jwtz

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni jeshi la ulinzi wa wananchi nchini Tanzania linalolinda na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania.
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ulega Ambana Mkandarasi Barabara Kuelekea Makao Makuu ya Jeshi (JWTZ)

    ULEGA AMBANA MKANDARASI BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA JESHI (JWTZ). Amtaka akabidhi barabara ifikapo Disemba mwaka huu Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO kukamilisha ujenzi wa barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi (Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ulega ambana Mkandarasi barabara kuelekea Makao Makuu ya Jeshi (JWTZ), amtaka akabidhi barabara Disemba 2025

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO kukamilisha ujenzi wa barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi (Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi-TPDF) yenye urefu wa kilometa 16.4 kwa kiwango cha lami ifikapo mwezi Disemba, 2025. Ulega ametoa maelekezo hayo...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Covid 19 Salome Makamba aibukia mkutano wa CCM

    Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba ameonekana leo katika Mkutano Mkuu wa CCM jijini Dodoma akiwa amevalia sare za chama hicho. Makamba ni miongoni mwa wabunge 19 waliofungua kesi mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama wa CHADEMA.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya polisi wanahusika na Utekaji wa raia nchini?

    Usione watekaji ni wa chama pinzani wanaotekeleza mipango fichu ili kuipaka serikali matope na wanaitekeleza kwa siri kubwa kiasi ya kuwa hakuna ushahidi. Sasa serikali inakuwa ngumu kuwakamata kiushahidi . Ila hawa G55 inawezekana wanawanalolijua ngojea kampeni huwenda kuna mambo yakajiri...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kutoka kuwa mtumishi wa umma na kuingia Jeshini (JWTZ)?

    Habari ze wanaJF, Naomba kuuliza je ukishakuwa mtumishi wa umma na una CHQ number, je inawezekana kuomba nafasi za kujitolea kwenye jeshi la ulinzi na usalama na ukachaguliwa. Kwa story nilizoziskia ni kwamba hata ukichaguliwa baadae watakuchuja kwa sababu tayari unakuwa una CHQ number so...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tulisema Hapa kuhusu JKT sio kipimo cha kupeleka watu JWTZ ni kupotezea watu mda.

    Kuzaliwa tanzania kuna changamoto nyingi sana.Haya yote yanafanyika na watu wenye upeo mdogo sana waliokuwa na madaraka makubwa. Zamani kulikuwa na taratibu kama unataka kwenda jeshini ilikuwa hakuna kupitia kama sasa wanavyo tumia JKT. Mnawapeleka vijana JKT mnawapotezea mda wakijua watapa...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nimesikia kuna mbunge eti ameambiwa haamasishe haki na demokrasia yeye amewahusisha JWTZ kuingilia kati kuwatishia Ulaya au nimesikia vibaya ?

    Hivi kuna mbunge huko amewahusisha JWTZ kwenye azimio lililotolewa na watu wa ulaya kuhamasisha mabadiliko ya haki nchini hebu naomba JamiiCheck mnisadie kupata majibu. Yani mtu amekushauri wewe jambo zuri na jema halafu wewe unaanza sijui JWTZ hivi unakuwa na akili timamu kweli ? Nimesikia...
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Bunge kwanini muwabane JWTZ kwenye ajira huku TISS wakiwa hawafuati kanuni na sheria za ajira

    Sioni sababu ya kuwabana JWTZ kwenye suala la ajira huku TISS mkiwaacha wafanye vile wanavyojitakia au TISS ni kubwa kuliko JWTZ? Hawa TISS hawajawahi tangaza ajira zao bali wanachukuana wenyewe na vijana wa CCM hii kwenu imekaa sawa?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Ulazima Gani kwa Waombaji Ajira JWTZ Kulazimishwa Kupeleka Maombi Yao kwa Mkono Makao Makuu Dodoma

    Hivi majuzi tumeshuhudia msemaji wa Jeshi akitangaza nafasi za kuandikisha vijana Jeshini pamoja na sifa na vitu vyengine kuhusiana na maombi hayo. Pamoja na hayo ameelezea utaratibu kwa waombaji wa nafasi hizo,bila kuanisha utaratibu wa kutuma maombi hayo kwenda Makao makuu ya jeshi Dododma...
  10. Tman900

    JamiiForums Tanzania JWTZ wanapokea Barua kwa EmS?

