jpm

  1. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi TRA: Toka nianze kazi TRA miaka 8, haupo wakati ukusanyaji kodi ulikubalika kama wa Hayati Magufuli

    "...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao." "...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka...
  2. JamiiForums Tanzania CCM msiompenda Mama Samia, mlitaka nani awe Rais baada ya Hayati Magufuli kufariki?

    Ninashangaa kuona kuna vikundi vya kijinga ndani ya chama changu cha CCM vinajifanya kua wajuaji sana na kwa wao ndio wanaojua sana nchi kwakua walikua sehemu ya utawala wa awamu ya 5. Vigenge hivi vinajifanya kua active kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6, utafikiri mama...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana

    Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana
  4. JamiiForums Tanzania Je, kupaka matope utawala wa hayati Magufuli kutatubeba wapinzani kisiasa? Magufuli hayupo nasi kwenye ulingo wa kisiasa, kwanini mnakomaa kumchafua?

    Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukumiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA ilimalizwa na Magufuli, sasa tujielekeze kuidhoofisha ACT Wazalendo

    CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo CDM watagombea nchini ubelgiji; ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama...
  6. JamiiForums Tanzania Mch. Peter Msigwa: Hayati Magufuli ametufundisha tujue tabia za watu wengi

    Muda ni Mwalimu mzuri sana ! Wanafiki wote wamejidhihirisha. Tabia za ki TIKITI MAJI nje wa kijani na ndani mwekundu, ziko wazi . Jambo moja la kumshukuru JPM ni la kutufanya tujue tabia za watu wengi. #MboweIsNotATerrorist https://t.co/Y6l1tcnXnd
  7. U

    JamiiForums Tanzania Leteni ushahidi wa namna Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilivyoharibu mahusiano ya kimataifa

    Enyi walimwengu Naomba msaada kujulishwa hayati JPM akiwa raisi alivunja mahusiano gani na nchi mbali mbali Na jumuia za kimataifa ambazo leo nasikia wengi wakitamka kuwa sasa mahusiano hayo yaliyovunjwa awali yanatejeshwa kwa kasi sana. Angalizo kwa waleta majibu ya maswali hapa chini ndo...
  8. JamiiForums Tanzania Kifo cha Hayati Dkt. Magufuli kimeipasua CCM. Je, huu ndio wakati wa wapinzani kutusua kisiasa?

    Alitabiri Remy Ongala kuwa Ccm ilishakufa sasa yametimia. Kuna wanaCcm waliokuwa upande wa hayati JPM wanaona sasa nchi imekamatwa mikononi mwa mafisadi na wezi. Kuna wanaCcm kumbe walifurahia kifo cha hayati JPM na hii inaonekana alikuwa kikwazo kwao. Ccm ya sasa imepasuka maana kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Magufuli: Mimi ndio Rais, ninajua siri zote za nchi

    HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO Nanukuu Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Linisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa tu na roho mtakatifu nashindwa kuwataja, tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakubali kuwa wamekuwa wakikosea sana

    Kuna mambo ya ajabu sana unaweza usiamini yaani leo ukikutana na kijana wa Chadema na kumwambia mama vipi maneno yatakayo mtoka mdomoni uwezi kuyaandika. Na ukimuuliza JPM vipi atakwambia kwa sauti ya chini afadhali ya JPM alikuwa vizuri. Ukiendelea kumsikiliza unaweza ukachanganyikiwa. Mi...
  11. JamiiForums Tanzania Kujivunia maendeleo makubwa ya sekta ya barabara ndani ya miaka 60 ya Uhuru bila kumtaja Hayati Magufuli ni makosa makubwa ya kihistoria

    Ukweli unapaswa kuwekwa ndani ya historia yoyote inayoandikwa ili kizazi na kizazi kiweze kupata ukweli wa masuala yanaojili na kuendelea. Hayati Magufuli katika utumishi wake wa umma zaidi ya miaka 25 alipigania maendeleo ya barabara hapa nchini. Kila mtanzania ni shahidi juu hili na hivyo ni...
  12. JamiiForums Tanzania Koh Koh Koh.. Mbona Rais Samia Kama Kayaona ya Magufuli?

    Sijui ni mimi tu, macho yangu au masikio yangu? Huku Bandari mbona kama kunaumiza kichwa sana Marais? Rais Samia jana kazungumza kama Magufuli, Kachukua hatua za papo hapo kama enzi za Magu na anajitangaza kusimama na wananchi kama Magu alivyokuwa anajitangaza kusimama na wanyonge. Sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa kauli ya Mzee Mangula, Rais Samia, Waziri Mwambe na ya Hayati Magufuli inaonyesha Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni ‘White Elephant’

    Huu mkanganyiko wa kauli za hawa viongozi waandamizi wa chama na serikali kuhusu bandari ya Bagamoyo inaonyesha kuna madudu sana ndani ya terms of contract,na hii inatokana na baadhi ya viongozi wachache waliolenga kujinufaisha na mradi huo . Rejea jinsi dharura iliyotumika kupitisha miswaada...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima mbele ya kaburi la Hayati Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, lililopo nyumbani kwake, Chato mkoani Geita leo Jumatatu. Magufuli alifariki dunia 17 Machi 2021, Dar es Salaam.
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Museveni hajaenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli Chato?

    Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
  16. JamiiForums Tanzania Kumbe Hayati Magufuli ilibaki kidogo kumshtaki Karamagi mahakamani?

    Unaambiwa vyombo vya dola vilishaenda kumchukua kumpeleka kolokoloni kwa ajili ya kujibu tuhuma za kulisababishia Taifa hasara kupitia baadhi ya mikataba ya madini aliyoingia wakati akiwa Waziri akiiwakilisha Serikali. Inasemwa mzee Mwinyi aliombwa na mmoja wa Viongozi mkuu mstaafu aende...
  17. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri Hayati Magufuli alichukiwa na wanaCCM wenzake alioziba mianya yao ya ufisadi

    Alidhibiti kwa kila namna wanaCcm wenzake walioliibia taifa la Tanzania kupitia sekta ya umeme. Hawa ni wale ambao kila mwaka walipiga dili kujifanya wanasaidia taifa kudhibiti upungufu wa umeme nchini ila kumbe walijinufaisha kwa asilimia kubwa. Aliwadhibiti wanasiasa wenzake wa Ccm ambao...
  18. JamiiForums Tanzania Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

    ZITTO AMTETEA JANUARY MAKAMBA "Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika, miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani, hatujaogeza hata 1MW kwa miaka 5"@zittokabwe
  19. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

    Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja. Mwenyewe...
  20. JamiiForums Tanzania Akili inayotumika kumponda Hayati Dkt. Magufuli ndio ile ile iliyowagharimu wana Libya

    Salama humu, Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5! Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…