jimbo

Jimbo is a diminutive form of the given name James. It is also a Japanese surname, and it means state in Swahili. It may refer to:

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kinondoni yasema Askofu Gwajima ameliachia jimbo la Kawe, ataletwa mwakilishi mzuri

    Tunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima...
  2. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kinondoni, Tarimba aliwahonga hadi mkampa uwakilishi?

    Wabunge wenye tabia hizi ni wengi, wale wasio na haya kama Tarimba ndio wanatuona hatunazo kabisa, wananchi wa kinondoni mbona tuna wasomi waelewanna wapenda maendeleo wengi tuu. Yaani washaona nchi hii watusimamishe barabarani wapite wao. Tunajua moja ya viongozi nchi walio na uhuru uliovuka...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Jimbo la Mpendae Wanufaika na Msaada wa Sikukuu

    Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Shaaban Ali Othman kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Taufiq Turky pamoja na Madiwani wametoa sadaka ya sikukuu kwa wazee, watu wenye ulemavu na wanaoishi katika mazingira magumu ikiwa na lengo la kuwasaidia kipindi hiki cha sikukuu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Salaam kutoka Jimbo la Indiana Marekani kuhusu kufungiwa makanisa

    Nadhani huyu ni mtanzania kwa lafdhi yake. Msikilize.
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano mkubwa wa CHAUMMA Kijiji cha Kamgise, Jimbo la Serengeti

    https://www.youtube.com/live/bPHc0mwP6Rk?si=2CnOWwUZW5KwaumZ
  6. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kuwapigia kura wabunge ikiwa kila kitu katika Jimbo husika kafanya Mama?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Wimbo huimbwao na Wabunge UBETI 🎼 🎶Mama hatukudai Mama huna deni Mama Mitano tena Shule ya Mama Vyoo vya Mama Maji ya mama Bodaboda wa Mama Ndizi za mama Matunda ya Mama Papuchi za Mama Mijurubenge ya mama Barabara za Mama Mimba za mama Mbususu za...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ninalitaka Jimbo la ileje na ninaenda kumuondoa kasekenya kupitia CHAUMMA na sera yetu Bora kabisa ya ubwabwa!

    Ileje ndiko nilikozaliwa na ndio Jimbo pekee la uchaguzi Tanzania ambalo asilimia 70 ya watanzania hawalijui kabisa ,nimejaribu kukaa na watu tofauti tofauti ukizungumzia wilaya ya ileje wengi hawajui kama lipo Tanzania. Ileje haijwahi kuwa chini upinzani na upinzani haujawahi kuwa na nguvu...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Chato kusini hatarini kudondoa mikononi mwa muhitimu wa darasa la 4 B

    CCM tumewachoka Mmetengeneza jimbo jipyala Chato kusini kwa lengo la ajabu sana. Iko hivi,kuna mgombea mmoja tajiri wa madini ya dhaabu Pascal Lutandura ambaye aliishia darasa la 4 B lakini ana pesa za kutosha ameandaliwa jimbo hilo. Bwana Lutandula ni mjumbe wa NEC taifa,ana network na pesa...
  9. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ?

    Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ? Je, wakwapi wale wanaosema wanalinda amani ya nchi, je huyu mbunge haaribu amani na usalama wa nchi kwa hayo aliyoyasema au kulinda amani kunafanya kazi kwa wale...
  11. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mwijaku amjibu Gwajima, atangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe

    Kada wa CCM Mwijaku Burton ametangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe baada ya kile alichosema kuwa ni Gwajima kugeuka kuwa mwanaharakati baadala ya kutekeleza ilani ya CCM. Mwijaku ameyasema hayo kupitia mtandao wa X...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi bonde la Uyole waanza kumchangia fedha ya fomu Spika Tulia ili agombee ubunge jimbo la Uyole

    Wakuu kumbe jambo lipo lipo serious, Jumatano Waziri Bashe akiwasilisha hotuba ya bajeti wizara ya kilimo alimuomba alimuomba Spika Tulia kugombea jimbo la Uyole na siyo Mbeya mjini hatimaye baadhi wananchi kutoka Uyole wameanza kumchangia fomu Cc Stuxnet ===== Wakati vuguvugu la kisiasa...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pascal Mayala: Waliohamia CHAUMMA, hakuna aliyewahi kuwa na jimbo, pia pasipokuwa na mabadiliko kuelekea uchaguzi CHADEMA kwisha habari yao

    Akifanya mahojiano na Bongo FM Pascal Mayalla nimekusikia ukisema waliohamia CHAUMMA, hakuna aliyewahi kuwa na jimbo, bila malegend waliowahi kuwa wabunge chama hicho hakitoboi. Pia nimekusikia ukisema pasipokuwa na mabadiliko kuelekea uchaguzi CHADEMA kwisha habari yao, kwamba itakuwa ndiyo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri: Naibu Waziri Kundo Mathew anadaiwa kupata elimu na kazi kwa jina FEKI. Jina lake ni Andrew Nsumbu

    Mbunge wa Bariadi na Naibu Waziri wa Maji, Kundo Mathew anadaiwa kutumia jina FEKI kupata elimu na kazi. Inadaiwa Kundo alibadilisha jina baada ya kufeli na kurudia darasa la saba. Jina halisi la Waziri huyo ni Andrew Nsumbu, na alibadilisha jina hilo baada ya kwenda kurudia darasa saba huko...
  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wananchi wamchangia pesa Basila Mwanukuzi kugombea Jimbo la Kawe

    Wananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila Mwanukuzi ili kumuwezesha kunyakua Jimbo la Kawe kwenye uchaguzi Mkuu ujao
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baba Levo ajitosa Ubunge Kigoma, anajiweza kweli kuchuana na Zitto Kabwe?

    Aloooo, kweli uchawa unaenda kuharibu nchi, na kimasihara anaweza 'kumshinda' Zitto🤣🤣 kama jinsi wagombea 'walivyoshinda' viti 2020! Wana Kigoma tutawashangaa sana kura zikienda kwa chawa, itabudi tuingie kwenye rekodi ya Guiness ya kuwa wapumbavu wa Dunia! === Msanii na Mtangazaji maarufu...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mavunde kuwania ubunge jimbo jipya la Mtumba, atoa sababu tatu za kuiacha Dodoma mjini

    Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM), Anthony Mavunde ametangaza katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 atagombea tena ubunge katika Jimbo jipya la Mtumba, akianisha sababu tatu za kuiacha Dodoma Mjini. Uamuzi huo ameutangaza huku akilia kuwa hakuna namna na hawezi kujigawa katika maeneo mawili akabaki...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli ametengenezewa jimbo la Katoro?

    Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega. Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri kuwa Tulia amemkimbia Sugu hadi kulazimisha kuundiwa jimbo

    Marehemu Samuel Sitta alilwahi kuita siasa za Tanzania za maji taka. Ni kweli. Ukiangalia majimbo mapya yaliyoanzishwa hivi karibuni, unagundua hili. Mfano, ' Tulia Akson rasmi, amemkimbia Joseph Mbilinyi aka Sugu. Ni aibu sina mfano. Hawa, hata ukiwapambanisha kwa usupu, Sugu ni msupu kuliko...
  20. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Diwani wa kata ya Msasani Luca Neghesti kugombea ubunge Jimbo la Kigamboni.

    Luca Neghesti diwani wa kata ya Msasani amejipanga kulibeba mazima Jimbo la uchaguzi la Kigamboni ambalo kwa sasa liko wazi baada aliyekuwa mbunge wa Jimbo Hilo ndugu Faustine Ndungulile kufariki dunia.
Back
Top Bottom