john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Heche, Mpina na wengine wanatumika kuichafua Serikali ionekane haifanyi kazi?

    - Mfanyabiashara aliyetoroka nchi, anayesifika kutapeli mabenki atajwa kuwa nyuma ya Heche, Mpina na wengine - Ni mmiliki wa kampuni ya Mafuta Steti Oil inayotuhumiwa kujihusisha na mambo mengi machafu - Yaelezwa amejiegemesha CHADEMA kuichafua serikali baada ya kukosa zabuni ya kuingiza...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA mtimueni John Heche labda mseme hakuna accountability ndani ya chama

    Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani. Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya...
  3. JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli Heche amesema watatumia uhuru wa chama chao kuteka na kuumiza watu?

  4. JamiiForums Tanzania Mkakati wa uingiza CHADEMA kwenye maridhiano feki kwa kumtengenezea kashfa feki ya kifedha John Heche umebuma kabla haujaanza!

    HAWASEMI NI FEDHA GANI HIZO ALIZOKULA M/M/KITI CHADEMA JOHN HECHE? KIVIPI NA WAPI? NI MANENO MATUPU YA HEWANI TU! VERY POOR PLANNED STRATEGY!! Nimewaza na kuwazua... Nikajiuliza hivi hizi fedha zinazodaiwa zimeliwa na Mh John Heche na kwamba amezitumia vibaya ni zipi hizo...? Je, ni hizi za...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ni Muda Muafaka kwa CHADEMA Kumsimamisha Haraka Uongozi John Heche Ili Kufanya Uchunguzi Wa Kina wa Tuhuma Zinazomkabili Ili Kurejesha Imani

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa sasa wana CHADEMA wamepoteza kabisa Imani na Heche , Hakuna anayemuamini,Hakuna anayemuelewa wala kujua anachokifanya ndani ya chama chenye Maslahi kwa chama. Kila Mmoja ndani ya CHADEMA amepoteza kabisa imani na Heche na kakikundi kake. Wana CHADEMA wanaona Heche...
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna namna John Heche anaweza kuchomoka kwenye hili

    https://www.youtube.com/live/oLQsox2lUog?si=CJFvGWpLngaSv3H9 Hebu msikilize kiongozi huyu wa chadema anavyojaribu kutetea matumizi binafsi ya pesa za chadema :1Head: Mungu Ibariki Tanzania
  7. JamiiForums Tanzania Je, Kilichomkuta Salum Mwalimu CHAUMMA kumkuta na John Heche CHADEMA?

    Kwasababu ni wazi, kwamba sababu wanazotuhumiwa nazo zina fanana, ni zile zile tu za matumizi mabaya ya fedha za chama, matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama kwa matanuzi, maslahi na manufaa binafsi na familia zao. Je, tutegemee wimbi...
  8. JamiiForums Tanzania Ninaomba Rasmi niwe Mlinzi wa John Heche,Viongozi wa Chadema mkipata huu Ujumbe tafadhali sana naomba mumfikishie John Heche

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane! Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mtakaopitia huu Ujumbe,Tafadhali sana naomba mumfikishie Mh.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kwamba ninaomba kwa ridhaa yangu mwenyewe niwe mmoja ya Walinzi wake...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Heche na Golugwa wamtembelea mjane wa Suez Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, pamoja na Naibu Katibu Mkuu Bara, Mheshimiwa Amani Golugwa, leo Jumatano, Julai 8, 2026, walifika nyumbani kwa marehemu Suez Dani Maradufu kumjulia hali mke wa marehemu, muda mfupi kabla ya Mheshimiwa Golugwa kuanza safari ya kuondoka...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Heche: RC Sirro anasema kifo cha Suez ni cha kawaida hata kabla ya majibu ya Postmortem

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza leo Julai 5, 2026 katika Mazishi ya aliyekuwa Dereva wake Suez ambaye taarifa za kifo chake iliripotiwa Julai 1, 2026 Kigoma, ambapo hadi sasa hayajatoka majibu rasmi kuhusu nini hasa kilipelekea kifo chake...
  11. JamiiForums Tanzania Ni sahihi John Heche kumuacha Dereva wake kwenda kulala Chumba cha Sh. 3,000/=?

    Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini John heche hajatoa pole kifo cha dereva wake?

    Nimepitia account zake zote za social media, nimepitia taarifa zote, sijaona andiko la Heche la kutoa pole kwa familia ya dereva wake
  13. JamiiForums Tanzania Heche: Walioitisha Maandamano Julai 7 wana haki, CHADEMA tukiitisha tutatangaza hadharani

    Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akihojia na kituo cha Redio cha VOS Juni 25, 2026 amesema "Walioitisha Maandamano Julai 7 wana haki, CHADEMA tukiitisha tutatangaza hadharani." Heche ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Bara amefafanua kuwa haki ya kukusanyika na kuandamana...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Combo ya Tundu Lissu na John Heche kila Mtanzania sasa anaielewa na kuiishi kwa mustakabali na ustawi jumuishi wa nchi yetu pendwa Tanganyika

    Hawa magwiji wawili wa siasa na jopo lao la viongozi ndani ya CDM wamefanya CCM wote kuchanganyikiwa na kupoteza legitimacy mbele ya wananchi kwa zaidi ya asilimia 80. Ni ukweli usiopingika kwamba Chadema kwa sasa ndio chama kikuu cha siasa Tanzania na raia wanashauku na matumaini makubwa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi Kigoma: Tumekuta vidonge kwenye chumba cha dereva wa John Heche.Uchunguzi unaendelea zaidi

    Leo Julai 1, 2026 majira ya saa 10:00 asubuhi, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limepokea taarifa kutoka kwa Ndugu Mrimi Zabron Mwita, mkazi wa Sirari na Katibu wa Mheshimiwa John Heche, kuwa walikwenda kwenye nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Ntahamba kwa lengo la kumwamsha...
  16. JamiiForums Tanzania Namlaumu sana John Heche maana ndo alituzalia huyu Katambi kwenye siasa,Wacha limpige bakora

    John Heche POPOTE ulipo ulaaniwe na Mungu Baba wa Mbinguni kwa kutizalia poyoyo kwenye siasa, Katambi wewe ndo ulilichoa Nafasi ya mwenyekiti Taifa Bavicha ona yanayo jili Sasa. Nyinyi wewe na Mbowe ndo mlililea Leo linatukungia chama cheti kisifanye siasa maana akili halina ni poyoyoyoooo
  17. JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA haitafanya maridhiano na CCM bila mpatanishi wa kimataifa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche Juni 25, 2026 kwenye mahojiano na kituo cha Redio, cha VOS amesema kuwa chama hicho hakiko tayari kuingia kwenye maridhiano yoyote na Chama Cha Mapinduzi (CCM) bila uwepo wa mpatanishi wa kimataifa (mediator) asiyekuwa na upande, akitolea mfano wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Heche: Polisi wamenifuatilia huku wakiwa na silaha nzito na wameziba nyuso, tangu Urambo hadi Kigoma

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alifuatiliwa na watu aliowatambua kuwa ni askari wa polisi waliokuwa wameficha nyuso zao na kubeba silaha za moto wakati wa safari yake kutoka Urambo hadi Kigoma Siku nzima ya leo magari mawili ya polisi na polisi wakiwa wameziba nyuso zao...
  19. JamiiForums Tanzania John Heche amjibu Waziri Katambi, "Eti sina kazi ya kufanya, nina uchu wa madaraka"

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche ameshangazwa na madai ya kuambiwa ana uchu wa madaraka Heche amesema hayo Alhamisi Juni 25, 2026 wakati akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mpanda Mjini kwenye Viwanja vya Kashaulili. ‘’Huyo anayesema nina uchu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…