jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Jinsi ya Kujua Kama Mtu Anakufikiria Bila Yeye Kukuambia ( baada ya kuifanyia utafiti mwenyewe kwa miaka 12 )

    Kuna kitu niligundua kwa muda, na sikijui kama ni coincidence au kuna kitu kingine kinaendelea. Sio sayansi, au sheria maalum… ni kitu kinatokea tu ukianza kuangalia vizuri. mara ya kwanza nilihisi akiki yangu ina connect kwenye internet wirelessly maana nikihisi tu simu itaita, ghafla inaanza...
  2. A

    Jinsi Ya kuwafanya Wateja Wanunue Bidhaa/Huduma Zako Pasipo Kujitambua Wamenunuaje....

    .Uliwahi kwenda maeneo ya Soko kama karikoo au mnadani kufanya Manunuzi ya Bidhaa tofauti Tofauti LAKINI .Wakati unafanya matembezi maeneo tofauti tofauti ya soko kusafishia macho ukiwa huna Hili wala lile .Gafla unakutana na Mfanyabiashara au machinga ana anza kukushawishi .Ununue Bidhaa...
  3. Kumfumaster97

    Samsung A05s Yangu ina cuttoff internet wakati nimepigiwa simu msaada jinsi ya kufix

    Assalam Alleykum ndugu zangu natumai mko poa poleni kwa mfungo ,tuendelee kumwomba Mungu katika kipindi hiki Nashindwa kutumia internet pindi nikipigiwa simu ,msaada jinsi ya kufix hii shida wakuu
  4. youngkato

    Jinsi ya Kutengeneza Barua Pepe (Email) Nyingi Bila Kikomo Kutoka Akaunti Moja ya Gmail

    Je, ulijua kwamba ukiwa na akaunti moja ya Gmail, kwa kweli una uwezo wa kuwa na anuani za barua pepe zisizo na kikomo? Mbinu hii inaweza kuwa na matumizi mengi muhimu sana. Unaweza kufanya hivyo kupitia mbinu inayoitwa “plus addressing.” Plus Addressing ni nini? Plus addressing ni njia...
  5. youngkato

    MWONGOZO JINSI YA KUTUMIA NA KUPATA CANVA (Ufafanuzi rahisi kabisa kwa kila mtu hata kama hujawahi kufanya design)

    Kuna watu wengi sana wanapenda kufanya biashara, kuandika mitandaoni, kufundisha, au kutangaza huduma zao… lakini wanakwama sehemu moja: “Sijui design.” Zamani ilibidi ujifunze Photoshop kwa miezi mingi au umlipie designer pesa nyingi ili tu upate poster moja. Lakini leo hali imebadilika...
  6. Ma mbwa

    JINSI YA KUKATA KIUNO KITANDANI

    sifa kubwa ya mwanamke ni nyonga ndo maana mungu amewapendelea na kuwapa nyonga nzuri na zenye mvuto..na nyonga nzur na zenye mvuto shart zijuwe kukatwa bibi. Kabla sijaendelea naomba niweke wazi kabisa kuwa mimi ma mbwa ni mwanamme na mada niliyotoa siku za nyuma watu walihisi ni jinsia ya ke😀😀...
  7. Mr Beach Boy

    Nina tatizo la ‘short temper’. Nisaidieni jinsi ya kuepukana nalo

    Mimi ni mtu wa kukasirika hasira Kali kwa haraka sana tena mpaka mwili unaweza kutetemeka kwa hasira ya jambo dogo Jambo ambalo linapelekea kususa au kugombana na baadhi ya watu Naombeni njia na mbinu za kuachana na tatizo hili. Ahsante snaa
  8. Mhaya

    Jinsi ya kumshika mwanaume kwenye mahusiano

    Mwanaume ni kiumbe ambaye ni raising kumteka kimapenzi. Na ndio maana matukio ya Wanaume kupotea na kukutwa kafungiwa ndani kwa mwanamke fulani ni mengi, ilibidi hata Mbosso aandike nyimbo ya "Amepotea" kuonesha ni namna gani mwanaume ni rahisi kuuiba mutima wake. Ni tofauti na kuuteka moyo wa...
  9. Pdidy

    Jinsi ya kutuliza pesa ikaae kwako

    ITULIZE PESA KWAKO! IFANYE PESA IKAE KWAKO! Kama pesa kwako unaipata kwa tabu sana, kama pesa inaingia na kutoka bila kukaa, kama pesa haikai kabisa… Kama unawaazima waatu pesa hawarudishi Unafanya biashara, unafanya kazi kwa bidii, lakini pesa haionekani! Unashika pesa nyingi, lakini siku...
  10. L

    Jinsi Ya Kufanya Malipo BRELA

    Habari mjasiriamali, Nimepata casesara 3 watu wanalipia applications zao Brela halafu wakirudi kwenye system inaonekana application haijalipiwa. Leo nimekuandalia njia nne za kufanya malipo Brela kwa usahihi 1. Lipia kwa simu Mtandao wowote unaotumia chagua malipo ya serikali na uingize...
  11. M

