kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukija Duniani kama ulivyokuta watu wamepambana kuleta mambo mazuri na wewe kabla haujafa tafuta kitu Cha kuoachaia Dunia Kama zawadi

    Waafrica we are too selfish just imagine unazaliwa Hadi unakufa bila kuacha Jambo lolote la maana hapa Duniani . MTU Kama Mama Teresa Hawa watu wamekufa ni Muda mrefu lakini majina Yao yanaishi kama wapo hai. Tupambane tuwaze Sana kitu Cha kuiachia hii Dunia Mtu Kama Robert Heriel Mtibeli na...
  2. JamiiForums Tanzania Haji Manara soma alama za nyakati kabla haujastaafu kwa aibu

    Zama za Haji Manara zinaelekea mwishoni. Kwa sasa awepo au asiwepo kwenye jambo hakuna kinachoongezeka wala kinachopungua. Sasa ameamua kupambana na wakati hataki kuonekna yeye ni ziada. Anatumia njia zile zile za miaka yote kukanyaga vichwa vya wenzie ili yeye apande juu. This time naona...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna wadada wakija ghetto wanachukua kitu chochote cha kwenda kuturogea. Nimefunga camera wameanza kuumbuka vibaya kabla hawajaondoka najisanua

    Wasalaam, Nawakumbusha tena camera ambazo ni ngumu mtu kujua zimejaa tele , kuondokana na hii vita ya wadada ama wanawake kuwa na mpango wa kuturogea kimapenzi. Mimi najisanua kila mara nawaumbua, mpaka sasa wengi wanashangaa maana hakuna dalili za kuona camera popote pale, kamanda nimefunga...
  4. JamiiForums Tanzania Ratiba za CAF huwa zinapangwa kabla, hizi draw ni kiini macho tu

    Mimi huwa napenda kuobserve sana mambo, kwa hiyo mtanisamehe nikiwa naleta hoja ninazoitaga "hoja fukunyuku". Mechi ya kwanza lazima wangetaka iwepo Al Alhy au Wydad. Nimeedit huu uzi baada ya kurudi tena kuiangalia video ya draw baada tu ya kufungua huu uzi. Kuna vitu kadhaa nimeviona...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania bila Maandamano hakuna Katiba mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Nimeandika kwa kifupi , nitachangia nikiamka.
  6. JamiiForums Tanzania Uislamu uheshimiwe kuanzia ndani, kabla ya kuheshimiwa na wengine

    Amani iwe nanyi Ndugu zangu Waamini wa dini ya Kiislamu. Pokeeni Salamu kutoka kwa Ndugu wa Imani ya Mungu mmoja kwa muongozo wa Injili Takatifu na Mjumbe wake Yesu Kristo. Mimi ni shuhuda wa wazi wa Imani yenu kwa sababu, Uungwana wenu umenipa fursa ya kuijua imani yenu Takatifu na kujifunza...
  7. JamiiForums Tanzania Tusijisahaulishe, masikini ni matokeo ya dhambi. Kabla ya hapo Mungu alipanga tuishi kifalme

    Hii ni kweli. Mungu ni Tajiri mkubwa anayemiliki vyote. Na sisi ni watoto wake, na sifa ya mtoto ni kurithi vya baba. Hivyo kila anachomiliki Mungu ni cha kwetu. Kabla ya udanganyifu wa Adam na Eva kula tunda tulikusudiwa binadamu wote kuwa matajiri sana na kuishi kifalme. Tukio la kuacha...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa ndondi, kipindi bondia Tyson bingwa wa dunia kulikuwa na mapambano ya utangulizi kabla ya pambano lake!!?

    Tunapomalizia weekend jamani salamu🙁 Kichwa cha habari kinajieza.Huyu jamaa au mbabe wa ndondi enzi hizo ilikuwa akiingia tu basi anatoa klebu moja tu kwa mpinzani wake tena dakika ya kwanza tu na pambano linakuwa limeisha. Sasa mi naona watu au mashabiki walikuwa wanaliwa tu hela ya bure...
  9. D

    JamiiForums Tanzania CCM itagawanyika kabla ya 2025. Chama kipya kinakuja. Dalili zote zipo

    Iko hivi, vikao vya chama mambo yamekuwa magumu, wanachama hawaaminiani, hadi kwenye jimbo langu, Mwenyekiti wangu yupo mguu ndani mguu nje, helewi nini kinandelea. Anasema hiki sio chama alichokuwa anakijua na kukipigania. Influence imeshuka, watu hawaelewi, sijui campaign mambo yatakuwaje...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi inawezaje kumuita mtu tapeli kabla ya mahakama kumtia hatiani?

