Baba wengi Sasa hivi wanafanya kazi kwa bidii sana. Wanaondoka alfajiri, wanarudi usiku. Wanahangaika, wanajitaidi, ili familia isikose chochote.
Baba hawa wanajenga nyumba, wanalipia karo, wanakidhi mahitaji yote. Kwa macho ya watu huyu ni baba aliyefanikiwa.
Lakini ndani ya kuta za nyumba...