jimbo

Jimbo is a diminutive form of the given name James. It is also a Japanese surname, and it means state in Swahili. It may refer to:

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shaban Nkunya ahukua fomu jimbo la Kawe kupitia CCM

    Hemed Shabani Nkunya, Mfanyabiashara na Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mbweni Mpiji mkoani Dar es Salaam ametia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kawe mkoani humo kwa tiketi ya CCM. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 DJ wa Diamond, RDJ ajitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala

    DJ wa Msanii Diamond, RDJ amejitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala Kupitia CCM. RDJ amechukua fomu hiyo leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, zilizopo mtaa wa Taifa Pub, jijini Dar es Salaam. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bi. Ester James wa UVCCM ajitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge Jimbo la Katoro

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Kata ya Nyachiluluma wilayani Geita Mkoani Geita Bi. Ester James amejitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge katika Jimbo la Katoro. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Padre Lui Shayo wa Jimbo Katoliki Moshi aadhimisha Jubilei ya almasi (miaka 75) ya Upadre akiwa na umri wa miaka 106

    Tumsifu Yesu Kristo! Katika Kathedrali ya Jimbo Katoliki Moshi imefanyika ibada ya Misa Takatifu ya Jubilee ya Miaka 75 ya Upadre wa Padre Lui Shayo. Padre Lui Shayo alipata daraja Takatifu la Upadre mnamo June 25, 1950. Pamoja na Jubilee ya miaka 75 ya Upadre, pia Padre Lui anaadhimisha...
  5. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wafahamu wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko mkoa wa Kigoma kwa mwaka 2025 kupitia CCM

    Orodha ya makada wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko katika mkoa Kigoma ni ndefu sana. Jimbo hili kuanzia mwaka 2020 - 2025 lilikuwa likiongozwa na Mhe Aloyce Kamamba kutoka kata ya Gwarama. Mbali na Mbunge aliyeko madarakani na kutokana na shauku ya kila kada kutaka kuongoza Jimbo hili...
  6. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Watu wa jimbo la Mchinga hii ni kweli?

    Nimeona Mbunge wa jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete akisema kuwa wana Mchinga wamempa kibali cha maisha cha kuwa Mbunge wao. Maendeleo huko Mchinga yapoje, mpaka wampe kibali kizito hivyo?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Murtaza Mangungu kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kilwa Kaskazini Jumamosi Asubuhi

    Mwenyekiti wa klabu ya Simba ambaye katika uongozi wake Simba imebamizwa mabao mengi kuliko wakati wowote ule Mhe Murtaza Mangungu siku ya Jumamosi Asubuhi anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kilwa Kaskazini. Mangungu ambaye amewahi kuwa mbunge wa Jimbo Hilo kabla ya...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Ili uwe Waziri Mkuu inabidi ugombee jimbo, msibeze kwanini kaachia U-RC

    Ukiteuliwa ubunge, Uwaziri Mkuu utausikia kwenye bomba. Ila ukigombea ubunge ukashinda, Uwaziri Mkuu unaweza ukafikiriwa na pengine ukapewa. Msimbeze jamaa yetu kujivua U-RC kiaina. Pameanza kuchangamka!!
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM wa Jimbo lililoko shule hii ,ninaomba Kamati Kuu ya CCM Taifa isimpitishe kugombea ubunge 2025-2030

    Angalieni hii video! Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho. CC: Prof Adolf Mkenda
  10. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa awasilisha Ripoti ya utekelezaji wa ilani ya CCM Jimbo la Mkoani Pemba, zaidi ya Millioni 800 zimetumika miaka 5

    Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa awasilisha ripoti maalumu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM kwa miaka mitano jimbo la Mkoani Pemba Akiongea na Viongozi pamoja na wanachama mbalimbali wa chama hicho Prof Mbarawa amebainisha namna alivyofanya jitihada za ziada kwa kutafuta pesa...
  11. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hakuna Mbunge wa kuletea Jimbo maendeleo unlesss atumie pesa zake mwenyewe, Hizi Mindset ni za kijinga sana.

