Holden Homes
Senior Member
- Aug 29, 2024
- 141
- 100
Ni kawaida unapotaka kununua freezer ukakuta wanasema hii freezer ni non frost au defrost maana yake ni nini na zipi ni faida zake kwa kila moja
Non frost
Hii ni freezer ambayo haigandishi yaani haitoi barafu inamfumo wa cooling ambao hauruhusu kutoa barafu mfano fridge showcase zote ni non frost na hizi zina matumizi ya umeme makubwa kwa sababu ya kutogandisha, na mara nyingi freezer ikiwa non frost unaambiwa
Defrost
Hii ni freezer ambazo zinatoa barafu mfumo wake unaruhusu kuwepo kwa barafu na mara nyingi sana defrost zinamatumizi madogo ya umeme ukilinganisha na non frost, na mara nyingi freezer asilimia karibia 95 ni defrost ukitoa showcase ambazo almost zote ni non frost
Hizo hapo juu ndo tofauti kati ya non frost na defrost naamini zitamuwa zimekufumbua macho
Tunauza non frost na defrost freezer za aina nyingi karibu