    Jinsi ya kuondoa ngazi ya elimu ajira portal

    Msaada kwa anayejua namna ya kufuta ngazi ya elimu kwenye mfumo wa ajira portal. Nataka kufuta ngazi ya elimu ya Master na kuacha bachelor degree tuu, naomba kwa mwenye kujua nini cha fufanya au hatua zipi za kufuata plzz.
  12. Drax001

    Jinsi ya kuona messages zilizofutwa WhatsApp 'view once' utaziona

    Kuna hii inaitwa Whatsapp bot ukiiset kwenye Whatsapp yako unaweza kupata features zifuatazo na hizi ni baadhi TU ila zipo 500+ Zaidi siwezi zielezea zote . Naelezea baadhi tu 1. Kuweza kuona messages zilizofutwa na mtu yoyote iwe kwenye groups Au messages ya kawaida. 2. Kuset always online...
  13. Bongo Tech Giant

    Mwongozo wa jinsi ya Kufanya ili Uweze kulipwa na Facebook kila Unapo Post Content Zako

    Watu wengi bado wanatumia Facebook kama sehemu ya kupitisha muda tu, bila kujua kuwa kila siku mamilioni ya dola yanagawanywa kwa creators wanaopost maudhui yanayovutia. Ukweli ni kwamba Facebook siyo tu mtandao wa kijamii ni soko la fursa. Kila unapopost kwenye Facebook, huna post tu kwa ajili...
  14. L

    Jinsi ya Kuepuka Fines za Kodi na Brela

    Wafanya biashara wengi hupigwa fines wasizozitegemea na wanajikuta na mrundikano wa madeni makubwa yanayo waelemea kila uchwao. SAbabu kuu zinazofanya wafanya biashara wanapigwa fines ni kutokuzijua compliances wanazotakiwa kuzifanya kila mwezi na kila mwaka. Nimekuandalia E-book inayoitwa...
  15. ELIA MWAPINGA

    Jinsi ya Kuanza Kutengeneza Pesa Mtandaoni Bila Mtaji (Kwa Wanaoanza Kabisa)

    ❌ Tatizo la Watu Wengi: Watu wengi wanataka kutengeneza pesa mtandaoni lakini wanaamini bila mtaji haiwezekani. Ukweli ni kwamba… mtaji mkubwa si pesa, ni maarifa + muda +uvumilivu . Njia 3 za kutengeneza pesa mtandaoni ambazo unaweza kuanza Bila Mtaji 1️⃣ Kuuza Ujuzi (Hata Kama Unaona Ni...
  16. Frontnn

    MSAADA JINSI YA KUVUNJA MKATABA WA KAZI KISHERIA NA KWA AMANI

    Ndugu Wanachama na Wataalamu wa Sheria wa Jamii Forum Napenda kuwasalimu kwa heshima. Ninaandika barua hii kwa heshima kubwa kuomba ushauri na ufafanuzi wa kisheria kuhusu taratibu halali za kuvunja au kukomesha mkataba wa ajira katika sekta binafsi nchini Tanzania Naomba msaada wenu wa...
  17. technically

    Jinsi ya kujilinda na watekaji

    Hakikisha nyumbani ukosi kichupa chenye asidi Hakikisha nyumbani ukosi mafuta ya petrol Tengeneza kabati maarumu Kama zile za kutunza mithihani shule weka vifaa vyako pale. Hakikisha nyumba yako ina mlango wa chuma kwa nje na wa mbao kwa ndani. Wajinga wakija wawai na asidi wakati wanafungua...
  18. Mwachiluwi

    Jinsi ya kupika vitumbua

    Hello Kwanza andaa mchele wako uchambue usiwe na mawe wala chuya kisha uoshee vizuri kisha loweka mchele mimi nili uloweka kuanzia asubuhi up jion so inategemeana na wewe unataka kuvipika saa ngapi kama ni asubuhi nashauri loweka usiku Baada ya hapo nika brendi kwenye brend nikiwa...
  19. DR HAYA LAND

    Jinsi ya kuacha tabia chafu usizozipenda

    JINSI YA KUACHA TABIA CHAFU USIZOZIPENDA. {PSYCHOLOGY YA KINA} Kuna wakati mtu hujikuta amechoka na tabia fulani: imekuwa ikimrudisha nyuma, kumshusha heshima, kumdhalilisha kimoyomoyo—lakini bado haiachi. Ataapa kuacha kesho, akishindwa kesho kutwa; aweke mipango, aweke viapo, lakini mwishowe...
  20. L

    Lipia Annual maintenance Fee ili jina la biashara yako lisifungwe BRELA

    Hellow mjasiriamali Kama ujisajili jina la biashara brela Kuna kitu kinaitwa annual maintenance Fee, ngoja nikwambie hapa. Brela wanakuhitaji wewe ulipie annual maintenance fee ya jina la biashara Yako kuli-keep active. Hii fee inalipwa mara Moja kwa mwaka na ni Tsh. 5000 Ngoja nikuoneshe...
Back
Top Bottom