    Good Morning jamiiforums. Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel. POLISI. Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040
  11. F

    JamiiForums Tanzania January Makamba aliwahi kushauri wote waliozaliwa kabla ya 1961 wasigombee Urais

    Ujana una mambo yake mengi sana tena Sana tu. Mheshimiwa January Makamba Enzi hizo akiwa ni mmoja wa watarajiwa wa kuchukua fomu za Ugombea Urais CCM 2015, alitoa maoni kuwa siasa na uongozi wa nchi ni sharti uende kwa vijana. Alienda mbali kwa kusema wote waliozaliwa mwaka 1961 kurudi nyuma...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati Skudu sasa amewazimieni Simu jitahidini mumlipe Morrison kabla hajaenda FIFA na Mkafungiwa Maisha

    Yaani kabisa GENTAMYCINE nije na Exclusive hapa JamiiForums halafu isiwe Kweli 100%? Kudadadeki. Mlipeni Skudu haraka ili Kesho apande Bung'o (Ndege) arejee Tanzania vinginevyo atajikita sasa Kutunga Nyimbo za Amapiano na Kuzicheza tu huko huko Kwao Bondeni.
  13. JamiiForums Tanzania Kuuliza Bei Kabla ya Kula uwapo Outing ni Akili na kujiamini lakini Malofa huona aibu

    KUULIZA BEI KABLA YA KULA UWAPO OUTING NI AKILI NA KUJIAMINI LAKINI MALOFA HUONA AIBU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mmetoka out, mmefika kwenye mgahawa, mnaagiza chakula. Huoni aibu kuagiza chakula lakini unaona aibu kuulizia bei Kabla ya kuagiza. Hivi unaakili kweli? Ukiitwa Mshamba...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumpima mdada kama ana asilimia kubwa za kukubali au za kukukataa, kabla hujamtongoza

    Hii ni theory yangu nimeiwaza kichwani, sijajua kama ina efficiency ya walau asilimia 98% ya kutoa accurate results: Mfano umempenda mdada ambaye unaishi naye mtaa mmoja, college moja, darasa moja n.k mchunguze anapenda kinywaji gani especially soda za take away, mfano mdada anapenda Kunywa...
  15. JamiiForums Tanzania Kabla ya DP WORLD Tanzania ilikuwa imetulia, Sasa Tanganyika inalia😭

    Hili zimwi la Dp world ni la Dubai, lirudi Dubai. Bora amani kuliko hela za Mwarabu. Viongozi wasitumie vyeo vyao kufanikisha watakayo, kwa manufaa yao na familia yao na ndugu zao. Hili la Dubai ni mradi wa watu? Je, Tulio wakabidhi nchi wametusaliti? Amani na utulivu ni muhimu kiliko...
  16. JamiiForums Tanzania Wanachama wa vyama vya siasa wafanyiwe 'recruitment' kabla ya kupewa uanachama

    Vyama vya siasa vinahitaji watu ili viwe hai bila kujali ni aina gani ya wanachama inao wapata, ndio maana hata mambumbu wakutupa wamekuwa wanasiasa na mbaya saidi wanapewa nafasi nyeti kuongoza jamii. Sheria ya vyama vya siasa ifanyiwe marekebisho kidogo kwamba kuwe na utaratibu maalumu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

    Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa... Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa...
  18. JamiiForums Tanzania Simba kabla hamjachelewa mrudisheni Mgunda kwenye benchi la ufundi

    Ni kweli hajui Kifaransa, lugha ambayo baadhi ya wachezaji wa Simba wanaongea, lakini weledi wake kwenye kusaidia mambo ya kiufundi ni mkubwa sana. Simba isipoteze muda, imrudishe Mgunda kwenye Benchi la Ufundi kabla timu haijaharibikiwa kabisa.
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi za usajili Ulaya kabla ya dirisha kufungwa Septemba 1, 2023

    Dirisha la usajili Ligi Kuu kubwa Ulaya linatarajiwa kufungwa Saa 5:59 Usiku wa Septemba 1, 2023, kuna taarifa nyingi kuhusu usajili, hizi ni baadhi Chelsea ina nafasi kubwa ya kumsajili kiungo wa Brighton, Moises Caicedo (21) kwa Pauni Milioni 115 (Tsh. Bilioni 364) ambaye pia anawaniwa na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wakili Mwambukusi na wote Wapinga Mkataba wa Bandari. "Maliza moja kabla ya kuanza jingine"

    Asalam, Nilifuatilia sana suala la kesi iliyofunguliwa na hawa mawakili. Nikafuatilia hukumu na baada ya hukumu nikajipa muda kufuatilia mitazamo, uelewa, na mipango ya wafungua kesi. Huu ndio ushauri wangu. 1. Zamani sio kama sasa, hasa kwa taifa lililopevuka kama Tanzania, TUHESHIMU TAASISI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…