Supplier wa mifuko (viroba) ya kilo 25 na kilo 50 wa jumla jumla anahitajika

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,593
93,307
Mambo yasiwe mengi,

Nahitaji supplier mwenye mfuko ya kilo 25 na kilo 50 kwa bei ya jumla alete quotation yake na contact au physical address tufanye biashara.

Karibuni.
 
Mambo yasiwe mengi,

Nahitaji supplier mwenye mfuko ya kilo 25 na kilo 50 kwa bei ya jumla alete quotation yake na contact au physical address tufanye biashara.

Karibuni.
MIFUKO UNAYOHITAJI NI YA AINA GANI MKUU HUJAFAFANUA AINA YA MIFUKO UNAYOHITAJI
 
Back
Top Bottom