Nobunaga
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,169
- 4,985
Nina mdogo wangu aliyeko kwenye kambi mojawapo mikoa ya nyanda za juu kusini, imebidi anitafute ili nimtumie chochote kitu kwa sababu chakula wanachopewa ni kidogo sana na wanapiga tizi linalohitaji ule ushibe haswa.
Inasemekana wengi wasio na uwezo wa kujinunulia chakula wametoroka, na waliobaki basi lazima ujiongeze.
Ni juzi juzi tuu JKT walikanusha vijana wa form 6 kuteswa pindi wanapoenda kwenye haya mafunzo, je kuwanyima chakula na huku wanapiga zoezi gumu siyo moja ya mateso?