Jinsi ya kurudosha email au username ajira portal

Jinsi ya kurudosha email au username ajira portal

Vita dhidiyaujinga

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2026
Posts
213
Reaction score
274
1. Wapigie utumishi au fika kwenye ofisi zao
2.Jaribu kureset password kwa email unayoikumbuka kwa kuiedit
3.hii ya tatu ni mwisho na wengi hamuijui lakini ukitaka nikwambie tuwasiliane personally kwasababu siyo wote mtaitumia vizuri.Naandika ivi kwasababu kuna watu wenye biashara zao huwa wanadai kuitaji msaada Ili nikiwaelekeza wapige hela za watu without cost
4.Hii itaunlock mbinu zingine na Nitakuwa tayari kusaidia wenye shida siyo wawakilishi.
Nitext Whatsapp au normal kwa 0623446608
 
Back
Top Bottom