jkt

JKT48 (read as "J. K. T. Forty-eight") is an Indonesian idol group whose name is derived from its based city of Jakarta and the Japanese idol group AKB48. Formed in 2011, it is the first AKB48 sister group outside Japan and adopts the concept of "idols you can meet", before switching to "idols that will come to meet you" since 8 April 2018. Fans can attend daily performances at the group's theater, which was built as a close replica to the AKB48 Theater in Akihabara.While JKT48 does not restrict membership by nationality, applicants must be residents of Indonesia. As of 13 December 2019, the group has 42 individual team members, with one of them performs in two teams. It also has 28 Class A Academy members – formerly known as trainees – and 13 Class B Academy members.On 16 February 2013, JKT48 released its first studio album Heavy Rotation via Hits Records, a division of MNC subsidiary PT Star Media Nusantara. It performs songs by AKB48 and other sister groups that are translated into Indonesian.

View More On Wikipedia.org
  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Hayati Mwl. Nyerere na Hayati Mzee Karume Watunukiwa Tuzo za Heshima Katika Maadhimisho Miaka 60 ya JKT

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalum ya heshima katika katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Tuzo Maalum pia zimetolewa kwa waasisi wa Taifa letu ambao pia ni waasisi wa Jeshi...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), yatakayofanyika kesho. Kwa mujibu wa taarifa kwenye maadhimisho kumeandaliwa mambo mbalimbali...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Asema JKT Inatekeleza Maagizo ya Rais Samia

    WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa, kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kuienga Taifa (JKT) kesho, amesema IKT itaendelea kutekeleza, agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuibua na kutambua vipaji vya vijana na kuviendeleza. Bashungwa aliyasema hayo jana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Brigedia Mbuge akumbukwe ghafla huko jkt.

    Leo shemeji yangu mjeshi kanitembelea lakini muda wote ni kumtaja boss wao wa zamani kuwa angekuwepo nao leo hii wangekuwa na tabasamu kama majirani zao Jw. Nimejaribu kumdadisi kulikoni lakini hataki kufunguka zaidi ya kutoa tu sifa kwa Brigedia Mbuge kuwa laiti angekuwepo bado. Nimewaza...
  5. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mume na Mke Washinda Mbio za JKT Half Marathon 2023

    Wanariadha Faraja Lazaro Damas na Magdalena Shauri ambao ni Mume na mke na ni waajiriwa wa (JWTZ) wameshinda mbio za JKT Half Marathon 2023, Zilizofanyika tarehe 25 Juni 2023, jijini Dodoma. Faraja na Magdalena walishinda mbio hizo za kilomita 21.1 (21K) kwa muda wa (1:03:45) na (1:11:22 ) na...
  6. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Form Six walioenda JKT bado wanaendelea kuishi kwa mateso

    Nina mdogo wangu aliyeko kwenye kambi mojawapo mikoa ya nyanda za juu kusini, imebidi anitafute ili nimtumie chochote kitu kwa sababu chakula wanachopewa ni kidogo sana na wanapiga tizi linalohitaji ule ushibe haswa. Inasemekana wengi wasio na uwezo wa kujinunulia chakula wametoroka, na...
  7. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania JKT Half Marathon 2023 kufanyika Dodoma Jumapili

    Mashindano ya Mbio za barabarani za nusu marathoni za JKT ( JKT Half Marathon 2023) Kufanyika Jumapili tarehe 25 Juni 2023 Jijini Dodoma. Mbio hizo ni za Kilomita 21 (21.1K), kilomita 10 (10K) na Kilomita tano (5K, Fun Run). Zawadi za Washindi zimeshatangazwa, 21K anachukua milioni moja na...
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kufurika kwa Kambi za JKT: Je, kuna haja ya kuongeza kambi hizo?

