Jinsi ya ku unlock abilities zilizopo ndani yako

plan z

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
1,381
1,414
Hiki ni kisa ambacho kitakufanya uweze ku unlock abilities(uwezo) ambao upo ndani yako.

Hapa tunaona mfano wa simba mdogo ambaye amekua tangu akiwa mdogo pamoja na kundi la kondoo, hali iliyomfanya adhani yeye ni kondoo na kuishi pamoja na kula majani kama kondoo.

Hali hii iliendelea hadi wakati ambapo simba mkubwa alikuja kuvamia kondoo wale na kushangazwa kumwona simba mdogo kati yao, jambo ambalo lilimpelekea simba mkubwa aache kukimbiza kondoo na aliamua kumkimbiza simba mdogo ili aweze kugundua nini kimempata.


 
Back
Top Bottom