jukwaa

Jukwaa, also known as Dwokwaa, is a town in the Central Region of Ghana. It is the traditional capital of the people of Denkyira and is located in the Twifo-Ati Mokwa District in the Central Region. The Jukwa Senior High School is found in this town.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa jukwaa la technology, kuuliza si ujinga

    Habar wana technology, kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu keamba kuuliza si ujinga Naomba kufaham , hivi unaweza uka dowload app ya camera kwenye pc? Kama inawezekana , ipi ni camera kali yenye picha nzur na hd? Laptop ni Dell 13 generation chief mkwawa
  2. JamiiForums Tanzania Kabla ya vita vya Israel vs Palestina, Russia vs Ukraine hili jukwaa mijadala ilikuwa inahusu nini?

    Ukisoma nyuzi za humu unaweza kuogopa. Utajua world war 3 ipo karibu siku mbili nyingi, Palestina/Israel itakuwa umeangamizwa ndani siku tatu zijazo. Hivi Ukraine ime survive vipi hadi leo, je watu wanaendelea na maisha kama kawaida?
  3. JamiiForums Tanzania Kujiajiri kupitia jukwaa la JamiiForums

    Kujiajiri kupitia jukwaa la JamiiForums ni njia nzuri ya kutumia mtandao wa jamii kujipatia kipato au kukuza biashara yako. Hapa kuna hatua muhimu za kuanza: ### 1. Kujenga Sifa na Maudhui Bora - Shiriki Maudhui ya Ubora: Anza kwa kushiriki maudhui ya ubora na yenye thamani kwenye JamiiForums...
  4. JamiiForums Tanzania Mara nyingii nyakati za usiku nimekuwa nikiota ndoto nikiwa naongoea na watu waliokufa hasa baba yangu mzazi

    Habari za usiku wanaJF , ndugu zangu naomba nipate msaada kutota kwenu. Mara nyingii nyakati za usiku nimekuwa nikiota ndoto nikiwa naongoea na watu waliokufa hasa baba yangu mzazi na mdogo anaenifuata. hawa wote ni wafu, Mdogo wangu alitangulia kufarikiriki December 2010 kipindi hicho mimi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Lissu atadondoka na kuumia vibaya sana kwenye Meza anazoandaliwa na CHADEMA atumie kama "Jukwaa"

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo huwa anakimbilia kutafuta majibu mepesi na rahisi, kama ambavyo amewahi kusema Baba wa Taifa Hayati...
  6. JamiiForums Tanzania Arsenal wafanya zoezi la kuvishwa medali za ubingwa, Waandaa Jukwaa na kombe feki

    Kwamba iwapo watatwaa ubingwa leo wasiwe washamba wa shughuli hiyo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza atoa mada tunduizi Jukwaa la demokrasi 2024 linalofanyika Zanzibar

    16 Mei 2024 ASKOFU BAGONZA ATOBOA SIRI ''KUNA KUNDI LINATAMANI BAADHI YA VYAMA VIFUTWE''HUKO NYUMA HAKUENDEKI.. https://m.youtube.com/watch?v=NbSLsVnUDzo Askofu Dkt. Bagonza atoa hotuba ya karne tunduizi kuchambua hali ya kisiasa iliyopo Wadau walioshiriki Jukwaa la Demokrasia Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Omar Juma Kipanga ashiriki ufunguzi wa Mkutano wa sita wa Dunia wa Jukwaa la PASET

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga akifuatilia kwa UMAKINI Ufunguzi wa Mkutano wa SITA wa Dunia wa Jukwaa la Pertnesship in applied science and engineering technology (PASET) na Reginal Scholarship and innovation fund (RSIF) Katika Mkutano Mkuu wa TVET kuhusu...
  9. JamiiForums Tanzania Jukwaa gani ni pendwa kwako ndani ya JamiiForums?

