jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Namba ya Kufanya namba yako ikipiga iwe Ina Display jina la Biashara kwenye SIM

    Habari wakuu, Kuna kitu kimoja ningependa kuwauliza wataalam wa JF , Hivi ni huduma Gani ambayo inawezesha ku display jina la biashara Kila unapopiga namba ya sim yako , Kuna watu kadhaa nimeona wakinipigia jina linakuna la biashara linakuja automatically kwenye phone app , sasa nauliza ni...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Askofu Josephat Mathias Gwajima (Jasusi la Mbinguni)

    Jina: Josephat Mathias Gwajima Tarehe ya Kuzaliwa: 19 Desemba 1970 Mahali alipozaliwa: Kabale (Koromije), Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza Uraia: Mtanzania Hali ya Ndoa: Ameoa Grace Gwajima Watoto: Watatu Lugha: Kiswahili, Kiingereza Elimu 1979–1985 – Kabale Primary School, Mwanza – Elimu...
  3. JamiiForums Tanzania Wakati wa Ujenzi wake lilipewa jina lake, Leo Uzinduzi wake lisipopewa jina lake ujue ni hatua zakumdogosha

    Leo tarehe 19/6/2025 inafanyika uzinduzi mkubwa Wa Kihistoria,Hapo awali ilionekana kama jambo haliwezekani lakini kwa juhudi zake lilianza na hatimae leo linazinduliwa, wakati wa mchakato wa ujenzi wake lilijulikana kwa jina lake, lakini Wiki chache kabla ya uzinduzi wake Tumesikia halitajwi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia ondoa jina, Sauti za wengi ni ufunuo tosha.

    Busara ya kawaida kabisa inakuelekeza upumzike sasa...uachie kijiti mtu mwingine nae aendeleze pale ulipotufikisha..huko ndiko kustaarabika. Kwann usubiri kuondolewa kwa kuaibika kama wazee wenzio akina kasongo? Kwanini usimuige Leodigar Tenga aliyeondoka hapo Tff kwa heshima. Au kwasab unajua...
  5. JamiiForums Tanzania Kupakua Video Youtube ni Kinyume cha Sheria. Askari aliyefanya hivyo ashtakiwe kwa jina lake

    Youtube wanaruhusu kusave video kwa watumiaji wanaotumia simu na unasave na kutazama kwenye kifaa hichohicho ulichotumia kuhifadhi. Wanafanya hivyo ili kulinda haki za waandaa maudhui. Pia Youtube inamtambua mtu yeyote atakayetumia njia nyingine kupakua video za mtandao huo kuwa ni JANGILI na ni...
  6. JamiiForums Tanzania Mbona Peter Kibatala anahangaika kujua jina la mbwa badala ya mbwa mwenyewe aliyewàuma watu?

    Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Je, ubatizo kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu ni sahihi?

    Nilichotaka kuandika kimeelezwa kwa urefu kwenye video hapo chini. Karibuni tujadili. Kuna app ya kutafsiri video kwa lugha nyingine nikiipata nitaiweka humu kuwasaidia wale ambao Kiingereza si rafiki. Video: https://youtu.be/JAydJoa2fLg?si=WpVmO1qU-TAjXEXp
  8. JamiiForums Tanzania Yeyote anayekupangia mabaya hayatakushika kwa Jina la Baba

    Yeyote anayekupangia mabaya hayatakushika kwa Jina la Baba
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kama bodi ya ligi wanaficha jina la kiingozi aliyepiga simu kuzuia Simba wasifunguliwe geti,basi hawafai kuwepo kazini

    Kama kuna ujinga wa kiwango cha juu,ni pale unapolazimika kubeba madhambi ya mtu mmoja ambaye ametumia nafasi yake kufanya uhuni kwenye soka ambalo watu wamewekeza mabilioni ya kutosha. Unaacha kumtaja ili ulinde hadhi yako wakati yeye yupo na anaendelea kuwasapoti wanaosema hatuchezi!Huu ni...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nisajili Nini Kati ya Kampuni na Jina la Biashara?