    Naomba Kujua Wandugu, Kuna Kijana wangu, ambae namsaport, Hili Tangazo la JWTz La Kuandikisha Watoto, nataka Kujua kama Wanapokea Barua kwa Njia ya Ems au, Kwa Mkono tu yaani apeleke mwenyewe Dodoma. Maana naona kutumia kwa Njia ya kawaida naona kama itachelewa kufika.
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania JWTZ latangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa Kitanzania

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia elimu ya Sekondari hadi elimu ya Juu. Aidha, uandikishaji utahusisha vijana wa Kitanzania wenye Taaluma Adimu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania JWTZ YATANGAZA NAFASI YA KUJIANDIKISHA JESHINI 2025.

  13. S

    JamiiForums Tanzania JWTZ hawapaswi kuwa na uhalali wowote wa kuchukua silaha dhidi ya wananachi

    Katika jeshi nilijifunza jambo moja, kwamba kuna amri halali na isiyo halali. Kwa mfano, huwezi ukaamriwa kumpiga risasi askari mwenzio na kutii kwa sababu tuu umeamriwa na kamanda wako. Sasa je, Amiri Jeshi Mkuu anaweza kutoa amri ambayo sio halali kwa jeshi, JWTZ kwa sababu tu yeye ni Amiri...
  14. Prince mimi

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), liko wapi? Mbona haki za wananchi wake zinakandamizwa na polisi?

    Wakuu, Moja ya Kazi yake sio kulinda Katiba ya nchi? Kwanini katiba ya nchi inasiginwa mchana kweupe na wao wapo wanaangalia bila hata kuchukua hatua yoyote? Ni kweli wameamua kuacha polisi kuonea wananchi? Hili si Jeshi la Wananchi? Na wananchi si ndio sisi? Au tafsiri ya wananchi ni...
  15. B

    JamiiForums Tanzania RPC Simiyu asema Pendo aliyedai kutumwa kumuu Luhaga Mpina hakuwa Askari wa JWTZ bali Mgambo

    KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Simiyu, amethibitisha kwamba Binti Pendo Paul aliyedai kupewa kazi ya kumuua Mbunge Mpina hakuwa Askari wa JWTZ kama alivyojitambulisha bali alikuwa amepitia mafunzo ya Mgambo zaidi sikiliza Video hii. https://youtu.be/gTzupuaYy7c?si=_wUYi4xRIAVxOMpi
  16. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Huu Ukoloni na umangimeza wa kuwalipa mishahara watumishi wa JWTZ mapema na kuwasubirisha watumishi wengine ukomeshwe..

    Katika moja ya mambo ambayo nchi yetu imerithi kutoka kwa wakoloni ni hili la kuwalipa mishahara mapema watumishi wa majeshi hasa JWTZ na kuwaacha watumishi wengine wakisota kwa muda inatakiwa ukomeshwe kama sio kupigwa vita kabisa. Sote tunafahamu kuwa katika nchi yetu kumeundwa vyama...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania JWTZ lasaidia huduma tiba na afya Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limechangia huduma tiba na afya kwenye hospitali ya Jiji la Berberati iliyoko nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati tarehe 14 Aprili mwaka 2025. Akizungumza mara baada ya uchangiaji wa huduma hizo kwa niaba ya Kamanda Kikosi cha Nane cha Ulinzi wa Amani nchini...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanajeshi jiondoeni kwenye siasa msije kupata fedheha!

    Kiapo cha JWTZ ni kulinda mipaka ya nchi na si kulinda chama cha siasa. Ni aibu mvaa kombati ya ulinzi wa nchi kujikomba na kuwa chawa wa mwanasiasa! Aibu yenu! https://twitter.com/EggleVuvu/status/1911627918297510122?t=DZmaso4Rq_BLUHV-3rc_vA&s=19
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hii Video ya Kijana alofukuzwa JWTZ, imenikumbusha kati ya mwaka 2014-2015 JWTZ iliwafukuza vijana zaidi 30

    Rais Mwinyi Enzi hizo ni Waziri wa Ulinzi,analijua Mkuu wa Majeshi akiwa Mwamnyange ,analijua. Waziri Mkuu Kasimu analijua. Mwaka 2014 Vijana zaidi ya 50 wa JWTZ waliokua wanafanya Mafunzo ya Ukamandoo pale Morogoro, Kwa kunyimwa posho zao waliamua Kutoroka Kambini na kwenda makao makuu ya...
  20. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini JWTZ haina muundo huu kama wa majeshi mengine?

    Magereza,police na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vina ngazi kutokea ya kitaifa mpaka ya kiwilaya,mfano polisi kuna uongozi ngazi ya mkoa na ngazi ya wilaya na magereza hivyo hivyo.Je kwanini JWTZ haiko hivyo iwe na Mkuu wa JWTZ wa mkoa na mkuu wa JWTZ wa wilaya.nadhani Kuna nchi zina...
Back
Top Bottom