Ndugu zangu wapendwa,
Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwenu kwa sapoti na msaada wenu mkubwa mlionipa hadi kufanikisha kupata tenda ya Tigo YAS ya kubandika mabango. Ingawa tenda hiyo imeisha, imenifungulia njia na kuniongezea imani kubwa katika kazi zetu.
Naomba kuendelea kuwaombea...