jumla

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua duka la jumla la simu na vifaa confine vya electronics anitaarifu ninashida

    Msaada tafadhal
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Vifungashio vya jumla

    Nahitaji mifuko ile ya nailoni nyeupe ya kupimia kilo moja na kilo mbili hivi - ile mifuko ya kawaida kabisa sio ile yenye seal (sihitaji ile ya rangi) na Vifungashio vingine tofauti tofauti Naweza kupata wapi kwa Jumla (carton)
  3. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Ndani ya miezi takribani 19, Israel imepigana vita na nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Wakati Israel ina watu 9,523,978 tu

    Tangu shambulizi la Hamas kule Israel October 7, 2023. Israel imepigana vita na takribani nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Nchi ni: 1. Palestine yenye jumla ya watu 5,589,623 2. Lebanon 5,848,354 3. Iran 92,417,681. Wakati Israel yenyewe Ina jumla ya watu 9,513,978. Yaani ni sawa...
  4. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha “Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo”

    JINA LA KITABU: “Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo” UTANGULIZI: Kariakoo ni kama mgodi wa biashara Tanzania — lakini si kila mtu anajua mahali pa kuchimba. Wengi wanapoteza muda, hela, na nguvu wakizunguka Kariakoo bila mafanikio — wananunua bidhaa ghali, feki, au kutoka kwa...
  5. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza mayai bei ya jumla

    Habari wakuu! Nimeanzisha biashara yangu nje na biashara zangu kuu , nauza mayai ya kisasa kwa bei ya Jumla bei zangu ni rahisi sana yaani "ONLY MAYAI SHOP" Trei 1 nauza 8,500 Napatikana Mbezi Luis Simu : 0744 767 175 whatsap pia
  6. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Soma hapa ujue Ufanye nini ili usitapeliwe kariakoo unapoenda kukusanya mzigo wa jumla kwenye machimbo

    Jinsi ya kukwepa kutapeliwa kariakoo natoa ushauri kuhusu jinsi ya kukwepa kutapeliwa kariakoo hasa katika biashara, nikilenga maeneo kama KariaKoo soma 1. Fanya Utafiti: Hakikisha unafanya utafiti wa kina kuhusu maeneo ya biashara ili kujua ni wapi pa kuaminika na ni wapi pa hatari. 2. Kuwa...
  7. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania JENGO LENYE JUMLA YA VYUMBA 19 LINAUZWA,LIPO BUSWELU MWANZATANZANIA, 0758844717

    KARIBU UJIPATIE JENGO AMBALO UTAWEZA KULITUMIA KWA MATUMIZI MBALIMBALI LIPO BUSWELU-MWANZA LINA JUMLA YA VYUMBA 19 VYA KULALA PAMOJA NAMAHITAJI MENGINE YA NDANI UKUBWA WA KIWANJA NI 4,900SQM BEI NI MILLION 900,MAONGEZI YAPO DOCUMENTS NI TITLE DEED 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla Kariakoo

    Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla kariakoo. Anaejua anisaidie, nipo mikoani. Asanteni
  9. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Hivi hizi mbegu ndiyo zinapotezwa jumla na GMO?

    Nimeona kuna upotevu wa kasi sana wa mbegu asilia kama hizi ambazo chakula chake kilikuwa na ladha nzuri sana nutritive sana
  10. stan john

    JamiiForums Tanzania Machimbo au kiwanda wanapouza mifuko ya nylon kwa Bei ya jumla kwa hapa Dar es salaam

    Habari, Anayefahamu wanapouza au kiwanda Cha mifuko ya nylon kinapatikana maeneo gani kwa hapa dsm Mifuko hutumika hutumika kuwekea vitu vidogo vidogo madukani
  11. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya SIMU za jumla kariakoo

    Hello! Eid Mubarak kwenu nyote. Naomba kujua ni maeneo gani kariakoo ambako kunapatikana machimbo ya SIMU za jumla hasa SIMU ndogo maarufu kama viswaswadu. Nimezurula sana Leo na bila mafanikio. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu watanzania wenzangu🙏
  12. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Wizara na BoT Tuwekeeni Upembuzi unaoonesha kila awamu ilikopa Jumla ya shilingi ngapi !?

