jioni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Baadhi ya Watoto wanasoma mpaka Saa 11 Jioni bila kula Wilayani ya Karagwe, hilo si jambo jema

    Jamani mimi kama mdau wa elimu kuna suala nimeliona na naomba lifike kwa mamlaka husika. Ipo hivi baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera zinafundisha watoto kuanzia asubuhi mpaka jioni wakati huo mtoto hajanywa uji wala kula chakula cha mchana. Katika kufatilia...
  2. Troll JF

    Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

    Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu maarufu kama Bibi ambaye pia ni komando wa zamani wa Jeshi la Israel IDF ametumia ukurusa wake wa X kupost na kuzima tetesi ambazo zilikua zinasambaa kwa kasi kuwa kauwawa Myahudi amepost kuzima tetesi zote...
  3. Kijukuu cha Tanzania

    KERO Kila siku TANESCO wanakata umeme jioni Pugu Majohe hadi imekuwa kero

    Pugu Majohe na Majohe yote ikiwemo kwa Ngozoma, Sondombwa, Halisi, Rada, Viwege, Bombambili na maneno ya jirani kuna changamoto ya kukatika umeme kila siku jioni kuanzia saa moja mpaka saa sita usiku. Changamoto hii ilianza Mwezi Disemba 2025 na inaendelea hadi sasa, kuna muda unakatika mchana...
  4. N'yadikwa

    Uholela wa maegesho na biashara ndogo unavyosababisha foleni kubwa Dar es salaam jioni – Bunju, Gongolamboto na Mbagala Rangi 3

    📍 – Bunju “B” Kwa wanaopita barabara ya Bagamoyo jioni, hasa eneo la Bunju ‘B’, hali ya foleni imekuwa ya kawaida kila siku. Tatizo kubwa ni: Daladala kuegesha kiholela barabarani badala ya kuingia kituoni Kusubiri abiria kwa muda mrefu (kupakia taratibu) Wafanyabiashara wadogo (machinga)...
  5. Waufukweni

    PostGE2025 Mtangazaji wa Clouds TV: Doria ya Polisi, Wanajeshi iwe endelevu

    Mtangazaji wa Clouds TV, Paul James maarufu PJ amesema, "Asubuhi wakati nakuja kwenye kipindi nilikutana na askari kwenye daraja linalotenganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Wapo askari wanafanya kazi yao vizuri. Wameniuliza kama nina kitambulisho cha NIDA. Nikaonyesha. Mmoja wapo aliponiona...
  6. DuaZaMama

    Simba Sc Vs Mbeya City|NBC Premier League| Meja Jeneral Isamuhyo Stadium| Desemba 04, 2025| Saa 19:00 Jioni

    Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC leo, Mnyama Simba atashuka dimbani kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo. Kikosi cha Simba kitaongozwa na kocha wao wa muda mrefu ndani ya klabu, Seleman Matola. Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita, klabu ilimtangaza kumfuta kazi Meneja Mkuu Dimitar...
  7. K

    PostGE2025 Wito: Rais Hutubia nchi Jioni ya Tarehe 8 Dec

    Kwa Maslahi mapana ya nchi na utulivu uliopo uendelee japo kwa mbinu, ingawa wote tunajua amani ni matokeo ya HAKI Wito wangu kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan jioni ya tarehe 8 December hutubia nchi mama tuna watoto wazee na wake zetu Mbona Jacob Zuma aliwah kufanya hivyo akawasuprise wasouth...
  8. Echolima1

    Jeshi la Israel IDF lafanya mashambulizi Kusini mwa Lebanon

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limefanya mashambulizi kadhaa katika maeneo ya kusini mwa Lebanon siku ya Alhamisi, likisema kuwa yalilenga kundi la Hezbollah kwa madai ya jaribio la kundi hilo kuanzisha upya shughuli zake katika eneo hilo. IDF ilisema mashambulizi hayo yalilenga maghala ya...
  9. G Sam

    Namna nilivyoona Polisi wakiua Oktoba 29 kuanzia usiku hadi Octoba 30 jioni

    Huu ni ushuhuda wa kweli na jinsi nilivyowaona Polisi wakiua raia hizo siku. October 29 kuanzia saa moja usiku. Polisi walikuwa wamejificha kwenye makutano ya barabara fulani juu ya ghorofa na hapo kila mpita njia aliyekuwa anapita kuanzia saa moja usiku alikuwa anakula shaba. Wengi hawakujua...
  10. Kubwjing