    Ni lipi jukwaa ambalo limekupa somo au shule ya maana, ushauri, maarifa, ufahamu na uelewa kutosha au kukukwamua juu ya masuala mbalimbali ya maisha, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kitaifa na kimataifa?
  10. JamiiForums Tanzania Mbuga ya wanyama huko paris, 1905

    Mwishoni mwa miaka ya 1800 hadi miaka ya 1900, Wamarekani Weupe na Wazungu walitumia Waafrika kuunda "Zoo za Wanadamu" katika miji kama Paris, Hamburg, Antwerp, Barcelona, London, Milan, Warsaw, St Louis na New York City. Wazo la kijiji cha Negro lilikuwa maarufu zaidi nchini Ujerumani, ambapo...
  11. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Wachangiaji M1 JF Jukwaa la Historia 2013

    MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013 Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika kitabu cha Abdul Sykes. Huu ukawa mjadala mkali, mrefu uliokwenda kwa miezi sita mfululizo bila ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: Hizi habari zipelekwe kwenye jukwaa lake

    Leo tumeamka na nyuzi za lugha mpya na zina dominancy ya kutosha humu, nashauri zipelekwe kwake kwenye eneo husika maana nimeliona lipo humu
  13. JamiiForums Tanzania Kama unaenda Taifa Kwa Mkapa leo sema utakaa wapi / jukwaa gani ili uoshe Nyota kwa kukaa Jirani na GENTAMYCINE

    Ila sitaki tu tukikaa uanze kuomba kupiga Picha nami kwani hapo Utanikera sana kwani hakuna Kitu nakichukia duniani kama Kupiga au Kupigwa Picha.
  14. JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu Jukwaa la Kodi na Uwekezaji 2024, Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2024:

    Mjadala unaofanyika kwenye Jukwaa la Kodi na Uwekezaji 2024, Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2024: https://www.youtube.com/watch?v=flJ-sm9Ke0A MDAU: KUNA UTAMADUNI WA TRA KUTOA BENKI FEDHA ZA WATEJA WAO WENYE MIGOGORO YA KIKODI BILA USHIRIKISHWAJI Mdau ameshauri mamlaka ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ayub Rioba: JamiiForums ni chombo cha habari na si jukwaa la mtandao

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema JamiiForums ni chombo cha habari na sio Jukwaa la mtandao kama linavyojulikana. Dkt. Rioba amesema hayo mkoani Mwanza wakati wa uwasilishaji mada za mitandao ya kijamii katika mkutano wa Mafunzo wa 108 wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kabla hujaiponda Habari hakikisha kwanza upo Jukwaa gani

    Kumekuwa na Tabia kwa baadhi ya watu kudharau habari zinazopandishwa kwenye majukwaa ya JamiiForums. Unakuta Habari imepostiwa kwenye jukwaa la Celebrities inamuhusu msanii eg. Harmonize, Diamond, Nandy n.k ila anatokea mtu from nowhere ana-reply "Tuondolee habari za kitoto" mwengine unakuta...
  17. JamiiForums Tanzania Jukwaa la mabazazi

    🤣🤣. Only the legend will understand
  18. JamiiForums Tanzania Gentamycine arudishwe jukwaa la sport limepoa na linaboa

    Moderator fanyie kazi hili swala jukwaa limepoa sana halina vionjo vyovyote vile na vijembe kitu ambacho ni kizuri Mfano kipindi cha usajili wa ligi ya bongo ukija kwenye jukwaa mpaka unakereka limepoa Moderator mrudisheni
  19. R

    JamiiForums Tanzania Huyu nguli wa sheria JF kwenye jukwaa la sheria yuko wapi: Dragoon

    Amepotea kabisa jukwaani na jukwaa alilo liasisi limekufa
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Wachangiaji wa Jukwaa la JF English ONLY FORUM ni Wakenya, Waganda,. Wanyarwanda na Watanzania ni wa Kuhesabika?

    Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…