    Ukiangalia line progressive ya deni, ndani ya miaka 4 Samia ameweza kukopa fedha nyingi kuliko awamu zote. Over 50% as last update of march 2021 Viongozi wa CCM, machawa wa CCM. na Vijana futureless wa CCM wamekuwa na majibu ya jumla jumla miaka yote kwa kupamba awamu husika kuwa deni la...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anayesifiwa kukicha anao 670,000 pekeyake

    Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anao 670, 000 Wadau hamjamboni nyote? Takwimu zinaongea mayahudi wasithubutu kumchezea muiran hata siku moja kwani wataumia Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Israel has 170,000 active military personnel, along...
  14. MNEKI

    JamiiForums Tanzania Tumia vizuri mfungo huu utoke jumla kwenye miasha dhambi

    Huu Mfungo ukiutumia vizuri, Ni muda Muafaka wa kushinda jumla matamaa-tamaa yako ya kifala!! Usione mwanamke mzuri tayari unamtaka , Kama umerogwa.!! Ushokijua ni kadiri unanyoendekeza tamaa ndivyo unadhoofisha hatima yako kubwa ambayo Mungu kakupangia. Dhamilia kuacha ujinga Mfungo huu...
  15. iMart Discounts Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Chimbo la Jezi za Jumla za Ulaya, Delivery Popote Ulipo

    Wadau wa JamiiForums! ⚽️ Karibu Kariakoo! Tumeleta jezi za timu za Ulaya (Arsenal, Liverpool, Man United, n.k.) kwa bei za jumla! Hii ni fursa kwa kila mtu kupata jezi za timu pendwa kwa bei nafuu. Tunatuma mikoani na nchi jirani kama Congo, Zambia, na Malawi! Bei ya jezi moja ni TZS 15,000 tu...
  16. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Mnaojua masoko ya mbao kwa jumla

    Wakuu msaada Nina mbao pic 650 mninga grade B na C...zimenidodea...zilikuwa Mbezi nimeleta Manzese hali ni ile ile Nifanyaje...wapi naweza pata mtej wa jumla
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KITIMOTO KUPANDA BEI WAKATI WA MFUNGO MNATUAMANISHA NN 11000-15000..SERIKALI MTUSAIDIE

    Habari za uzima Nkauliza tu mbona Hawa wah wanaouza kitimoto wakatili hivyo Toka tar 5 kitimoto inepanda JUMLA Toka 8000 mpaka 11000 Kawaida Toka 12000-15000 Hivi hamna dini NYIE wauzaji Mheshimun Mungu huu sio mda WA KUONGEZA bei ya vyakula kabisa
  18. J

    JamiiForums Tanzania Bei za jumla za gesi za kupikia

    Wakuu hivi bei za jumla za gesi ya kupikia zipoje,kuna jamaa anataka kufungua hiyo biashara kwa DSM WAJUVI wa iyo biashara"
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kupanuka kwa kundi la BRICS na kuongezeka kwa pato lake la jumla kunaweza kuleta changamoto kwa mataifa ya Magharibi

    Kundi la nchi za BRICS linaendelea kupanuka, na likiwa sasa limeongeza nchi washirika mwezi Januari mwaka huu wa 2025, baada ya kuingiza wanachama wapya mwaka jana. Sasa kundi hili lina takriban ya nusu ya idadi ya watu duniani na zaidi ya 41% ya Pato la Taifa (GDP), ambapo limekuwa nguvu ya...
  20. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop & phone accessories/solar /flat TV na majiko ya gesi kwa jumla na rejareja bei mserereko

    Ukiitaji chochote hapo juu mkuu nicheki Bei zangu ni za viwandani na bidhaa ni uhakika. Pia ukiitaji ushauri kuhusu biashara hizi nipo tayari Mikoani natuma kwa uaminifu Sana Whatsup 0764225747 Kwa Mungu yote yanawezekana
Back
Top Bottom