jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kama FB,Instagram na Whatsup ili kuwafikia watu wengi zaidi kibiashara

    Naamini miongoni mwenu kuna wanaotumia mitandao ya kijamii kibiashara nami nahitaji kuwa miongoni mwao.Nahitaji kuwafikia watu zaidi kupitia mitandao hii kwa ajili kuwafanya wawe aware na uwepo wangu kwenye biashara fulani.Nimeilenga mitandao 3.Insta,FB na Whatsup.Pia kama kuna yeyote mwenye...
  2. Sisa Og

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Ninavyofaidi Dunia Yenu

    Natumaini hamjambo! Poleni na misiba ya wapendwa wetu - Kariakoo. Baada ya kukutana na maigizo mengi sana kutoka kwa watu (ndugu, mpenzi, marafiki na jamaa) niliyumba sana. Nilihisi dunia imenigeuka. Kwakweli usaliti ni mwingi sana sana. Nilianza kutokula na kulala sana. Kuna kipindi...
  3. excel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifundisheni jinsi ya kurudisha sms zilizofutwa kwenye simu (smartphone)

    Habari wana Tech wa JF? Naomba mnisaidie namna ya kufanya sms recovery kwenye smartphone yangu Natumia samsung galaxy A05, Kuna wakati nakuta sms muhimu sana zimefutwa hata kwenye recycle bin hazipo Nawezaje kuzirudisha? Au ni download APP gani ambayo itakaa humo na kunitunzia hizo sms...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuokoa watu toka kwenye underground ya ghorofa lililoanguka ndani ya masaa mawili

    Siku nyingine jengo likianguka na watu kunaswa kwenye underground, njia rahisi ya kuwatoa kwa haraka ni kuchimba shimo pembeni ya jengo (barabarani), kisha lilishafika kina cha usawa wa underground, inachimbwa tunnel itakayowekwa precast culvert za zege kuelekea kwenye jengo, kisha pipe za...
  5. Oscar Wissa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Maarifa ya Chochote Unachotaka Kujua

    Katika ulimwengu wa sasa unaokua kwa kasi sana kiteknolojia na kijamii, maarifa ni hazina muhimu inayoweza kukusaidia kufikia malengo yako na kuboresha maisha yako. Lakini swali ni: Unawezaje kupata maarifa kwa ufanisi kuhusu jambo lolote unalotaka kujua? Hapa chini, tutaangalia njia mbalimbali...
  6. monta

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kufa leo asubuhi

    Wakuu habari zenu. Leo ilikua siku yangu ya mwisho hapa duniani ni vile tu Mungu hakupanga.Ipo hivi 👎 Jana katika pitapita zangu humu j.f nikakutana na uzi ukisema juisi ya vitunguu swaumu na pilipili kichaa huongeza nguvu hasa ya tendo la ndoa. Kwakua mimi ni mtu wa kujaribu jaribu vitu...
  7. Man Middo tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania STORI FUPI: Jinsi ya kutafuta furaha yako

    STORI FUPI: JINSI YA KUTAFUTA FURAHA YAKO. Alitokea mwanamke mmoja aliyevalia nguo za gharama sana, kwa kumtazama tu ilitosha kutambua kuwa ni dada wa kitajiri. Basi alienda kwa mwanasaikolojia akamwambia kuwa “Sina furaha na maisha yangu nipo na huzuni, yani kiufupi maisha yangu hayana maana...
  8. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ninavyotengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia ujuzi wa graphics design, na wewe unaweza kujaribu

    Unatafuta njia ya kubadilisha ujuzi wako kuwa pesa? kupitia Ujuzi wa graphics design unaweza kupata kipato online. Kama umewahi kufikiria jinsi ya kufanya kazi unayoipenda, ukiwa na uhuru wa kuifanyia mahali popote, basi makala hii ni kwa ajili yako. Katika ulimwengu wa leo, ujuzi wa...
  9. Cris jactan

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa Mungu jinsi unavyotafsirirwa