    Vijana kadhaa waliokuwa wamepangiwa kujiunga kambi mbali mbali za JKT nchini, wameshindwa kujiunga na Kambi hizo kutokana na maelezo kwamba zimejaa kupita kiasi. Je, kuna haja ya kuongeza idadi ya Kambi hizo ili kukidhi wingi wa vijana wanaotakiwa kujiunga na mafunzo ya JKT?
  9. Mlendamboga

    JamiiForums Tanzania Waliochelewa kuripoti JKT wakataliwa kupokelewa

    Wahitimu wa kidato cha sita waliochelewa kuripoti kambini tarehe 11/6/2023 wamezuiwa kuripoti na kuungana na wenzao. Zaidi ya vijana 150 katika kambi ya JKT Mafinga wamerejeshwa wakati wakiripoti jana 12/6/2023 siku moja baada ya tarehe ya mwisho. Kwa wale waliofika jana jioni walipewa hifadhi...
  10. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ni kuwa JKT inazalisha mafisadi na watu wanaochukia nchi yao badala ya wazalendo

    Hii habari ya JKT Tanzania Nyerere aliiga China kwa Mao. Mao alivuruga kila kitu, watu wakatolewa mashuleni, kwamba haina maana na kupelekwa "JKT." Kigezo cha kuingia chuo kikuu kikawa si ufaulu shuleni bali bidii ya mtu na utii huko JKT. Watu walioenda kule JKT walikutana na mambo ya ajabu...
  11. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Sharti Mbunge awe amepitia JKT au jeshini na amewahi kutumikia taifa

    Kama ilivyo kwa ajira nyingine ambazo kigezo mojawapo ni ukakamavu na uzalendo (JKT). Tunahitaji MBUNGE sifa ya kugombea iwe JKT na awe na historia ya KUTUMIKIA TAIFA kwa uzalendo kwa muda usiooungua miaka mitano.
  12. C

    JamiiForums Tanzania JKT Ruvu kama hamkuwa tayari kupokea watoto wetu kulikuwa hamna haja ya kusumbua wazazi

    Inakera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hapa nchini mtu atoke Geita una tegemea kufika Dar siku hiyo hiyo...
  13. P

    JamiiForums Tanzania KAMA MWANAO AMEENDA JKT MUDA HUU MFATILIE KAMA KAINGIA AU LA

    Naomba kutoa taarifa ya wwzalendo form six waliochelewa kuripoti kambini ,wanarudishwa .Hivyo kama mzazi na mlezi fatilia mwanao kama ameingia au la ,kwaajili ya usalama wake. Nawasilisha
  14. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania BAKWATA iingilie kati uvaaji wa wanawake wakiwa JKT

    Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura. Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu. Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
  15. Mbota Matari

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa kijana ambaye hakuwahi kwenda JKT kwa mujibu akitaka kwenda sasa utaratibu ukoje?

    Habari za wakati ndugu zangu waungwana, Naitwa Mbota Matari, nilihitimu kidato cha sita miaka michache nyuma, kwasababu kadhaa kwa wakati huo sikuweza kwenda JKT- kwa mujibu wa Sheria. Kwasasa ninatamani kwenda kupata mafunzo hayo kwani ni muhimu ili niweze kuweka mazingira mazuri ya kozi...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania JKT yakanusha suala la kunyanyasa vijana

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limewataka Wazazi na Walezi wa Vijana kupuuza taarifa za uzushi unaolenga kuwatia hofu Vijana waliopangiwa kuhudhuria Mafunzo ya JKT katika makambi mbalimbali kutokwenda kuripoti makambini, kwa kile kinachodaiwa kuwa eti, mafunzo ya JKT ni mateso, yana unyanyasaji...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo?

    Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini. Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna upendeleo wa kuwaingiza wazanzibari kwenye majeshi pindi wamalizapo mafunzo JKT na huko kwenye majeshi hupewa vyeo vyenye hadhi ?

    >> MOVED / IMEHAMISHWA >>
  19. T

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kujiunga JKT kwa mujibu wa sheria 2023

    Wanabodi na wapiga kura wenzangu Nimeguswa na kushangazwa niliposoma tangazo kutoka kwa Mkuu wa JKT akitoa maelezo kwa vijana watakaojiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2023..maana yangu ni njema, kutaka ufafanuzi kwa jambo hili kulingana na maelezo yaliyotolewa. Inakuwaje serikali inashindwa...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

    Habari zenu Wana JF, Naomba msaada kufahamu madhara ya kuacha kuripoti wito wa kujiunga na JKT kwa wale waliomaliza A level. Je, cheti cha kumaliza mafunzo ya JKT huwa kinahitajika kwa ambaye anataka kufanya maombi vyuo vikuu vya Serikali kama UDSM, Tanzania Institute of Accountancy na IFM...
Back
Top Bottom