    Maendeleo ya nchi yataletwa na sera nzuri za kitaifa sio za Jimbo moja la uchaguzi au Mbubunge pale Jimboni kwake.Hizi hadaaa zina tucost sana. Hizi mindi set ndio hufanya wananchi mfano kule Vunjo walimchagua Kimei waki connect na CRDB Bank kwamba labda pesa za CRDB zitahamishiwa vunjo na raia...
  12. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hivi unajua uchumi wa la jimbo la South Carolina ni mara tatu ya uchumi wa nchi yako?

    Nilicheka sana, Samia mbele ya public alisema uchumi wa Tanzania unafanya vizuri kuliko uchumi wa Ulaya na Marekani, what a shame. Samia unaijua Marekani? Ngoja nikupe elimu ndogo, hivi unajua Jimbo la South Carolina Lina uchumi mkubwa mala tatu ya Tanzania? South Carolina ni jimbo dogo sana...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Jimbo la Kisesa watakubali kumtosa Mbunge wao kipenzi ndugu Mpina kirahisi?

    Hellow! Nimesikia kiongozi mmoja akielekeza wapiga kura kuwa, Mbunge aliyepo Ndugu Mpina hafai kuwa Mbunge wa jjimbo Hilo. Kwamba anatafuta umaarufu jukwaani, Kwamba hatoshi kwenye Nafasi hiyo na kwa dharau kubwa anawaambia wana Kisesa kuwa labda aletwe bungeni kwa Nafasi zile kumi za...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hukuna kutoa kura za Ndiyo: Sisi Jimbo Letu Tunamdai Samia: Je, Jimbo Lako Mnamdai Samia?

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ni muhimu kila jimbo kuangalia maendeleo yake na kutathmini kama viongozi wetu wameshiriki kikamilifu kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Hapa chini, tutaangazia baadhi ya majimbo ambayo yana matatizo makubwa ya miundombinu na huduma za...
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania Ipi tofauti kati ya Mbunge wa Taifa na Mbunge wa Jimbo?

    Wakuu, nimeshtushwa kusikia hii statement leo kutoka kwa kiongozi wa nchi raisi Samia kwamba kuna mbunge wa Taifa na kuna mbunge wa Jimbo. Mwezi October mwaka huu nchini Tanzania kutafanyika uchaguzi mkuu wa wabunge na pia raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo raisi wa sasa Samia...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Debora Tluway: Jimbo la Nsimbo CCM na Jumuiya Zake Tuko Salama

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea kuendelea kujiandaa Kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuhakikisha wanakipa Chama Cha Mapinduzi kura za kishindo. Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA, ACT Wazalendo wamtaka Luhaga Mpina jimbo la Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameendelea na mikutano ya hadhara jimboni humo, akihutubia wananchi wa Kijiji cha Mwabusalu, Juni 13, 2025. Katika mkutano huo, wanachama na Viongozi wa vyama vya upinzani, akiwemo Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Kisesa, Tekla James, na mwanachama wa...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kinondoni yasema Askofu Gwajima ameliachia jimbo la Kawe, ataletwa mwakilishi mzuri

    Tunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima...
  19. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kinondoni, Tarimba aliwahonga hadi mkampa uwakilishi?

    Wabunge wenye tabia hizi ni wengi, wale wasio na haya kama Tarimba ndio wanatuona hatunazo kabisa, wananchi wa kinondoni mbona tuna wasomi waelewanna wapenda maendeleo wengi tuu. Yaani washaona nchi hii watusimamishe barabarani wapite wao. Tunajua moja ya viongozi nchi walio na uhuru uliovuka...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Jimbo la Mpendae Wanufaika na Msaada wa Sikukuu

    Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Shaaban Ali Othman kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Taufiq Turky pamoja na Madiwani wametoa sadaka ya sikukuu kwa wazee, watu wenye ulemavu na wanaoishi katika mazingira magumu ikiwa na lengo la kuwasaidia kipindi hiki cha sikukuu...
Back
Top Bottom