    Ufalme wa Mungu ni tofauti kabisa na mifumo ya Dini na madhehebu. Dini na madhehebu ni Matakwa ya kibinadamu ya kumtafuta Mungu, na mfumo huu kamwe hautakuja kufanikiwa milele wala haujawahi kufanikiwa Tangu mwanzo. Ufalme wa Mungu ni mfumo wa Maisha mbali na Maisha ya kidini na Dhehebu. Ni...
  10. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga vs Tabora imenifanya nitambue jinsi watawala wanavyotumia michezo na burudani kupumbaza jamii

    Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Msaada; Jinsi ya ku 'disign' baiskeli ya kubebea biashara

    Wakuu, nimejiajiri kwenye biashara ndogo ndogo Mwenye picha au wazo, jinsi ya kutengeneza hiyo baiskeli yenye uwezo wa kubeba bidhaa kama; Miwa, fenesi, madafu na matunda mengine Naombeni picha au wazo nmpe fundi Natanguliza shukurani
  12. Rorscharch

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Yanga ICU: Tafakari Jinsi Burudani Inavyotufumba Macho kwa Changamoto Halisi za Maisha"

    Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
  13. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Wale mnaotafuta jinsi ya kujiunga na mpango wa Lottar Green Card Njoo hapa Bureee!

    Nimesikia Radio Moja hapa nchini ikitangaza mpango wa kujiunga na Green Card kuwa single ni 20,000, na familia 30000/- Huu ni wizi kama wizi mmwingine! Ilitakiwa watoe elimu jinsi ya kujiandikisha na sikuwatoa pesa! Wanakusanya pesa nyingi unaweza kukuta hata katika walioomba asipata hata mtu...
  14. EXODUS ZION

    JamiiForums Tanzania Nichukue wasaa huu kuwapongeza Mwanza city council jinsi wanavyofanya kazi

    Ndugu wadau habari za muda huu. Ukifika mwanza sekour tour wenyewe wanakuita seketule 😂 utakutana na Halmashauri ya jiji la mwanza wale jamaa kwa kweli wako vizuri sana. Wanafanya kazi ipasavyo sio kazi tu wanamshikamano, wananguvu, wachapakazi ani kila kitengo pale wako vizuri sana hasa...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njoo na ideas jinsi ya ku sort out changamoto zinazozikumba jamii kwa kutengeneza app na system

    Mko poa kwenye jamii kuna changamoto nyingi sana zinabidi ziwe sort out kwa njia ya tech maana now tech inakua saana. Sasa hapa kuna watu wa aina 2 mwenye uwezo wa kutengeneza mifumo ila hana ideas na .Kuna mwenye Idea ila hajui kutengeneza sasa lengo la huu ni kuwakutanisha hawa wote...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ujue uchaguzi wa Marekani (USA) na jinsi rais wake anavyochaguliwa

    Uchaguzi wa rais wa nchini Marekani ni tofauti sana na chaguzi za nchi nyingine duniani Kura wanazopiga wananchi hata mgombea wa urais akishindi kwa wingi wa kura hizo hazimuingizi moja kwa moja mshindi huyo madarakani Kwa kawaida nchini Marekani (USA) uchaguzi wa kumchagua rais wa nchi hiyo...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wasivyojua thamani ya muda

    JINSI VIJANA WASIVYOJUA THAMANI YA MUDA LIFE BEGINS AT 40.... HOW OLD ARE YOU? Life Begins at 40.... Huo ni msemo wanao Waingereza wakimaanisha maisha yako ijapokuwa yanaanza toka milele iliyopita na toka umeumbwa au toka umefika duniani na toka umeanza kukua nk nk lakini bana maisha #halisi...
  18. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Siku hizi maadili mfanyie mama yako tu maana hata wenye kujiheshimu wanategemea promo za watu wenye maadili mabovu. Inasikitisha sana ila hakuna jinsi

    Nilipochoka zaidi ni pale yule binti aliepata skendo ya kujiingiizia chupa kuanza kupata marketing deals kwenye vikampuni fulani hivi🤣 Anyway maisha yaendelee.
  19. Kumfumaster97

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi Ya kushare MB Mtandao wa vodacom

    Wakuu habari ,kama kichwa cha habari kinavyosomeka naombeni msaada wa jinsi ya kushare data mtandao wa voda
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Huu mfuko mdogo kwenye suruali nyingi za jeans huwa ni wa kazi gani haswa?

Back
Top Bottom