    Hili ni swali nililoulizwa na dada anaitwa "Lahey" juzi majira ya Saa 10:45 hivi jioni. Actually hii ni mara ya 17 naulizwa hili swali ndani ya miezi miwili. Na jibu langu hua ni moja tuu kila ninapoulizwa hili swali. "Sajili Kampuni" Hua Nina sababu kadha wa kadha ambazo hua Zinafanya nitoe...
  11. JamiiForums Tanzania Neno au jina "tapeli" lilitokea wapi?

    Bila shaka wengi wetu tunalifahamu na kulitumia neno/jina hili.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lilichomoza tu na kupokelewa na jamii, na halikuwa neno/jina rasmi kabla kama ilivyo kwa baadhi ya maneno mengine.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lililetwa na Vijana Jazz/Hemed Maneti kupitia wimbo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Wenye Kuangalia Hii Tamthilia Naomba Kujua Jina la Huyu Mama Please

    Salaam/Shalom...! https://youtu.be/aURJp25qtdg?si=0--FAtawwgNmjrnd
  13. JamiiForums Tanzania Jina Msangawale ni kabila gani

    Wakuu kwema? Naomba kujua jina msangawale ni kabila gani na nini maana yake. With much thanks in advance
  14. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Kuabudu na Haki ya Askofu Gwajima Kufundisha Amri za Mungu: Usiue mtu asiye na hatia, Usiue jina zuri la mtu baki, na Usiibe mtu kwa Kumteka

    https://youtu.be/NhpB9Zh2_6Y I. Usuli Uamuzi wa serikali wa kukurupuka kufunga kanisa la ufufuo na uzima na matawi yake 2,000 nchini Tanzania, tena bila kutoa nafasi ya kujitetea kwa viongozi wake, ni ushahidi kwamba huenda viongozi wetu hawaelewi kwamba uhuru wa kuutafuta ukweli wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Barua kutotambua uteuzi wa viongozi wa CHADEMA kwa jina la "msajili wa vyama vya siasa" ndiye aliyeandika ya kufuta kanisa la Gwajima.!

    Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa; Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini shule ya kata Yombo Vituka imebadilishwa jina na kuitwa shule ya kata Kurasini huku bado ipo eneo lile lile la Yombo Vituka ?

    Habari wadau. Kuna jambo limenishangaza sana. Katika mtaa wa lumo, kata ya yombo vituka, wilaya ya temeke kuna shule ya sekondari iliyojengwa awamu ya 4 rais akiwa Kikwete katika mradi wa shule za kata. Shule hiyo ya sekondari ilipewa jina la Lumo secondary. Then ikabadilishwa jina na kuitwa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Bunge linatoa Tuzo kwa Rais kupitia jina la CCM? Hili ni jambo la hatari kwa Katiba yetu

    “Simba hana haja ya kujitangaza. Ukisikia mwituni kimya kingi, ujue ama amecheua au yuko katika mawindo.” Methali hii ya Kiswahili imenikumbusha taarifa ya tarehe 1 Juni 2025 iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikitoa pongezi kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupokea Tuzo Maalum...
  18. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kufanya transfer (kubadili jina la chombo cha moto) pikipiki?

    Mambo vipi Wakuu, Hivi karibuni nilianza kulipia kidogo kidogo kwaajili ya Kununua Pikipiki, kwa hawa watu hapa wapo Mbagala Zakiemu, Mimi nipo mkoa x Nimefanikiwa kulipia kidogo kidogo mpaka kumaliza, ila baada ya kumaliza wanasema kuna process mbili, Moja ni Kuhakiki Miamala (Yaani kuomba bank...
  19. JamiiForums Tanzania BABY NAMES NA MAANA YAKE: Tafuta jina la mwanao au share jina lolote zuri

    BIBLICAL: Aaron - Exalted, strong; brother of Moses in the Bible. Bethany - House of figs; village where Jesus raised Lazarus. Caleb - Faithful, bold; a spy sent by Moses to Canaan. Chloe - Blooming, fertility; mentioned in the New Testament. Ruth - Companion, friend; a loyal woman in the...
  20. JamiiForums Tanzania Makombe yote yanaenda kwa waarabu kama maombi yetu sifa apewe Mungu

    Mungu fundi Mungu fundi Mungu hajawahi shindwa Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe Niliomtakia heri mayele afanye yake mashallah Sasa leo kama maombi na kichwa cha habari hapo juu Nakama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…