jkt

JKT48 (read as "J. K. T. Forty-eight") is an Indonesian idol group whose name is derived from its based city of Jakarta and the Japanese idol group AKB48. Formed in 2011, it is the first AKB48 sister group outside Japan and adopts the concept of "idols you can meet", before switching to "idols that will come to meet you" since 8 April 2018. Fans can attend daily performances at the group's theater, which was built as a close replica to the AKB48 Theater in Akihabara.While JKT48 does not restrict membership by nationality, applicants must be residents of Indonesia. As of 13 December 2019, the group has 42 individual team members, with one of them performs in two teams. It also has 28 Class A Academy members – formerly known as trainees – and 13 Class B Academy members.On 16 February 2013, JKT48 released its first studio album Heavy Rotation via Hits Records, a division of MNC subsidiary PT Star Media Nusantara. It performs songs by AKB48 and other sister groups that are translated into Indonesian.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania JKT hamfanyi mtu awe mzalendo

    Mimi kama mtu mmojawapo niliyepitia mafunzo ya jkt kwa mujibu wa sheria nathibitisha kuwa jkt haikufanyi kuwa mzalendo ila inakufanya kuwa jasiri. vijana watakao enda jkt watakuwa majasiri na watakuja kusaidia kupambana na majizi yanayoangamiza nchi yetu. 'Uzalendo unajengwa kwa matendo ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tujihoji kwa busara: Kuwapeleka Gen Z kwa lazima JKT kutaepusha kama yaliyotea Oktoba 29 au ndio itachochea zaidi? Maana tatizo sio uzalendo

    Jkt ina inakwenda kuzalisha MaGen Z ambao watakuwa wanajua kutumia silaha za kivita. Hoja kuwa kuwapeleka Gen Z JKT ni suluhu ya madiliko ili maandamano ya kutaka CCM ambayo wananchi wanasema imejaa ufisadi na nepotism sio siluhu. Gen Z ni kizazi cha watoto jasiri ambao wakichoka wamechoka...
  3. JamiiForums Tanzania Hatari ya kuwalazimisha watoto wa watu kwenda JKT!

    Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu aliyelazimisha kutungwa sheria ya wanafunzi wa kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima ni mwendawazimu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu wahitimu kidato cha 6 kujiunga na JKT

    Wakuu habari za muda huu. Naomba kuuliza utaratibu wa wahitimu wa kidato cha 6 kujiunga na JKT kama bado ni hiyari au kwa sasa ni lazima? Na kama ni lazima,mafunzo hayo huanza mwezi gani kwa hawa ambao wamehitimu kidato cha 6 mwaka huu?
  5. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi za ndani kabisa Beki kisiki Bakari Mwamnyeto atakuwa uwanjani leo akiiongoza Yanga dhidi ya JKT kwenye

    Hizo ni taarifa za ndani kabisa
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Othman: Watu ndani ya vikosi vya SMZ walitusihi, Vijana kutoka JKT walipewa silaha walipokosa wa kuua Zanzibar wakapandishwa Ndege Usiku kuja Bara

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo ngazi ya Taifa, Othman Masoud Othman, Othman, leo Mei 16, 2026, jijini Dar es Salaam, akizungumza katika Mjadala wa Kitaifa kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Tanzania, uliohudhuriwa na makada wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia, na waandishi wa habari...
  7. M

    JamiiForums Tanzania JKT Graduates — A Military-Trained Population With No Stake in the System

    The JKT (Jeshi la Kujenga Taifa) system is, in structural terms, a radicalization pipeline that the state itself operates — not intentionally, but through the gap between what it promises and what it delivers. Ni nani aliwadanganya CCM kuwa Wanaweza tena kuitawala Tanzania kwa nguvu. JKT...
  8. JamiiForums Tanzania FT: Simba 1- 0 JKT Tanzania; ni "Mzee " Chama tena

  9. JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Serikali irejeshe utaratibu wa wanaomaliza kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima

    Wakuu, Moja ya mapendekezo aliyoyatoa Chande leo wakati wa wasilisho lake
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) imetutelekeza Vijana wa JKT 2024 baada ya awali kutuahidi ajira

    Kero yangu ni walichotufanyia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Tanzania Airports Authority – TAA) vijana 40 kutoka JKT 2024 OP Mabeyo, walituchukua tukiwa vikosini wakatupeleka kama Maafisa Usalama wa Viwanja vya Ndege, Airport Security Officer (AVSEC) bila kuomba nafasi hiyo, wakatushawishi kuwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania JKT yatangaza nafasi za kujiunga kujitolea

    Wakuu, Tukajitolee kujenga taifa jamani:Alien::Alien::Alien: ---------- Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, amewahimiza vijana wa Kitanzania wenye sifa kujitokeza kujiunga na nafasi za kundi la kujitolea. Mpango huu unalenga kuwajengea vijana uzalendo, umoja wa...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi Songwe: Henry Mboya alikamatwa kwa tuhuma za jinai zinazomkabili. Alikutwa na bastola bandia na koti moja lenye nembo ya SUMA JKT

    Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Henry Mboya, zikidai kuwa hajulikani alipo baada ya kukamatwa na Polisi. Taarifa iliyotolewa leo Disemba 21 na Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe imesema kuwa Henry Mboya, Mkazi wa...
  13. JamiiForums Tanzania 15. JKT ya kweli haikufa - ililala. Na wa kuamsha ni wewe

    Sikiliza sasa… JKT ile ya Mwalimu haikufa, hapana. Ile taasisi ya kujenga taifa - iliwekwa chumba cha giza, ikafungwa taa, halafu ikafunikwa shuka ili ionekane imekufa. Lakini bado inavuta pumzi, bado moyo wake unadunda taratibu kama mtu aliyelala usingizi mzito. Swali ni moja: Ni nani wa...
  14. JamiiForums Tanzania 14. Tatizo la JKT si vijana waliopelekwa huko - tatizo ni taifa lililoamua kuigeuza JKT kuwa kaburi la ndoto zake lenye bendera juu

    Unajua tofauti kati ya JKT ya Mwalimu na hii ya sasa? JKT ya mwalimu ilikuwa sehemu ya kuishi, kufanya kazi, kujenga taifa, kuwa mtu huru mwenye taaluma na hadhi. JKT ya sasa ni sehemu ya kubana pumzi, kufukuza akili na kurudisha mtu kijijini akiwa amechoka zaidi kuliko alivyoingia. Na ndiyo...
  15. JamiiForums Tanzania 13. “Mtoto, njoo hapa nisikie vizuri, Nitakuambia hadithi ya JKT ambayo iliuawa kabla hujazaliwa

    Unajua JKT ilikuwa nini kabla haijageuzwa kuwa kambi ya kukimbiza vijana kama kuku? JKT ilikuwa shule kubwa kuliko zote, hospitali kubwa kuliko zote, shamba kubwa kuliko yote, chuo kikuu kikubwa kuliko vyote- lakini si kwa majina. Kwa DAMU na KAZI. Mtoto, fikiria hivi: Kijana aliyesoma Ualimu...
  16. JamiiForums Tanzania 11. Mwanangu… kususia JKT si ushindi. HAPANA

    11. Mwanangu… kususia JKT si ushindi. HAPANA. Ni kujikata mguu kwa imani kwamba taifa litahisi maumivu yako. Taifa halihisi. Mfumo hausikii. Wanakuangalia tu na kusema: "Asante kijana kwa kupunguza mzigo-mafuta tumeyaleta, nguvu zenu hatuzihitaji sana, mnapojiondoa ndio tunafurahi zaidi." Sasa...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 10. Tukisusa JKT si kuukomoa mfumo bali tunaukomoa ubongo wetu wenyewe

    Haya ndiyo maneno ambayo vijana wengi wanashindwa kuyameza kwa sababu yana ladha kali kuliko ukoko wa ugali wa Mpangala. Ukisusa JKT, mfumo unacheka. Kicheko cha mfumo hakisikiki masikioni, lakini kinatetemesha mustakabali wako. Akikuona huendi, anasema: “Huyu ndio rahisi kutumia baadae. Hana...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Kujitolea JKT Siku Hizi Ni Hekima ya Mpumbafu

    (Gafla Mwendawazimu akanyang'anya mic) MWENDAWAZIMU: Hebu njoo hapa kijana… njoo karibu, usiogope, mimi siwezi kukugusa - tayari nimegusa ukweli, na huo ndio ugonjwa pekee unaoambukiza nilio nao. Uliniuliza “Kwa nini siku hizi kujitolea JKT ni hekima ya mpumbafu?” Sikiliza basi. Sijasema...
  19. JamiiForums Tanzania 8. “Uchumi wa JKT usingetoa ajira - ungezaa UTAIFA.”

    Watu wengi hawajui kwamba ajira ni kitu kidogo sana ukilinganisha na utengenezaji wa utaifa. Taifa halijengwi na mishahara, halisimami kwa posho, halihifadhiwi na mabango; taifa linajengwa na umoja wa fikra, nidhamu ya kufanya kazi, na maono ya pamoja. Na JKT - ile ya mwalimu, si hii kambi ya...
  20. JamiiForums Tanzania JKT Cement Industry: Natamani kuona wanapewa mgodi wa kuchakata Saruji

    Habari Tanzania ! Nimejiwazia hapa, hawa JKT kwa ubora wa huduma zao, umakini na uwezo wa nguvu kazi nawaomba mamlaka hapa Tanzania wawape maeneo yenye rasilimali za kuchakata Saruji watuletee Saruji safi na bora, bei nafuu na yenye uwezo mzuri na iitwe (JKT Cement) . Jeshi la Kujenga Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…