Luca Neghesti diwani wa kata ya Msasani amejipanga kulibeba mazima Jimbo la uchaguzi la Kigamboni ambalo kwa sasa liko wazi baada aliyekuwa mbunge wa Jimbo Hilo ndugu Faustine Ndungulile kufariki dunia.
Sabato Njema!
Waafrika wengi ni rahisi kuwaonea na kuwadhulumu kwa sababu hawana umoja. Hawapendani. Uoga mara nyingi husababishwa na kutokuwa na upendo wa dhati.
Kama Watanzania wangekuwa wanapendana Kwa dhati yote. Kusingekuwa na msamiati watu wasiojulikana.
Watu wasiojulikana ni matokeo ya...
JIMBO LA NAMTUMBO: BILIONI 3.3 ZATUMIKA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA RUVUMA
Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, unaendelea kutekelezwa kwa awamu ambapo hadi sasa, kiasi cha Shilingi Bilioni 3.3 kimetumika katika ujenzi pamoja na kukamilisha jengo la huduma za mionzi pamoja...
Yaliyotokea wiki hii...Mdude alivamiwa na polisi akiwa amelala na mkewe, akapigwa sana bila kosa na kuchukuliwa kupelekwa kusikojulikana. Kwa maelezo ya mkewe, Waliomchukua ni polisi na kutokomea naye, walimpiga kichwani na kitu kizito na akapoteza damu nyingi. Uwezekano wa kupona ni mdogo sana...
Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge.
Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa...
Sina mengi ya kusema ila sisi wakataa ndoa na kuoa wanaume ambao Age yetu ni level ya Mubabazi basi huku mtaani patashika ukiwa mtu wa gusa achia tumepachikwa Cheo Cha Ubahili.
Wewe huyo bahili ndiomana anatabia ya kumalizana yaani Gusa Achia, hataki kugandana huyo yeye anakupa chako usepe...
Mrisho Gambo ni mwanasiasa ambaye anaishi kwa fitna na majungu. Ili adumu katika siasa lazima amuumize mtu na kumfanya aonekane mbaya.
Sasa ameyakanyaga. Baada ya jaribio lake la kumchafua Makonda kuonekana kukwama, jana ameonekana kuihusisha ofisi ya Rais Tamisemi, kule anakosimamia Mwenyekiti...
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.
Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.
Mungu ambariki katika yake mapya...
Naweza kusema katika inshu za uchaguzi mkuu, watu wakali zaidi na ambao sio wa kuchezewa ni wabunge ambao kimsingi wao hudhani Fikrani kuwa majimbo wanayoongoza ni Mali Binafsi kitu ambacho si cha kweli na mtu yeyote ambaye ataonekana kutaka jimbo hilo basi lolote limkute.
Pia katika Uwizi...
Habari wanajukwaa na heri ya sikukuu ya matawi.
Ndugu wanabodi kama mtakumbuka mwaka 2023 ilitokea ajali ya pawatila na pikipiki iliyopelekea kifo Cha mbunge wa Jimbo letu ndg. Mtega. Tukio Hilo lilivuta hisia na kuleta majozi makuu katika Jimbo la mbarali na kuacha mijadala katika maeneo...
Kama mwaka jana wagombea wa Chadema na ACT waliondolewa uchaguzi wa serikali za mtaa unadhani wasimamizi wale wale wataweza kumtangaza diwani wa upinzani?
Uchu wa madaraka umekuwa mkubwa lakini undugu na ufamilia umeongezeka sana nchini jambo ambalo linapelekea utu kuondoka mioyoni mwa wajukuu...
Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni kujenga miundo mbinu imara na ya kisasa. Jifunzeni kutoka madiwani wa jiji la Arusha na wa Manispaa...
Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji.
Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina...
🛑 NITATETEA TENA NAFASI YANGU YA UBUNGE JIMBO LA NKASI 2025
NILISHINDA UBUNGE 2020 LICHA YA CHAMA KUSUSIA UCHAGUZI, KAULIMBIU YA 'NO REFORMS, NO ELECTION' HAINIHUSU - NITATETEA TENA NAFASI YANGU MWAKA (2025) HUU - AIDA KHENAN, MBUNGE WA CHADEMA NKASI KASKAZINI
====
JamiiCheck imefuatilia...
WAISLAMU WA JIMBO LA MTWARA VIJIJINI WAMUOMBEA DUA MBUNGE SHAMSIA MTAMBA KUENDELEA KWA MIAKA MITANO IJAYO
Waislamu wa jimbo la Mtwara Vijijini wameonyesha msaada na upendo mkubwa kwa mbunge wao, Shamsia Aziz Mtamba, huku wakimwombea aendelee kupewa dhamana na wananchi wa jimbo hilo kuwa...
Wakazi wa Tawi la Mnarani, Jimbo la Pangawe, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Dimani, Unguja ni kama hawana tawi licha ya kwamba lipo na Wananchi wanalijua.
Nina mzee wangu ambaye yupo hapo analalamika kuwa jengo ambalo wamepanga kodi iliisha tangu Desemba 2024, lakini kinachowasikitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.