Habari za mda huu wakuu? I hope mko poaa... Sasa wakuu nlikua nme-lock folders kadhaa kwenye PC hapa, na folder hizi sijazifungua kwa mda mrefu kweli, almost two years. Leo nataka nizifungue, password zote nnazokumbuka uwa nilitumia hazitaki, na nikikataka ku-uninstall bado mzigo unadai password...