Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.
Foleni hii ya Mizani ya Mikese Mkoani Morogoro imesababisha magari yanayotoka Dar es Salaam kuwa na foleni kama kilometa 10 nyuma, pia kutoka Mikese kuelekea Dodoma kama Kilometa 10 pia kuna foleni.
Magari yaliyotoka Dar es Salaam asubuhi ya saa 12 leo tarehe 14 Mei 2023 yamefika Dodoma saa 10...
Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel, Sony, Oppo na Infinix warranty ni uhakika Tv pia zipo Hisense, Samsung ukubwa tofauti tofauti...
Mungu wa mbinguni ni wa wote tumisifu na kumtukuza tupendane sisi sote wapitaji ndivyo kauli za utu na ucha Mungu.
Kwa wale wasioamini waendelee na Imani zao ukiombea baya kwa pretence yoyote basi nawe au nanyi njia ni hio hio.
Leo hii huko nchi Sudan walioua kwa Mapinduzi wanaendelea...
Habari zenu..
Nina masikitiko sana msimu huu simba hawajachukua kombe lolote.
Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa yanga mimi ni mwananchi kabisa na siwezi kuishabikia simba daima.
Ila kinachoniumiza kumuoana huyu doto anachezewa sharubu kila anapoenda kucheza mpira.
Huyu kocha aliyekuja,hana...
Takwimu hizi zinaonesha kuwa, kati ya watu wote waliopo nchini kwa sasa, asilimia 6.4 walizaliwa kabla ya muungano. Idadi hii ni hazina muhimu kwa Taifa katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii, utamaduni na mazingira. Wengi wa watu hawa ni tunu katika kujifunza namna ya utunzaji wa mila na...
Muda mfupi uliopita kupitia kipindi cha "Ijue BOT" kinachorushwa na Azam tv, nimemsikia Afisa Mwandamizi wa BOT, Bwana Deogratias Mnyamani akitoa maelezo kuhusu Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake ya mwaka 2019. Katika maelezo yake akihojwa na Mtangazi wa kipindi hicho...
Katika dunia hii watu tunapaswa kuishi kwa upendo na kuhurumiana. Musiba amefanya kosa kwa hiyo aombe msamaha.
Unaukumbuka ule wimbo wa zamani,ulikuwa wimbo wa Western au Jamhuri Jazz Band,au sijui nani,walikuwa wanaimba,"Ingawaje wewe ndie mwenye makosa lakini naomba unisamehe". Watu wa zamani...
*
1. Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake.
2. Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake.
3. Mkumbushe Mwanao kuwa Tumeona mazuri kwa watu waliokuwa wakiitwa wabaya na Tumeona mabaya kwa watu waliokuwa...
Kwema Wakuu!
Leo sina mbambamba, short and clear sitaki kuchosha nguvu kazi ya taifa nisijeitwa mhujumu uchumi.
Siku hizi wala usijitese kusomesha Watoto wako. Somesha Kwa ku-relax kulingana na uwezo wako. Sio uingie madeni kisa kusomesha. Huo ni ushamba na matumizi Mabaya ya Pesa na Akili...
Kwanza kabisa ninai blast tume ya Harrison Mwamwembe haikufanya lolote la kusaidia matatizo ya Law School. Mwamkyembe ni FAILURE katika ku deliver issues kama hizi. Kumbuka ripoti yake ya RICHMOND na Treni ya Metro aliyomleta Tapeli Shumake kutoka Chicago
Najielekeza kwenye hoja yangu sasa...
Kwema Wakuu!
Membe Vs Musiba; Huwezi Kuomba Msamaha Baada ya Hukumu, Msamaha unaomba Wakati wa kesi au Kabla ya Kesi.
Kuna Watu bhana wanafurahisha Sana. Hivi uliona wapi mtu akapewa Msamaha pasipo ya yeye kuomba Msamaha? Wapi? Na lini? Uliona wapi mtu anasamehewa ikiwa alipewa muda wa...
Kabla ya mwaka 1868, Jiji linalofahamika kwa jina la Dar es Salaam, halikuwepo kabisa. Badala yake kulikuwa na mji ulioundwa na miji mitatu maarufu, ambayo ni Kunduchi, Mbwamaji na Tindwa. Kila mji ulijitegemea, huku idadi ya wakazi wake wote kwa jumla haikuzidi watu 2,000.
Kati ya miji hiyo...
Hii ni issue niliyoambiwa na mmoja ya waalimu wa chuo kikuu binafsi aliyekuwa anafundisha sheria. Aliingia chuo hicho (sikitaji) akiwa na bidii kubwa,. Anaingia Kila kipindi kwa wakati, anakuwa mkali pale wanafunzi wanapochelewa, na katika mtihani alikuwa hana mzaha.
Mmoja wa wanafunzi...
Hapa Leo sitaongelea ushabiki kabisa bali tutazungumza kuhusu mpira na mstakabali wa nchi yetu. Basi nieende kwenye point moja kwa moja nchi yetu ya Tanzania inawatu takribani milioni 60, na vijana wakiwa wengi kuliko wazee ambao vijana tunaonekana ndo watu ambao tunaweza kuikomboa nchi yetu...
... Soma kuhusu uislamu ni nini? Utapata jibu, huwezi kupata maarifa bila kusoma
Someni . mtume Mohammad alikuja kukamilisha maana ndo mtume wa mwisho hakuna mwingine mpaka kiyama kinasimama.
QUR'AN
Ndo kitabu kitukufu pekee duniani maana kimekamilika kila idara utofauti unakuja kutokana na de...
Kufuatia tukio la watu wanne wa familia moja kupoteza maisha katika mazingira ya utata, ikidaiwa kuwa ni kwa sababu ya kuvuta moshi wa jenereta, mapya yameibuka.
Mmoja kati ya ndugu wa familia hiyo iliyokuwa ikiishi Temeke jijini Dar es Salaam, amedai kuwa tukio hilo limetekelezwa na watu kwa...
Dini na siasa, tena serikali ya shetani na viongozi wa dini wamezama kwenye dimbwi. Halafu kuna hadith pamoja na aya wanatupiga nazo kuwa tuwatii viongozi wetu.
Hapa kweli uislamu utarudi mgeni!
Nchi ya Saudia inaongozwa na Sunni (Mtume alikuwa muislamu hakuwa na dhehebu, Iran waislam wengi...
Starship ndiyo Roketi yenye nguvu zaidi kuwahi kutengenezwa na imeundwa kutuma wanaanga kwenye Mwezi, Mihiri au kwingineko.
Chombo cha anga za juu cha chuma cha pua kilichoundwa na chombo cha anga kilichokaa juu ya roketi inayoitwa Super Heavy booster - kilipaa kwenye eneo la uzinduzi katika...
Ule usiku wake wa kwanza kulala magetoni kwangu ulimchanganya sana
Nilimvua mibaibui yake kisha kumfunga kanga nusu utupu, mtoto wa watu ni mwendo wa aibu mule ndani
Nikawasha widi (cha Arusha), moshi wa kutosha ukafutuka chumba kizima. Nikafungulia bufa kisha nikaanza kuplay ngoma za Lucky...
Tesla's new electric truck is finally here, with PepsiCo being the first customer to receive some of the 100 vehicles it pre-ordered.
First announced by Elon Musk in 2017, the Tesla Semi has been one of the longest-delayed products in the company's history.