Ukaguzi wa nyumba ni sehemu muhimu sana kwenye mchakato wa kununua kiwanja au kununua nyumba. Fomu ya ukaguzi wa kiwanja au nyumba inatakiwa kuwa na vipengele vifuatavyo;- ✓ Taarifa za nakala za umiliki wa ardhi au umiliki wa nyumba. ✓ Taarifa za usalama wa mazingira ya kiwanja au nyumba. ✓...
  15. JamiiForums Tanzania Wasifu: Kabla ya kufunga mwaka Binadamu Mtakatifu

    No content
  16. JamiiForums Tanzania Kabla hamjafuta somo la Uraia (Civics) naomba nijibiwe maswali haya

    Kabla hamjafuta Civics nataka nijulishwe, 1. Chama Cha Mapinduzi kilimpindua nani? 2. Tanganyika tunafaidikaje na muungano? 3. Mwenge wa uhuru uko kwa ajili ya maslahi na faida ya nani? Na una faida gani kwa taifa? Kwanini usizimwe na kuhifadhiwa kwenye makumbusho ya Taifa?
  17. JamiiForums Tanzania Ukraine yatakiwa kuzingatia maonyo ya Urusi haraka kabla kipigo kijacho

    Katika hali inayoonesha vita vinaelekea kubaya zaidi Urusi imeitaka Ukraine kuzingatia maonyo yake haraka kabla awamu ijayo ya mashambulizi haijaanza. Onyo hilo limetolewa na waziri wa mambo ya nje wa Urusi mapema jana. Katika onyo hilo Sergei Lavrov ameitaka Ukraine kuyatambua majimbo mapya ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi sheria inaweza kutolewa onyo kabla ya mkondo kufuatwa?

    Rais na Makamu wake wametoa agizo na ilani kwamba wale wote wanaofanya shughuli zinazoharibu maeneo oevu kama bonde la Ruaha, Usangi na Ihefu waache mora moja vinginevyo sheria itachukua mkondo wake. LAKINI mama aliyeshitakiwa jana kwa kutoomba risiti dukani hakuambiwa aache tabia hiyo mara...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanza: Bwana harusi ajinyonga akisubiriwa ukumbini

    Sherehe ya harusi kati ya Swadiku Abas (50) na mke wake, Elieth Rwegashora (40) ambao ni wakazi wa Mtaa wa Zenze eneo lililopo Kiseke wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, iligeuka msiba baada ya bwana harusi kujinyonga muda mfupi kabla ya sherehe kuanza. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi...
  20. JamiiForums Tanzania Kabla ya kumtimua kocha angalia usoni wachezaji wako kwanza

    Kazi ya kocha wa timu ni kuratibu wachezaji kwa kutumia vipaji vyao TU, sio vingine. Kazi ya kuhakikisha fitness ya wachezaji ni ya kocha wa viungo, kazi ya kuhakikisha kuwa wachezaji, Wana furahà, Wana morali ya kucheza kwa bidii ni kazi ya uongozi wa timu. Kabla ya kumfukuza kazi kocha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…