jinsia moja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Ofisi za ubalozi nchini Japani zaunga mkono mapenzi ya jinsia moja na kuruhusu watu kufukuana vifusi

    Wanadiplomasia kutoka ofisi za ubalozi zaidi ya 12 wanaowakilisha nchi zao huko Japani wameonyesha kuunga mkono jamii ya watu wanaopendelea mapenzi ya jinsia moja ama wanaopenda kifukana nyuma wakiongozwa na USA na mabadiliko ya jinsia wanaojulikana kwa jina la ‘LGBTQ’, kabla ya mkutano wa...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nini kimempata Rais Museveni, kwanini ameomba sheria ya kubana mapenzi ya jinsia moja ifanyiwe marekebisho, Mabeberu wamemchimba mkwara?

    Afrika iliweza kushuhudia wiki chache zilizopita bunge la Uganda likipitisha muswada wa kutokomeza ushoga kimafia, Wengi tukaona Uganda awe mfano wa kuigwa na tukawapongeza sana kwamba ndio taifa la kuigwa katika suala la kulinda maadili yetu ya kiafrika. Kilichobaki ilikuwa ni kumpasia pasi...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kati ya nchi 195 duniani ni nchi 31 tu ndizo zimehalalisha ndoa za jinsia moja

    Pamoja na watu kutaka kuonesha kwa sasa kwamba ajenda kubwa ya kisiasa Tanzania ni Ushoga, lakini takwimu zinaonesha kwamba ni nchi 31 tu ulimwenguni pote ambazo ndizo zimehalalisha ndoa za jinsia moja na ni nchi moja tu ya Afrika, ambayo ni Afrika ya kusini, ndiyo Imehalalisha ndoa za jinsia...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”
  5. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Pongezi viongozi wa dini kwa kukemea ushoga, Ndoa za jinsia moja

    Nilipohudhuria ibada kuanzia Alhamisi Kuu, Ijumaa Kuu mpaka Jumapili ya Pasaka nimeona jinsi viongozi wetu wa dini walivyojipanga katika kukemea maovu haya. Siku ya Ijumaa kuu, Askofu alitumia muda mwingi kukemea tabia za ushoga na ndoa za jinsia moja (sikuelewa kwanini alitilia mkazo sana), Pia...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Wanaojitolea kwenye Kada za Afya na Ualimu wapewe kipaumbele kwenye Ajira

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 6, 2023 kwenye Mkutano wa 11, Kikao cha 3. RIPOTI YA CAG YALETWA BUNGENI Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imepelekwa Bungeni leo na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba. WANAOJITOLEA WAPEWE KIPAUMBELE KWENYE AJIRA Spika wa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Marekani yalaumiwa kuingilia mambo ya ndani kwa kupinga sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ya Uganda

    Bunge la Uganda hivi karibuni lilipitisha mswada kuhusu mapenzi ya jinsia moja, ambapo kufuatia muswada huo, watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja nchini humo watakabiliwa na kifungo au faini. Mswada huo umepingwa vikali na nchi za Magharibi zinazoongozwa na Marekani, na Marekani kwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwezi mtukufu, natabiri Rais Samia atachukua point zote tatu atakapoulizwa kuhusu ndoa za jinsia moja

    Huu ni mwezi WA toba Kwa Wakristo na Waislam; Ni mwezi ambao Tanzania inategemea kupata ugeni wa Makam wa Rais wa USA na moja ya Jambo linalosumbua katika safari yake ni hoja ya mahusiano ya jinsia moja. Hatuna shaka kwamba Mhe. Rais wetu atakutana na swali linalohusu msimamo wa Tanzania kama...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Siyo sahihi kuita "Ndoa ya jinsia moja"

    Nina kereka sana na watu wanaotumia neno "Ndoa za jinsia moja"! Kwa hakika hilo si neno sahihi kwa watu wafanyao mambo ya ufiraji ya kuyaita hivyo ni kuyapa hadhi na heshima isivyostahili. Ndoa ni jambo la heshima, ni jambo takatifu. Biblia inatamka kwamba ndoa iheshimiwe na watu wote...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ndoa za jinsia moja hata wanyama hawana

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wazazi na Walezi kuwalea Watoto na Vijana kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika Televisheni. Dr. Mpango ameyasema haya wakati akiongea na Waumini wa...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango akemea ndoa za jinsia moja

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika televisheni. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akizungumza na waumini wa...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Burundi: Watu 24 washtakiwa kwa kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja

    Watu hao wakiwemo Wanaume 17 na Wanawake 7 walikamatwa na Polisi Februari 23, 2023 wakiwa katika Semina iliyoandaliwa na MUCO Burundi, Taasisi Isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Masuala ya Utoaji Elimu ya VVU/UKIMWI Kwa mujibu wa Taarifa ya Polisi, baada ya upekuzi waliwakuta Watuhumiwa hao...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

    Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji. --- Pia soma - BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali...
  14. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Juma Lokole kwa Baba Levo

    ====== Watangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo na Juma Lokole wamezua sintofahamu baada ya kurushiana maneno yanayo hashiria kuhusika na vitendo vya kishoga na ufiraji ambavyo ni kinyume na maadili ya kitanzania! Baada ya picha za mtoto wa Kajala kusambaa kwenye mitandao ikidhaniwa kuwa...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali wanawake wa kuolewa wapo

    Mufti wa Tanzania, Abubakar Zuberi ameshangazwa na watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kutokemewa lakini badala yake wanalindwa na kutafutiwa uhalali wa ndoa akiwataka Watanzania wote kulaani na kukataa ndoa za jinsia moja nchini. Mufti alitoa hadithi ya nabii Lut ambapo jamii yake...
Back
Top Bottom