    Arusha: Ofisi ya CCM na Ofisi za Kata ZACHOMWA MOTO JIONI HII

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa eneo la Sanawari juu na Ngusero Vijana waliokuwa wakiandamana kuelekea Clock Tower na kuvamiwa na Polisi wamepambana na Polisi na baadae wakaenda kuchoma Ofisi mbili za kata pamoja na Ofisi ya CCM kata ya Moivo Tuombe Amani Ndugu zangu.
  11. A

    KERO TANESCO Katavi (hasa Mpanda) wanakata umeme bila taarifa, ni kawaida kukatika asubuhi kisha unarudi jioni

    TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa kukata na kuwasha ndani ya muda huohuo, hii inakera sana. Kuna wakati ratiba zao za kukata umeme...
  12. Parabolic

    CCM kuwaweka waandishi wa habari ukumbini kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku sio uungwana, waombe radhi

    Kitendo cha CCM kuwaita waandishi wa habari katika press conference iliyotarajiwa kufanyika jijini Dodoma Julai 28, kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku si cha kiungwana. Ilitarajiwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla angetoa taarifa ya watia nia ya ubunge na...
  13. S

    Azam hizi movie za jioni za Fahari na sijui Taswira za hovyo kabisa; movie ni Vacation na baba lao Kombolela

    Ina maana Azama mmekosa kabisa movie za maana zinazosisimua, zinazoburudisha na kuelimisha? Fahari haieleweki kichwa na mkia viko wapi, hakuna connection and continuity naona tu wahusika wanajazana kubadilishana huwezi elewa ht muelekeo na connectio from the past. Mtunzi wa hii kitu ni zero...
  14. Blasio Kachuchu

    Magazetini Leo Julai 25, 2025; Pingamizi Dakika za Jioni

  15. Poppy Hatonn

    Kuwaambia wabunge waende nyumbani leo jioni kutaleta political instability

    Hakuna wakati kama sasa katika historia ya nchi hii tokea tulipopata Uhuru ambapo wananchi wamekuwa katika hali ya wasiwasi mkubwa. Wananchi wameshindwa kuelewa Serikali inafanya maamuzi kwa kutumia vigezo gani na wananchi wengi wanakuwa na hofu kuhusu Usalama wao. Ukiwarudisha wabunge nyumbani...
  16. U

    Taarifa muhimu Baraza la mawaziri la usalama Israel kukutana kwenye chumba maalum chini ya ardhi underground bunker saa 10 jioni

    Wadau hamjamboni nyote, bTaarifa muhimu Baraza la mawaziri la usalama Israel kukutana kwenye chumba maalumu chini ya ardh underground bunker saa 10 jioni, taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, By Times of Israel The security cabinet is set to meet in an underground bunker tonight at 10...
  17. M

    SSH, Kiongozi anayetenda mazuri asubuhi ikifika jioni anavuruga kazi yake mwenyewe

    Mama yetu alipoingia madarakani, alipiga kazi moja nzuri mno ya kupendeza katika miezi ya awali ya utawala wake, alikuwa ni mtu wa kuzungumzia haki, kukataa dhulma, kuunganisha Taifa, kiufupi alifanikiwa kuzikong'a nyoyo za jamii kwa kiasi kikubwa mno, na kuleta matumaini makubwa. Lakini leo...
  18. Waufukweni

    CAF wakaza, Fainali ya pili kupigwa New Amaan Complex, Zanzibar Saa 10 Jioni

    Mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la shirikisho barani Afrika (CAFCC) utapigwa uwanja wa New Amaan Complex, Visiwani Zanzibar, saa kumi jioni. CAF wameshaanza kufanya branding ya uwanja wa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC.
  19. Maleven

    Kuepuka usumbufu, nakushauri usitume pesa kutoka Tigo/Yas kwenda mitandao mingine kuanzia saa 12 jioni. Be informed

    Yani tangu Tigo iwe yasi kuna mambo mengi ya kukera lakini kubwa zaidi ni changamoto ya kutuma pesa kutoka Tigo kwenda mitandao mingine has ikifika usiku. Imagine unatuma pesa, kisha wanakwambia usubiri masaa 72 ndio utapata majibu kama pesa itarudi au itafika kwa mhusika. So kujiepusha na...
  20. Hismastersvoice

    EATV saa moja jioni leo 15/05/2025: chama kipya kimesajiliwa

    Kama kichwa cha Post kinavyojieleza, mwenye kujua jina la hicho chama naomba aliweke hapa maana nimejaribu kukitafuta nimeshindwa.
Back
Top Bottom