Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.
Habari za Jumatatu
Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba nimekuwa nafuatilia tamthilia hii bila kufuata mtiririko. Ila siku za karibuni nimeifuatilia bila kupenda kwa kuwa nilikuwa nabembelezwa nitoe remote na kubadili chaneli. Hivyo wakati nasubiria tamthilia iishe, ilibidi kutazama ndipo...
Nimesikiza hii, nikapigia mstari kichwa cha uzi.
Mbinu mbalimbali za jinsi watu wanavyotapeliwa kwenye Forex Trading toka kwa majirani zetu wa Kenya
Ruksa kutoa mapovu na kumwaga nyongo zote!
https://www.youtube.com/watch?v=kg-2Ny1fafc
China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko.
Kupitia jua hili bandia...
Wasalaam
Kuna hawa watu hasa mama zetu,mtu anakosea au anafeli katika mazingira fulani ya kibinadamu kabisa mathalani kwa uzembe wake au uzembe unaosababishwa na wengine...badala ya kukimbilia uwajibikaji kumezuka neno Roho ya...
Kwa mfano mtu ni mlevi,badala ya kumwambia kuwa ni mlevi na...
Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania.
Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
Ni kawaida unapotaka kununua freezer ukakuta wanasema hii freezer ni non frost au defrost maana yake ni nini na zipi ni faida zake kwa kila moja
Non frost
Hii ni freezer ambayo haigandishi yaani haitoi barafu inamfumo wa cooling ambao hauruhusu kutoa barafu mfano fridge showcase zote ni non...
UMEME WA JUA KUONGEZA UNAFUU SHINYANGA
Mradi wa umeme wa jua unatekelezwa katika Wilaya ya Kishapu Mkoani wa Shinyanga unaendelea ambapo kwa awamu ya kwanza mradi unatarajiwa kuzalisha Megawati 50 na baadae Megawati 100 kwa awamu ya pili zitakazoongezeka na kufanya jumla ya Megawati 150...
1. Ni Mpumbavu asiye na mfano
2. Ni Mnafiki mkubwa
3. Hajui anachokifanya (Juha)
4. Muongo na Hafai
5. Mchawi / Mshirikina
6. Anapelekeshwa kama Mwehu
7. Analazimisha umaarufu na kupendwa
Naamini kabisa kwa 99.999% Geniuses wangu akina mrangi, adriz, Extrovert, Bila bila, SAGAI GALGANO...
Habari za wakati huu wakuu!
Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko la jua kali katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), baadhi ya maeneo yanatarajiwa kuwa na hali ya ukavu kwa ujumla katika kipindi cha tarehe 01-10 Machi 2025...
Habarini wakuu
Natumai kwema.
Dah! Joto limezidi ni hatari.
Inafikia mpaka unahisi ya harufu ya nyama choma kumbe ni wewe unachomwa jua!
Unakabiliana vipi kuhimili msimu huu wa joto.
Exception: Kwa wale mliopo sehemu zenye baridi na mvua.
1. Wameshamuona hana la kufanya
2. Wameshamuona ni Mbivu
3. Wameshamuona ni mpenda Raha
4. Wameshamuona anaingilika Kiurahisi
5. Wameshamuona ni Mswahili Mswahili
6. Wameshamuona ni mbea mbea Fulani
7. Wameshamuona kuwa HANA AKILI kabisa
Je, kwako Wewe huko Mtaani Mwanamke akiombwa kuwa Kijumbe...
Tofauti kati ya Scania G420 na Scania 119 inahusiana na mifano tofauti za magari ya lori yanayotengenezwa na kampuni ya Scania. Scania hutengeneza magari ya lori, mabasi, na magari ya kibiashara, na mifano hii inatofautiana kwa nguvu ya injini, matumizi, na vipengele vingine. Hapa chini ni...
Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata tone hakuna
1. Mwambao wote wa Bahari ya Hindi
Wakuu msaada kwenye tuta, gari nimeagiza hata miezi mitatu haijapita ila rangi inapauka kwa speed kali sana! Nilinunulia cover wakati inafika tu ila haijasaidia kitu. Ila cha ajabu nina jirani yangu gari yake hata haifuniniki ila haijapauka hata kidogo.
NB: Rangi ya gari ni blue, ila naweza...
Vitu vya kupewa Bure wewe unavinunua Kwa hela , hela yenyewe ndogo. Wenzako wanauziwa Dola elfu 30 Kwa mwaka wewe unauziwa Dola elfu moja Kwa mwaka. Huoni kwamba unapigwa?
Unazidiwa na wale wanaochukua bure Kwa sababu wamejipima wameona gharama halisi ni Dola elfu thelathini Kwa mwaka, hii Dola...
Hello! Today Niwapatia Silaha Kali ya mashambulizi dhidi ya Hilo swali😃,
Simply, I’m sharing a formula you can use to answer this question by focusing on things your brain will follow, helping you be logical without memorizing too much. It’s not about quantity but about how your answer aligns...
Wadau nimekuwa nikifikiria sana kuhusu majaribio yanayofanywa kwenye jua na mwezi.
Hivi karibuni ndugu zetu India japo Wana matabaka makubwa sana ya matajiri na maskini lakini wameweza kufika kwenye mwezi Tena kwenye darkside of the moon ambako hakuna inchi umewahi fika.
Media hasa za uingereza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.